Afya Medix

Website

Afya Medix AFYA MEDIX
Huduma bora za kiafya
Uaminifu • Ubora • Kujali
0639643045
Afya Bora, Maisha bora

11/09/2026

PROGRAMU YETU YA DHIBITI VIDONDA VYA TUMBO

Mwezi huu wa Septemba, tumepata nafasi ya kuwahudumia wanawake na wanaume zaidi ya 250 waliokuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohusiana na mmeng’enyo wa chakula na vidonda vya tumbo.

Kati yao, takribani watu 200 wameripoti kupata matokeo mazuri, huku wengine wakiendelea na matumizi na ufuatiliaji wa programu, na hali zao ikiendelea vizuri.

Hii ni hatua kubwa kwetu na ushuhuda wa umuhimu wa kutambua changamoto mapema, kupata ushauri sahihi na kufuatilia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

Usipuuzie dalili. Usisubiri maumivu yaongezeke. Anza
kuchukua hatua kwa afya yako.
https://wa.me/message/T5PDB2WRE553H1
Wasiliana nasi kuweka appointment yako mapema 0639643045

📌 PROGRAMU YA DHIBITI VIDONDA VYA TUMBO — afya bora huanza na hatua sahihi.





13/08/2026

Karibu kwenye page yangu ya Afya Medix kwa matibabu ya afya na ushauri

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Medix posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share