Amanani GCAT Clinic Dar es Salaam

Amanani GCAT Clinic Dar es Salaam Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amanani GCAT Clinic Dar es Salaam, Medical and health, Sinza Palestine, Dar es Salaam.
(1)

Tunatoa Huduma ya (Tiba Lishe) Bora na Kupima Vipimo Vyote Vya Mwili
Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha
Wasiliana Nasi Kupitia : 0683614374
:0765848193

10/07/2026

๐Ÿ”ฅ Eternal Soap ๐Ÿ”ฅ
Imetengenezwa kwa viambato asilia 100% vilivyochaguliwa kwa uangalifu ili kulinda na kutunza ngozi yako:
๐ŸŒฟ Aloe Vera โ€“ hulainisha, hutuliza na kuipa ngozi unyevunyevu wa asili
๐ŸŒฟ Mimea asilia (Herbal extracts) โ€“ husafisha kwa kina bila kuharibu ngozi
๐ŸŒฟ Mafuta ya asili โ€“ hulisha ngozi na kuifanya ibaki laini na yenye afya
๐ŸŸก๐ŸŸฃFAIDA ZAKE โœจ
โœ”๏ธ Husafisha ngozi kwa upole bila kukausha
โœ”๏ธ Hulainisha na kuipa ngozi mngโ€™ao wa asili
โœ”๏ธ Husaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya ya mwili
โœ”๏ธ Inafaa kwa aina zote za ngozi, hata nyeti
โœ”๏ธ Salama kwa matumizi ya kila siku
โœ”๏ธ Inafaa kwa familia nzima
Sio sabuni ya kawaida โ€” ni furaha ya kila ngozi ๐Ÿ’š

๐ŸŸฅBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 39,000 Tshs
๐ŸŸฅBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 39,000 Tshs
๐ŸŸฅBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 39,000 Tshs
NB ๐Ÿงฝ๐Ÿ”ดโš ๏ธ : Zinakuja Pcs 3

Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)
Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ
Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

10/07/2026

๐Ÿ”ฅ Natural Vitamin E Soft Capsules ๐Ÿ”ฅ
Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 90,000 Tshs
Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 90,000 Tshs
Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 90,000 Tshs
NB: haina madhara ni tiba lishe
Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)
Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ
Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

10/07/2026

๐Ÿ”ฅ Aloe Soft Capsules ๐Ÿ”ฅ

Kuponyesha vidonda

Kusaidia mzunguko wa domu

Mfumo mzuri wa uyeyushaji chakula

Ngozi kuwa nyoroะณo

โšซ Maelezo kuhusu bidhaa ๐Ÿ“

๐Ÿ‘‰Aloe vera ni mmea unaojulikana k**a mmea mama na mmea tiba wa magonjwa yote. Mmea huu una viambata ving muhimu katika mwili (mfano Aloin, aloe polysaccharides, plant protein, vitamin A, vitamin B6, vitamin B12, 8 essential amino acids and minerals) viambata vyote hivi ni muhimu katika ukuaji na uboreshaji wa ngozi.

๐Ÿ‘‰Kwa pamoja vinaisaidia na kuifanya kuwa na muonekano mzuri. Mchanganyiko wa vitamin katika mmea wa Aloe vera vinasaidia kuupa mwili uwezo wa kuyeyusha vyakula mbalimbali kwa urahisi na kuongeza hamu ya kula kwa wanaokosa hamu ya kula, kuupa mwili kinga na uwezo wa kupambana na wadudu wa maradhi 'bacteria'.

โšซ Watumiaji๐Ÿ“

โœ…Nzuri kutumiwa na wasiotumia mboga za majani mara kwa mara.

โœ…Inawasaidia zaidi watu wenye matatizo katika mfumo wa uyeyushaji chakula na wasiopata choo.

wa Inawasaidia sana wanaosumbuliwa na matatizo sugu ya ngozi k**a chunusi, vipele, muwasho, ngozi kuwa kavu sana.

โœ…Ni nzuri kwa kusaidia kupunguza kiwango cha sumu katika ngozi na kuifanya ngozi kuwa na muonekano mzuri na nyororo wakati wote.

๐Ÿ›‘ Angalizo โš ๏ธ

โŒ Bidhaa hii si mbadala wa dawa.

โŒ Watumiaji wanashauriwa wasizidishe kiwango cha kawaida cha matumizi yaliyopendekezwa.

โŒ Pia iwekwe mahali pakavu, pasipo na joto kali na pasipofikiwa na watoto kwa urahisi.

NB: haina madhara ni tiba lishe

๐Ÿ”ต๐ŸŸคBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 110,000 Tshs
๐Ÿ”ต๐ŸŸคBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 110,000 Tshs
๐Ÿ”ต๐ŸŸคBei Yake ๐Ÿ”ฅ : 110,000 Tshs

Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)
Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ

Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

Je, unajua? ๐Ÿฅฆ๐ŸŒฟBrokoli ni mboga yenye virutubisho muhimu vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili na lishe bora ya kila siku....
10/07/2026

Je, unajua? ๐Ÿฅฆ๐ŸŒฟ

Brokoli ni mboga yenye virutubisho muhimu vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili na lishe bora ya kila siku.

Ina fiber, vitamins, madini na antioxidants ambazo zinaweza kusaidia kinga ya mwili, mmengโ€™enyo wa chakula, afya ya moyo na nguvu ya mwili k**a sehemu ya mlo kamili.

๐Ÿ’™ Kijani chenye nguvu ya afya!

๐Ÿ“ฒ Kwa virutubisho bora vya afya na mwongozo wa matumizi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwenye bio.

Maelezo haya ni kwa elimu tu โ€” si tiba wala mbadala wa ushauri wa daktari.

Je, unajua? โค๏ธ๐ŸŒฟBetiruti ni chakula cha asili chenye rangi ya kipekee na virutubisho vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili...
10/07/2026

Je, unajua? โค๏ธ๐ŸŒฟ

Betiruti ni chakula cha asili chenye rangi ya kipekee na virutubisho vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili kwa ujumla.

Ina misombo ya mimea na nitrates za asili ambazo zinaweza kusaidia mzunguko wa damu, nguvu ya mwili, na afya ya moyo k**a sehemu ya lishe bora na mtindo mzuri wa maisha.

๐Ÿ’™ Rangi ya asili, faida ya afya!

๐Ÿ“ฒ Kwa virutubisho bora vya afya na mwongozo wa matumizi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwenye bio.

Maelezo haya ni kwa elimu tu โ€” si tiba wala mbadala wa ushauri wa daktari.



Instagram description

๐‰๐ž, ๐ฎ๐ง๐š๐ฃ๐ฎ๐š? โค๏ธ๐ŸŒฟ

Betiruti ina virutubisho na misombo ya asili inayoweza kusaidia mzunguko wa damu, nguvu ya mwili, afya ya moyo na ustawi wa kila siku.

Ikiwa sehemu ya lishe bora, betiruti inaweza kuwa chaguo nzuri kwa afya na maisha bora.

๐Ÿ’™ ๐‘๐š๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐š ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข, ๐Ÿ๐š๐ข๐๐š ๐ฒ๐š ๐š๐Ÿ๐ฒ๐š!

๐Ÿ“ฒ Kwa virutubisho bora vya afya na mwongozo wa matumizi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwenye bio.

Maelezo haya ni kwa elimu tu โ€” si tiba wala mbadala wa ushauri wa daktari.

Je, unajua? ๐Ÿฅฌ๐ŸŒฟSpinachi ni moja ya mboga za majani zenye virutubisho muhimu vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili kila sik...
10/07/2026

Je, unajua? ๐Ÿฅฌ๐ŸŒฟ

Spinachi ni moja ya mboga za majani zenye virutubisho muhimu vinavyoweza kusaidia ustawi wa mwili kila siku.

Ina vitamins, madini na antioxidants ambazo zinaweza kusaidia afya ya macho, ngozi, mifupa, kinga ya mwili na lishe bora kwa ujumla.

K**a sehemu ya mlo kamili, spinachi ni chaguo zuri kwa mtu anayependa maisha yenye afya na lishe bora.

๐Ÿ’™ Kijani kidogo, afya kubwa!

๐Ÿ“ฒ Kwa virutubisho bora vya afya na mwongozo wa matumizi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwenye bio.

Maelezo haya ni kwa elimu tu โ€” si tiba wala mbadala wa ushauri wa daktari.

Huduma za Vipimo na Tiba Lishe (Supplement) BoraTunapatikana ๐Ÿ“Sinza Kumekucha (Mashujaa)Huduma ya Delivery za Supplement...
10/07/2026

Huduma za Vipimo na Tiba Lishe (Supplement) Bora
Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)
Huduma ya Delivery za Supplement ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ
Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

10/07/2026

๐Ÿ”ฅ Spirulina Tablets ๐Ÿ”ฅ

โšซ Maelezo ya Bidhaa

๐Ÿ‘‰Lishe hii inatokana na unga wa Algae usiochanganywa na wanga. Inayeyuka haraka mwilini (up to 95%), haiharibiwi kirahisi na vitu k**a mionzi.
๐Ÿ‘‰Ni lishe yenye madini mengi na muhimu zaidi katika mwili. Husaidia kuondoa taka mwilini na kusafisha mfumo wa chakula k**a tumbo na utumbo.
๐Ÿ‘‰Husaidia kuzuia uvimbe, kuondoa mabaka na mikunjo katika ngozi iliyosinyaa na kuifanya iwe ya kuvutia zaidi. Husaidia kupunguza kiwango cha mafuta katika damu.
๐Ÿ‘‰ Husaidia wagonjwa wa kisukari au wenye dalili za kisukari kupata nafuu kubwa. Ni nzuri kwa wagonjwa wanaotibiwa kwa mfumo wa mionzi (mfano wagonjwa wa kansa), shinikizo la damu, wasio na lishe nzuri na wenye matatizo ya mfumo wa uyeyushaji chakula.

โšซ Watumiaji

โœ… Watu wasio na kinga ya kutosha, wazee na wahanga wa ajali kusaidia kuponyesha majeraha kwa urahisi.

โœ… Inawasaidia wanaofanya kazi ngumu na za kutumia nguvu nyingi

โœ… Wanaosumbuliwa na tatizo la msukumo wa damu kwa kipindi kirefu

โœ… Wenye ukosefu wa lishe bora, wenye matatizo na mfumo wa uyeyushaji wa chakula na wanaosumbuliwa na homa ya ini na maumivu ya viungo mara kwa mara.

๐Ÿ›‘ Angalizo โš ๏ธ

โŒ Bidhaa hii si mbadala wa dawa.

โŒ Watumiaji wanashauriwa kiwango cha kawaida cha yaliyopendekezwa. wasizidishe matumizi

โŒ Pia iwekwe mahali pakavu, pasipo na joto kali na pasipofikiwa na watoto kwa urahisi.

Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 92,000 Tshs
Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 92,000 Tshs
Bei Yake ๐Ÿ”ฅ : 92,000 Tshs

Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)

Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ

Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

Huduma za Vipimo na Tiba Lishe (Supplement) BoraTunapatikana ๐Ÿ“Sinza Kumekucha (Mashujaa)Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana...
10/07/2026

Huduma za Vipimo na Tiba Lishe (Supplement) Bora

Tunapatikana ๐Ÿ“
Sinza Kumekucha (Mashujaa)

Huduma ya Delivery ๐Ÿšš Inapatikana โœŠ

Call-Text-Whatsapp โ˜Ž๏ธ : 0765848193
: 0683614374

Je, unatafuta kinywaji cha asili kinachochangia afya bora ya mwili wako kila siku?GCAT Cordyceps Tea ni chaguo sahihi kw...
10/07/2026

Je, unatafuta kinywaji cha asili kinachochangia afya bora ya mwili wako kila siku?

GCAT Cordyceps Tea ni chaguo sahihi kwako. Chai hii imetengenezwa kwa Cordyceps halisi wa asili, mimea maalum ya Kichina inayojulikana kwa mchango wake mkubwa katika kuimarisha afya ya binadamu kwa maelfu ya miaka.

GCAT Cordyceps Tea hutengenezwa kwa kuchagua Cordyceps safi wa ubora wa juu, hukausha kwa njia salama ili kuhifadhi virutubisho vyake, kisha huchanganywa na mimea asilia yenye manufaa kwa mwili. Hatua zote hufanywa kwa viwango vya kisasa vya usalama ili kuhakikisha kila mfuko wa chai unakuwa na ubora na nguvu ya asili.

๐ŸŒฟ FAIDA ZA GCAT CORDYCEPS TEA:
โœ”๏ธ Huongeza nguvu na stamina ya mwili
โœ”๏ธ Husaidia kuimarisha kinga ya mwili
โœ”๏ธ Huboresha mzunguko wa damu
โœ”๏ธ Husaidia afya ya mapafu na kupumua vizuri
โœ”๏ธ Huongeza umakini na kupunguza uchovu
โœ”๏ธ Husaidia mwili kujisafisha na kutoa sumu (detox)
โœ”๏ธ Inafaa kwa watu wa rika zote

โ˜• Jinsi ya Kutumia:
Weka mfuko mmoja wa GCAT Cordyceps Tea kwenye kikombe cha maji ya moto, subiri dakika chache, kisha furahia ladha laini yenye afya tele

Address

Sinza Palestine
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amanani GCAT Clinic Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share