Kigamboni EYE Clinic

Kigamboni EYE Clinic Your trusted partner for quality eye care in Kigamboni.

We provide professional eye examinations, diagnosis and treatment of eye conditions, prescription glasses, and personalized vision care for children and adults.

๐Ÿ‘๏ธ Macho yako ni hazinaโ€”yatunze kila siku!Kwa ushauri na huduma bora za macho, tembelea KIGAMBONI EYE CLINIC.๐Ÿ“ž +255 783 ...
02/09/2026

๐Ÿ‘๏ธ Macho yako ni hazinaโ€”yatunze kila siku!
Kwa ushauri na huduma bora za macho, tembelea KIGAMBONI EYE CLINIC.

๐Ÿ“ž +255 783 515 682
#๐Š๐ข๐ ๐š๐ฆ๐›๐จ๐ง๐ข

HATARI HATARI KWA MACHO YAKO!!!!... YAOKOE HARAKA. Tupigie   SIMU +255 783 515 682 KWA USHAURI NA MATIBABU, KUMBUKA USHA...
16/08/2026

HATARI HATARI KWA MACHO YAKO!!!!... YAOKOE HARAKA. Tupigie SIMU +255 783 515 682 KWA USHAURI NA MATIBABU, KUMBUKA USHAURI NI BURE.. tunapatikana TUNGI - MNADANI - KIGAMBONI.

Ramadhani Yunuss Kigamboni EYE Clinic

JE MACHO YAKO YANAONA RANGI KWA USAHIHI?Kigamboni EYE Clinic tunatatua changamoto. Tuna kipimo kinachoweza kugundua tati...
12/08/2026

JE MACHO YAKO YANAONA RANGI KWA USAHIHI?
Kigamboni EYE Clinic tunatatua changamoto. Tuna kipimo kinachoweza kugundua tatizo hili, Na pia Tiba tunayo, KARIBU SANA...

JE? unajua kwamba.. Tattoo usoni karibu na jicho inaweza kuwa na madhara makubwa zaidi kwa sababu eneo la jicho ni nyeti...
11/08/2026

JE? unajua kwamba.. Tattoo usoni karibu na jicho inaweza kuwa na madhara makubwa zaidi kwa sababu eneo la jicho ni nyeti sana.
**SABABU KUU YA 1**
-๐Ÿงช Wino wa tattoo ukifika ndani ya jicho unaweza kusababisha madhara makubwa.
**MUHIMU: K**a mtu ametengeneza tattoo karibu na jicho na sasa ana maumivu makali ya jicho, kuona ukungu/kupungua kwa kuona, mwanga kumuuma, usaha, uvimbe mkubwa, au jicho kuwa jekundu sana, anapaswa kupata uchunguzi wa macho haraka.
**MAAMUZI:- FIKA HARAKA AU PIGA 0783515682 KUPATA UFAFANUZI AU MATIBABU.
Ramadhani Yunuss

Linda macho yako wakati huu wa upepo na vumbi. Ramadhani Yunuss
11/08/2026

Linda macho yako wakati huu wa upepo na vumbi.
Ramadhani Yunuss

๐Ÿ‘๏ธ Macho mekundu (Conjunctivitis / Macho mekundu) โ€“ husababishwa na virusi, bakteria au mzio..... Ramadhani Yunuss
11/08/2026

๐Ÿ‘๏ธ Macho mekundu (Conjunctivitis / Macho mekundu) โ€“ husababishwa na virusi, bakteria au mzio.....

Ramadhani Yunuss

Fanya checkup ya macho yako mara kwa mara ili kujihakikishia maisha salama yenye uangavu. Optical Express KMN EyeCare   ...
10/08/2026

Fanya checkup ya macho yako mara kwa mara ili kujihakikishia maisha salama yenye uangavu. Optical Express KMN EyeCare

Ulimwenguni kote, mtoto wa jicho ndio sababu kuu ya upofu, haswa kwa watu zaidi ya miaka 40. Njia pekee ya kudumu na tha...
09/08/2026

Ulimwenguni kote, mtoto wa jicho ndio sababu kuu ya upofu, haswa kwa watu zaidi ya miaka 40. Njia pekee ya kudumu na thabiti ya kuondoa mtoto wa jicho ni upasuaji, ambapo daktari huondoa lenzi yenye ukungu na kuiweka badala yake lenzi bandia. Upasuaji huu ni salama na una mafanikio makubwa.

Magonjwa mengi ya macho kwa watoto yanaweza kutibiwa au kudhibitiwa vizuri yakigundulika mapema. Kwa hiyo, mtoto mwenye ...
01/08/2026

Magonjwa mengi ya macho kwa watoto yanaweza kutibiwa au kudhibitiwa vizuri yakigundulika mapema. Kwa hiyo, mtoto mwenye dalili zozote zisizo za kawaida anapaswa kupelekwa hospitali au kliniki ya macho kwa uchunguzi mapema ili kulinda uwezo wake wa kuona.
-Kwa matibabu na ushauri ๐Ÿ“ž +255 783 515 682

Address

KIGAMBONI
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 20:00
Tuesday 07:00 - 20:00
Wednesday 07:00 - 20:00
Thursday 07:00 - 20:00
Friday 07:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kigamboni EYE Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share