15/08/2026
BAWASIRI
MAALIM UPANGA HERB CLINIC hutoa huduma ya tiba asili na ushauri kwa watu wenye changamoto ya bawasiri.
Huduma inalenga kusaidia kupunguza dalili k**a maumivu, kuwasha, uvimbe na usumbufu wakati wa haja kubwa, kulingana na hali ya mgonjwa.
Tunatoa huduma kwa uangalifu, usafi na heshima kwa mgonjwa.
Uponyaji ni kwa Rehema za Mungu.
📱 WhatsApp: 0755 556 610
📞 Cellphone: 0615 826 610