Pata ELIMU sahihi kuhusu Maradhi SUGU yote hapa na Dr Murkay

Website

Pata ELIMU sahihi kuhusu Maradhi SUGU yote hapa na Dr Murkay Karibu sana kwenye ulimwengu wa AFYA NJEMA. Hapa utapa ELIMU SAHIHI kuhusu MARADHI SUGU YOTE. Karibu

Watu wengi sana kwenye JAMII zetu wamezoea kuwa ili mtu apone pale anapokuwa na MARADHI SUGU k**a KISUKARI, VIDONDA VYA ...
26/07/2026

Watu wengi sana kwenye JAMII zetu wamezoea kuwa ili mtu apone pale anapokuwa na MARADHI SUGU k**a KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, UZAZI, SARATANI, MIFUPA, UVIMBE, FIGO, INI, PRESHA na magonjwa SUGU mengine, ni lazima apewe dawa na DAKTARI atumie ndiyo apone na bila kutumia dawa yeye haamini kabisa k**a anaweza kupona kwa njia nyingine yoyote .

Kitu muhimu sana ambacho leo nataka nikueleze wewe ndugu yangu unaenisikiliza ni kuwa , dawa yoyote ile utakayoitumia ni k**a RAFIKI YAKO WA MUDA MFUPI ambae utakaa nae tu pale unapokuwa unazitumia hizo dawa . Ila kumbuka dawa huwa zinaishaga na sisi Madaktari huwa tunategemea baada ya dawa za kutumia tulizokupa zikiisha wewe uwe tayari umeshapona, si ndiyo . Lakini unakuja kukuta baadhi ya watu Dawa tulizowaandikia zimeisha lakini bado hakuna NAFUU yoyote aliyoipata na hata ule ugonjwa au shida iliyokuwa ikimsumbua ipo vile vile bado haijaisha. Je , unajua ni kwanini haya hutokea? .

JIBU LAKE NI HILI. πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘‰ Watu wengi sana wanadharau USHAURI NA MAELEKEZO YA KINA WALIYOPEWA NA MADAKTARI KUHUSU AFYA ZAO . Kumbuka kuanzia leo ndugu yangu, hakuna dawa itakayoweza kukusaidia k**a utadharau USHAURI NA MAELEKEZO uliyopewa uyafuate na DAKTARI wakati unazitumia hizo dawa . Utashangaa tu dawa zinaisha na siku zinasonga mbele lakini TATIZO lako bado lipo pale pale .

KUMBUKA SIKU ZOTE πŸ€”πŸ€”πŸ€”
πŸ‘‰ ELIMU YA AFYA NA USHAURI WA KINA WA DAKTARI NDIYO VITU PEKEE VINAVYOWEZA KUKUSAIDIA KWENYE MAISHA YAKO KULIKO HATA DAWA .

HALI ILIVYO SIKU HIZI KWENYE JAMII ZETU NI KILIO TU 😭😭😭😭😭😭
πŸ‘‰ Watu siku hizi hawapendi kujifunza kitu chochote kwenye maisha yao . Watu ni wabishi hata k**a wewe unaongea ni DAKTARI. Watu wanapenda kutumia NJIA ZA MKATO kwenye kufanikisha mambo yao yote wanayoyahitaji ili wafanikiwe haraka bila kupoteza muda . Hali hizi zinasikitisha sana ndugu zangu . Kwa hali hii ya ubishi, upuuzaji , kukosa ELIMU, ujuaji mwingi, dharau na nyingine ambazo zipo ndani ya AKILI na MAISHA ya watu kwenye JAMII nyingi, ndiyo SABABU KUU YA VIFO VYA KIZEMBE NA VYA MAKUSUDI AMBAVYO WATU WANAJISABABISHIA WAO WENYEWE kutokana na ubishi wao, kupuuza kwao , kukosa ELIMU SAHIHI, kudharau kwao, kujifanya wajuaji kuliko Madaktari, n.k .

WITO WA DR MURKAY KWA JAMII NI UPI?
πŸ‘‰DR MURKAY amefanya utafiti kwenye JAMII za watu wengi hapa TANZANIA na MATAIFA mengine huko ulimwenguni na kugundua kuwa TABIA ZA WATU WENGI HUWA ZINAFANANA KABISA . Hivyo basi , WITO wake kwa JAMII ni kutaka kila mtu ABADILIKE YEYE MWENYEWE KIMTAZAMO ( MINDSET ) NA KISHA ABADILI MFUMO WAKE MZIMA WA MAISHA AMBAO ALIOUZOEA KUISHI KIKAWAIDA AU KIMAZOEA . DR MURKAY anaamini wazi kuwa , watu wakibadikika k**a hivyo alivyosema basi kutakuwa na MAFANIKIO MAKUBWA SANA KWENYE KILA JAMII ULIMWENGUNI .

πŸ‘‰ Pia anatoa WITO zaidi kwa JAMII kuwa tayari kupokea ELIMU SAHIHI KUHUSU MARADHI SUGU YOTE AMBAYO ELIMU HII ATAITOA BURE kwa mtu yeyote atakaependa kuipata ELIMU hii . Kila mtu anayo HAKI YA KUPATA ELIMU HII BILA KUJALI YEYE NI KIJANA, AU NI MZEE, AU NI MTU WA UMRI WA KATI, AU NI MGONJWA, AU NI MZIMA KIAFYA . Kila mtu anakaribushwa ndugu zangu .

MWISHO WA KUNUKUU
πŸ‘‰ DR MURKAY anatoa pongezi za dhati kwako wewe uliepitia makala hii NDOGO aliyoiandaa na kuielewa na kuifanyia KAZI kwani ndani ya hii makala utakuwa umeupata UJUMBE MKUBWA NA MZITO SANA ambao UJUMBE huu k**a tusipouzingatia na tukafanya kwa usahihi vile tulivyoelekezwa, basi MAISHA YETU yataendelea kuwa ni ya tarehe MATESO kila kukicha .

Kwa ushauri, maelekezo, maoni au hata maswali kwa mtu yeyote atakaehitaji , anaruhusiwa kuwasiliana na Dr MURKAY moja kwa moja kuanzia sasa kwa namba hii 0744698686 au ukitaka kuwasiliana nae kwa njia ya WhatsApp unaweza kubonyeza link hapo chini ili umtumie ujumbe wako WhatsApp moja kwa moja
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://wa.me/message/HO4MT5TXBGOGB1

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pata ELIMU sahihi kuhusu Maradhi SUGU yote hapa na Dr Murkay posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share