Afya Ya Uzazi Hub

Afya Ya Uzazi Hub Nawasaidia watu wenye changamoto ya Uzazi Na P.I.D Kwa. kutumia Virutubisho lishe

19/08/2026
JE, UNAJUA SABABU KWANINI P.I.D. YAKO HAIPONI HATA K**A UNAFUATA LISHE KALI? πŸ‘‡Watu wengi hubadilisha lishe wakiamini tat...
12/08/2026

JE, UNAJUA SABABU KWANINI P.I.D. YAKO HAIPONI HATA K**A UNAFUATA LISHE KALI?
πŸ‘‡
Watu wengi hubadilisha lishe wakiamini tatizo litaisha, lakini wakati mwingine lishe pekee haitoshi. P.I.D. (Pelvic Inflammatory Disease) inaweza kuhitaji uchunguzi wa kitabibu ili kubaini chanzo na kupata matibabu yanayofaa.
K**a unaendelea kupata dalili k**a:
πŸ‘‰ Maumivu ya nyonga au chini ya tumbo πŸ‘‰ Uchafu usio wa kawaida ukeni
πŸ‘‰ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
πŸ‘‰ Homa au maumivu wakati wa kukojoa
Usijitibu kwa kubahatisha wala usipuuzie dalili. Uchunguzi wa mapema unaweza kusaidia kubaini tatizo na kupata ushauri unaofaa.
πŸ‘‰ Lishe bora ni muhimu kwa afya kwa ujumla, lakini ni vyema pia kufuata ushauri wa mtaalamu wa afya.

πŸ‘‡ Andika "AFYA" Kwa Msaada Zaidi Katika mfumo wa uzazi na namna ya kujikinga na maambukizi. PIGA πŸ‘‰ +255626416856 KWENDA WHATSAPP NAMBA 0626416856 Au Bofya kitufe cha WhatsApp Chini Ya Tangazo hili

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Uzazi Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share