Urembo Asilia wa Ngozi na nywele

Urembo Asilia wa  Ngozi na nywele Ngozi pamoja na nywele ni jukumu lako kuzitunza karibu tukufundishe kuzitunza kiasilia na bidhaa bora

16/08/2026

Faida nne za kufanya facial steaming ukiwa nyumban

Asanteni wote mloweza kuwa kwenye top 50 ya wanaurembo asilia Bora ambao wapo active🔥🔥🔥nawaandalia mambo mazuriThanks fo...
12/08/2026

Asanteni wote mloweza kuwa kwenye top 50 ya wanaurembo asilia Bora ambao wapo active🔥🔥🔥nawaandalia mambo mazuriThanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Sagesse Musowa, Tumaini Jackson, Adam Pius, Hellenrosham Shanyisa, Lina Ghambo, Najo Saidi

Je, una weusi chini ya macho unaokufanya uonekane umechoka hata baada ya kulala vya kutosha?Weusi chini ya macho unaweza...
30/07/2026

Je, una weusi chini ya macho unaokufanya uonekane umechoka hata baada ya kulala vya kutosha?

Weusi chini ya macho unaweza kusababishwa na kukosa usingizi wa kutosha, uchovu, msongo wa mawazo, kurithi, au ngozi nyembamba inayofanya mishipa ionekane zaidi. Watu wengi hujaribu kuuficha kwa vipodozi kila siku, lakini bado tatizo hubaki. sisi team ya urembo asilia tumekuja na suluhisho pamoja na zawadi kwa wanafamilia 10 wa kwanza wa page hii

✨ Suluhisho
Tunauza Under Eye Patches zinazosaidia kuboresha muonekano wa ngozi chini ya macho na kutoa weusi . zikifanya eneo hilo lionekane lenye unyevunyevu na kung'aa zaidi.

🎁 OFA MAALUM
Wateja 10 wa kwanza watakaotoka kwenye page ya Urembo Asilia, wakinunua kuanzia pc 10, watapata pc nyingne ya ziada BURE k**a zawadi.

💰 *Bei: 1,000 tu kwa pc

📩 Tuma ujumbe (Inbox) au wasiliana nasi mapema kabla ofa hazijaisha!

*Je, wewe unamjua mtu anayesumbuliwa na weusi chini ya macho? Mtag kwenye comments.* 👇

Chagua Moja Tu😄 Ukiruhusiwa kuchagua kimoja tu, ungechagua nini?❤️a) Ngozi laini isiyo na chunusi  au👍b) Nywele ndefu, z...
29/07/2026

Chagua Moja Tu

😄 Ukiruhusiwa kuchagua kimoja tu, ungechagua nini?

❤️a) Ngozi laini isiyo na chunusi au
👍b) Nywele ndefu, zenye afya na zinazokua haraka

Andika *A* au *B* na utuambie kwa nini.

Habari vipenzi vya urembo asilia je leo ungependa somo kuhusu nini ngozi au nywele????         nasoma commentsusisahau k...
29/07/2026

Habari vipenzi vya urembo asilia je leo ungependa somo kuhusu nini ngozi au nywele????
nasoma comments
usisahau ku like na kushare kwa page yetu

🚨 UMECHOKA KUFICHA USO WAKO KWA SABABU YA CHUNUSI NA MADOA?😔Kila unapojitazama kwenye kioo unaona chunusi, madoa na ngoz...
21/07/2026

🚨 UMECHOKA KUFICHA USO WAKO KWA SABABU YA CHUNUSI NA MADOA?😔

Kila unapojitazama kwenye kioo unaona chunusi, madoa na ngozi isiyo na mwonekano mzuri? Usiendelee kuteseka kimya kimya.

🌿 Habari njema! Tuna suluhisho la kukusaidia kupunguza chunusi, kufifisha madoa na kurejesha ngozi yenye afya na mng'ao.

✅ Ushauri wa matumizi
✅ Bidhaa zenye ubora
✅ Matokeo yanayohitaji matumizi sahihi na ya mara kwa mara

📲 Jiunge na WhatsApp Group yetu leo upate ushauri, elimu ya utunzaji wa ngozi, ushuhuda wa wateja na ofa mbalimbali.

🔗 Follow link hii kujiunga na WhatsApp group:
https://chat.whatsapp.com/Lc0jEN6PwTe0hKyrIFH56B?s=sh&p=a&mlu=4&amv=3

👇 Swali la leo
Ni kitu gani kinakusumbua zaidi usoni?
1️⃣ Chunusi
2️⃣ Madoa
3️⃣ Mafuta mengi usoni
4️⃣ Vyote kwa pamoja

Andika jibu lako kwenye maoni. Tunaweza kukushauri hatua za kuanza nazo. 💚

21/07/2026

Facemask Zinasaidia kuipa ngozi unyevunyevu zinasaidia kung'arisha ngozi,kupunguza mafuta usoni na kuzuia outbreak ya chunusi

Jiunge na group letu la whatsap kupitia link hii https://wa.link/fkmviv

🌿 Kila mtu ana siri yake ya urembo.Ni kitu gani unachotumia kufanya ngozi au nywele zako zionekane nzuri?Tuambie kwenye ...
04/07/2026

🌿 Kila mtu ana siri yake ya urembo.

Ni kitu gani unachotumia kufanya ngozi au nywele zako zionekane nzuri?

Tuambie kwenye comments. Huenda ukawasaidia watu wengi.

🌿 **JINSI YA KUTUNZA NGOZI KAVU (Dry Skin)Ngozi kavu ni nini?Ngozi kavu ni hali ambapo ngozi hupoteza unyevunyevu wa kut...
04/07/2026

🌿 **JINSI YA KUTUNZA NGOZI KAVU (Dry Skin)

Ngozi kavu ni nini?

Ngozi kavu ni hali ambapo ngozi hupoteza unyevunyevu wa kutosha, hivyo kushindwa kuhifadhi maji yanayohitajika. Hali hii inaweza kusababisha ngozi kuwa ngumu, kupasuka, kuwasha, kutoa magamba madogo au kuonekana imechoka.

Jinsi ya kutunza ngozi kavu

✅ 1. Tumia moisturizer Kila siku
Chagua moisturizer yenye viambato vinavyoongeza na kuhifadhi unyevunyevu k**a vile glycerin, hyaluronic acid, facial masks au ceramides. Paka mara baada ya kuoga ili kufungia unyevunyevu kwenye ngozi.

✅ 2. Epuka maji ya moto sana
Kuoga kwa maji ya moto kwa muda mrefu huondoa mafuta asilia ya ngozi. Tumia maji ya uvuguvugu badala yake.

✅ 3. Tumia sabuni laini
Epuka sabuni zenye kemikali kali au manukato mengi ambazo zinaweza kuongeza ukavu wa ngozi.

✅ 4. Kunywa maji ya kutosha
Unywaji wa maji huchangia afya ya ngozi kwa ujumla na kusaidia mwili kudumisha kiwango sahihi cha unyevunyevu.

✅ 5. Linda ngozi dhidi ya jua
Tumia sunscreen kila siku hata k**a hali ya hewa si ya jua kali. Miale ya UV inaweza kuongeza ukavu na kuharibu ngozi.

✅ 6. Kula lishe bora
Vyakula vyenye mafuta yenye afya, vitamini A, C na E pamoja na omega-3 husaidia kuboresha afya ya ngozi kutoka ndani.

🌸 Kumbuka: Ikiwa ukavu wa ngozi unaendelea kwa muda mrefu au unaambatana na maumivu, uwekundu mkali au kupasuka sana, ni muhimu kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa afya.

💬 Je, umewahi kukutana na changamoto ya ngozi kavu? Tuambie kwenye maoni, na tutakushauri hatua zinazoweza kukusaidia.

👍 Usisahau kulike ukurasa wetu kwa elimu zaidi kuhusu afya na urembo wa ngozi, na comment ili tushirikiane kujifunza zaidi. Pia **share** post hii ili wengine nao wanufaike!

02/07/2026

Zinasaidia kupunguza wekundu usoni, zinaipa ngozi unyevunyevu zinasaidia kung'arisha ngozi 🔥

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

09:00 - 17:00

Telephone

+255629780281

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Urembo Asilia wa Ngozi na nywele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Urembo Asilia wa Ngozi na nywele:

Shortcuts

Share