Lishe bora-fursa kubwa jiunge na team wellness

Lishe bora-fursa kubwa jiunge na team wellness Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lishe bora-fursa kubwa jiunge na team wellness, Medical and health, Mbezi beach classic mall, Dar es Salaam.

22/05/2026

1. 🩸 Hedhi zisizo za kawaida
2. ⚖️ Kuongeza/kupoteza uzito bila sababu
3. 😔 Mood swings ghafla
4. 😴 Uchovu wa kudumu
5. 🌿 Acne au ngozi isiyo ya kawaida
6. 💇‍♀️ Kupoteza nywele au nywele zisizo za kawaida
7. 💔 Kupungua/kuongezeka libido
8. 😖 Usingizi mgumu au usingizi usiostahili
9. 🩺 PMS mkali au dalili zisizo za kawaida za hedhi
10. 🌟 Hisia za kuchanganyikiwa au kutojisikia vizuri

30/04/2026



🔹 Simulizi Iliyopangiliwa Vizuri

Naitwa Christina, nina miaka 33.

Miaka mitano iliyopita, nilikutana na kijana mmoja wakati nikiwa kazini. Nilikuwa nafanya kazi katika kitengo cha manunuzi, na nilikuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye hiyo kazi.

Pia, kipindi hicho nilikuwa napenda sana kusoma vitabu vya mahusiano, biashara na maisha kwa ujumla — kwa hiyo nilikuwa na uelewa mzuri sana.

Siku nilipokutana naye, nilijifanya k**a sina uzoefu kabisa. Nilikuwa najua bei halisi ya bidhaa niliyokuwa naenda kununua, lakini yule kijana alijitolea kunisaidia na akanitajia bei mara mbili ya ile halisi.

Nilimcheza akili — nikaendelea kujifanya sijui chochote.

Tuliingia dukani, nikafanya manunuzi kwa bei sahihi niliyokuwa naijua, nikachukua mzigo wangu na kuondoka. Baada ya hapo tulibadilishana namba za simu na kuanza mawasiliano.

Mwanzoni ilikuwa k**a urafiki wa kawaida, lakini ghafla akaanza kuingiza mambo ya mahusiano kwa haraka sana. Ndani ya muda mfupi akanitambulisha kwa mama yake, dada zake na hata marafiki zake.

Baada ya wiki moja, aliniambia anasafiri kwenda shule. Alipokuwa huko, akanipigia simu na kuniambia ana shida ya pesa — milioni tano — akidai gari lake limeharibika na kadi yake ya benki imefungiwa. Aliahidi akirudi atanirudishia.

Hapo ndipo nilishtuka.

Niliona wazi kabisa kuwa huyu ni tapeli.

Nilimjibu kwa utulivu kuwa sina pesa. Akaanza kushusha kiwango:

Milioni 3 — nikasema sina
Milioni 2 — nikasema sina
Milioni 1 — nikasema sina
Laki 5 — nikasema sina
Mpaka laki 2 — nikasema bado sina

Mwisho wake akanyamaza kabisa.

Hapo ndipo nilithibitisha kuwa hisia zangu zilikuwa sahihi.

*UMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME?**Kusimamisha si k**a zamani? Unamaliza haraka?**Hii ni suluhisho la asili la kurudisha uanaum...
08/07/2025

*UMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME?*

*Kusimamisha si k**a zamani? Unamaliza haraka?*
*Hii ni suluhisho la asili la kurudisha uanaume wako kwa nguvu mpya!*

*Gift of Night package;– Mchanganyiko hatari wa nguvu na stamina!*

Faida kuu:
👇
*❤️Kusimamisha kwa nguvu & muda mrefu*
*❤️Kuongeza hamu ya tendo la ndoa*
*Kuongeza mzunguko wa damu kwenye uume*
*❤️Kuboresha uzalishaji wa shahawa zenye ubora*
*❤️Kuongeza stamina hata kwa waliochoka sana*

Gift of night package;– Inasafisha mishipa ya damu, huongeza oksijeni na nguvu za mwili.
Multi-Maca – Inaimarisha misuli ya uume, huchochea homoni za kiume (testosterone).

*Usikubali aibu chumbani!*
*Rejesha furaha ya ndoa kwa njia salama ya* *kujihakikishiya wewe mwanaume unasimamisha vizuri

Tupigie kwa huduma ya haraka zaidi+255 758182508

TATIZO LA GOTI.  Maumivu, kuvimba kwa Goti, kutoa sauti katika maungio ya goti husababishwa na vyanzo mbalimbali.  🍂Uwep...
01/05/2025

TATIZO LA GOTI. Maumivu, kuvimba kwa Goti, kutoa sauti katika maungio ya goti husababishwa na vyanzo mbalimbali. 🍂Uwepo wa uric acid kwenye MWILI na kujijaza gotini. 🍂Kuisha Kwa UTE. 🍂KUSAGIKA na KULIKA Kwa gegedu. 🍂Kupungua Kwa madini na vitamini muhimu yanayoimarisha na kujenga mifupa ikiwemo Vitamin D. 🍂Uzito kupitia kiasi. 🍂Uambukizo kwenye maungio ya Goti. n.k MADHARA YA TATIZO. 🔥Goti kutoa sauti. 🔥Kuvimba na kuleta maumivu MAKALI. 🔥Kushindwa kukunja na kunyoosha mguu. 🔥Kushindwa kutembea Kabisa. 🔥Kukosa usingizi kutokana na maumivu na mawazo. 🔥Kushindwa kufanya KAZI yeyote. 💦SULUHISHO LIPO. ☎️0758182508

19/04/2025
Suluhisho lipo nichek kwa simu 0758182508 upate suluhisho
05/05/2024

Suluhisho lipo nichek kwa simu 0758182508 upate suluhisho

Tatizo linapona kabisa bila upasuaji
04/05/2024

Tatizo linapona kabisa bila upasuaji

Address

Mbezi Beach Classic Mall
Dar Es Salaam
KINONDONI

Telephone

+255758182508

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lishe bora-fursa kubwa jiunge na team wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lishe bora-fursa kubwa jiunge na team wellness:

Share