Afya Kwanza

Afya Kwanza Tunatibu na kukinga zaidi ya Magonjwa 100 kwa kutumia NATURAL NUTRITIONAL SUPPLEMENT.(Vilutubisho lishe) Wasiliana nami wa.me/255753346534

✅Kila mwanamke anahitaji kiwango sahihi cha Vitamin D, ukiwa kwenye safari yakufanikisha ujauzito unahitaji vitamin D il...
30/07/2026

✅Kila mwanamke anahitaji kiwango sahihi cha Vitamin D, ukiwa kwenye safari yakufanikisha ujauzito unahitaji vitamin D ili iweze kukurahisishia mpango wako.

Vitamini D nimuhimu kwani moja ya kazi zake katika afya yako ya uzazi ni

👉Husaidia kazi za ovari: Vitamini D ina vipokezi (receptors) kwenye ovari, na inaweza kusaidia ukuaji na ukomavu wa mayai.

👉Inasaidia kuboresha ovulations, Kwa baadhi ya wanawake, hasa wenye upungufu wa vitamini D au wenye PCOS (Polycystic O***y Syndrome), kurekebisha upungufu kunaweza kusaidia ovulation kuwa ya kawaida.

👉Husaidia kuboresha mazingira ya mfuko wa uzazi,husaidia kuboresha ukuta wa mfuko wa uzazi (endometrium) kuwa tayari kwa upandikizaji wa yai lililorutubishwa.

👉Huenda ikaongeza nafasi ya mafanikio ya IVF: Baadhi ya tafiti zimeonyesha wanawake wenye viwango vya kutosha vya vitamini D wanaweza kuwa na matokeo bora kwenye matibabu ya uzazi, ingawa ushahidi bado si wa mwisho.

👉Husaidia wakati wa ujauzito,Viwango vya kutosha vya vitamini D vinaweza kupunguza hatari ya baadhi ya matatizo k**a preeclampsia, kisukari cha ujauzito, na kusaidia ukuaji wa mifupa ya mtoto.

📌Upungufu wa vitamini D unaweza kuleta changamoto za
👉Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida.
👉Matatizo ya ovulation kwa baadhi ya wanawake.
👉Kuongezeka kwa hatari ya matatizo fulani wakati wa ujauzito!

Nimekulete hii Vitamini D leo, ili safari yetu ya kutatua changamoto za uzazi ziwe njia sahihi, nitakushauri kulingana na hali yako ya afya na matatizo yako.

Dozi nzima ni TSH 250,000/-

Nusu dozi ni TSH 125,000/-

Tupigie simu 0753346534

29/07/2026

● Katika dunia ya leo yenye kasi na shughuli nyingi, chakula peke yake hakitoshi tena. Matumizi ya virutubisho lishe yamekuwa ni hitaji muhimu, si anasa. Ni njia ya kuhakikisha mwili unapata kila kitu unachohitaji ili uwe na nguvu, kinga na afya bora hata katikati ya u-busy.

● Dunia imebadilika. Muda umekuwa mfupi, stress imekuwa nyingi, na chakula chetu kimepungua virutubisho. Ndio maana leo, kutumia virutubisho lishe si chaguo tena - ni lazima. Ili uendelee kufanya mengi bila kuanguka.

● Virutubisho lishe ni rafiki yako mpya katika dunia ya sasa. Vinakupa uhakika kwamba hata k**a hupati muda wa kula vizuri, mwili wako bado unapata nguvu na ulinzi unaohitajika.

wasiliana nami kupata vilutubisho lishe vyenye ubora wa hali ya juu 0753346534📞

Shuuda kutoka Kenya baada ya kutumia dozi.una changamoto ya uzazi karibu tukusaidie.
29/07/2026

Shuuda kutoka Kenya baada ya kutumia dozi.

una changamoto ya uzazi karibu tukusaidie.

HONGERA SANA KWA KUANZA DOZI, OFFICE ZETU ZIPO DAR ES SAALAM MAKUMBUSHO STAND K**A UPO MKOAN TUNAKTUMIA NA GHALAMA NI JU...
29/07/2026

HONGERA SANA KWA KUANZA DOZI,

OFFICE ZETU ZIPO DAR ES SAALAM MAKUMBUSHO STAND

K**A UPO MKOAN TUNAKTUMIA NA GHALAMA NI JUU YETU

WASILIANA NAMI *0753346534*

29/07/2026

SABABU ZA UKE KUTOA HARUFU MBAYA
FAHAMU SABABU ZA MWANAMKE KUTOA HARUFU MBAYA UKENI
Ni matumaini nyote mnaendelea vyema,
Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajuhi kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na kuwaumiza kichwa kutokana na kwamba lina athari kubwa sana kwani hufanya ndoa zao kudumaa NK,
~kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo
~majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria
~Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana
~mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu
VISABABISHI VYA TATIZO HILI
~sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili
(1)BACTERIA VAGINOSIS
~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili
(2)TRICHOMONAS
~maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hili
(3)YEAST INFECTION
~kwa kawaida Kuna kiwango kidogo cha yeast (candida albicans) katika uke, huwa tunasema Kuna maambukizi pale kiwango kinapozidi Hali ambayo inatokana na kubadilika kwa Hali ya hewa ukeni (Change in the PH balance of va**na)
~maambukizi ya yeast hayatokani na tendo la ndoa na tendo la ndoa, mambo ambayo huchangia tatizo hili ni MATUMIZI YA DAWA ZA KUZUIA MIMBA, MAWAZO, UJAUZITO, KISUKARI NA MATUMIZI YA ANTIBIOTICS
(4)VAGINAL OR CERVICAL CANCER,
~mtu anapokua na kansa ya uke, hutokwa na maji ya harufu mbaya, hivyo ni heri uwe unafanya check up ili kujua Afya yako na kwakuwa cancer ya kizazi inapona hivyo ni vema ukatambua mapema uanze tiba
(5)SEXUAL TRANSMITTED DESEAS (STDs)~Kuna baadhi ya magonjwa k**a vile KASWENDE NA KISONONO yanasababishwa na ngono na kuwa chanzo cha tatizo hili
(6)POOR HYGIENE ~tatizo la kutokwa na maji wakati mwingine husababishwa na muhusika kua mchafu yan mtu unaoga kwa siku mara moja, chupi moja ndio hiyo hiyo mwaka mzima, pads unakaa nayo saa 24, ukienda kukojoa ujitawadhi na maji masafi hivyo unategemea utakua salama kweli??? Zingatia usafi mrembo
DALILI ZA TATIZO HILI
~kutokwa na uchafu ukeni unaoambatana na kuwashwa au kutokewa na vipele, hii hutokana na kuharibika kwa uwiano wa bacteria hivyo kuwa na madhara na uchafu hutoka wa aina tofauti hapa chini nitaelezea kila Aina ya uchafu na dalili zake
WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU
~huu uchafu huonyesha dalili ya kuwa mzunguko wako wa hedhi umevulugika na wakati mwingine ni dalili ya kansa ya kizazi, mwanamke anayepata tatizo hili hutoa damu nyingi kuumwa sana nyonga
WENYE RANGI YA NJANO /KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
~Endapo uchafu huo utatoka k**a povu na wenye rangi ya kijani au njano na ukiambatana na harufu mbaya huwa ni dalili ya ugonjwa wa trichomonas, maambukizi ya parasite yanatokana na ngono zembe, dalili Yake nyingine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo
MWEUPE MZITO K**A JIBINI
~mara nyingi hii huwa ni dalili ya maambukizi ya fangasi(YEAST INFECTION) na dalili nyingine huwa ni kuvimba sehemu ya nje ya siri, kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
MWEUPE/KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI
~uchafu wa Aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria vaginosis, mara nyingi mwenye tatizo hili husikia muwasho na maumivu sehem ya nnje ya uke
~MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA TATIZO HILI NA TIBA YAKE
~Matibabu ya tatizo hili hufanyika baada ya kugundua chanzo cha tatizo na mara nyingi tiba Yake ni tiba ya dawa za antibiotics kitu ambacho si tiba nzuri zaidi kwasababu tatizo huweza kujirudia kila wakati na kusababisha matatizo zaidi hivyo tiba nzuri ni kuepuka hili tatizo kwa kufanya yafuatayo
👉EPUKA KUJIINGIZA VIDOLE MARA KWA MARA UKENI
👉EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA ANTIBIOTICS MARA KWA MARA
👉PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI
👉TUMIA PADS ZENYE ANIONS NI SALAMA KWA AFYA YAKO
👉SAFISHA VIZURI NGUO ZAKO ZA NDANI NA UZIANIKE JUANI NA HATA KUZIPIGA PASI
👉KUNYWA JUICE YA APPLE,STRAWBERRY, NANASI KWA WINGI
👉EPUKA KUFANYA NGONO ZEMBE
👉HAKIKISHA UNAJISAFISHA KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA
👉EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA
👉EPUKA KUTUMIA SABUNI AU VITU VYA MANUKATO UKENI,

29/07/2026

OUR PRODUCTS,

DOZI ZETU ZIPO WEKA ODA YAKO MAPEMA UANZE DOZI

KUNA AMBAE AJAANZA DOZI KWELI ?ANZA DOZI LEO UREJEE KWENYE UHALISIA WAKO
29/07/2026

KUNA AMBAE AJAANZA DOZI KWELI ?

ANZA DOZI LEO UREJEE KWENYE UHALISIA WAKO

Murembo k**a Mmeo ni anajua wajibu wake kwako na Familia yako (A RESPONSIBLE MAN)Hakikisha unamuheshimu na unakuwa sabab...
29/07/2026

Murembo k**a Mmeo ni anajua wajibu wake kwako na Familia yako (A RESPONSIBLE MAN)

Hakikisha unamuheshimu na unakuwa sababu ya yy kuona nyumbani ni sehemu SALAMA ya kupata FARAJA

Mwisho hakikisha NYETI ZAKO TUKUFU ni Nakshi,nadhifu (Hauna uchufu wenye harufu wala miwasho)na ni MTAMU kitu MNATO,UTELEZI sio Shida zako😋

Yaani zinamfanya ASIKIFU Kula hiyo Kitu😋😁

NB;Kama una changamoto kwenye via vya uzazi 📞0753346534 Kwa USHAURI & TIBA...

BAADA YA KUTUMIA DOZI.K**A BADO UJAANZA DOZI WASILIANA NAMI UPATE DOZI LEO
29/07/2026

BAADA YA KUTUMIA DOZI.

K**A BADO UJAANZA DOZI WASILIANA NAMI UPATE DOZI LEO

*KUKAZA UKE/UCHI KWA VIUNGO VIUNGO.*HAITAKIWI kuweka CHOCHOTE UKENI, hata k**a vitu vya asili sijui malimao, sijui tanga...
29/07/2026

*KUKAZA UKE/UCHI KWA VIUNGO VIUNGO.*

HAITAKIWI kuweka CHOCHOTE UKENI, hata k**a vitu vya asili sijui malimao, sijui tangawizi,k**a unataka *UKAZE misuli ya uke, kuwe kwembamba k**a Reli*, fanya KEGEL EXERCISE (hii haijalishi k**a umezaa au haujazaa,kila mwanamke anatakiwa Afanye misuli iwe strong na *uke USIPWAE*, uwe tight na ambao mwanaume akiingiza hata hisi ni *BWAWA* au Kaa Kwenye MAJI yenye BARAFU inasaidia kubana pia

*EPUKA KUSEX KWENYE HAJA KUBWA..*

Unakuta mwanamke anaingiziwa uume kwenye Haja kubwa,mara uume ushapelekwa kwenye
Uke...aiseeee, This is not healthy AT ALL...(*sio salama khabisa kwa afya yako ya uzazi *) .unakuwa hatarini kupata kila aina ya infection UKENI

*NB;Usisahau DOZI ZETU zinasaidia mamia ya wanawake kuondokana na changamoto zote sugu Jumla kwenye Mfumo wa Uzazi na inabana pia kipochi manyoya inafanya Uke wako kuwa Mtamu,mnato na Joto la viwango vya Juu😋*

➡️Ni Ya Asili 100% haina madhara kwa mama mjamzito na anayenyonyesha.

Kuanza DOZI wasiliana NAMI 0753346534

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share