06/08/2026
TAARIFA KWA UMMA ๐
KUTOKA: Uongozi โ AIM Global Tanzania Ltd.
Kwa kuzingatia maadhimisho ya kila mwaka ya Sikukuu ya Nane Nane, inayojulikana pia k**a Siku ya Wakulima, tunapenda kuwataarifu kuwa ofisi ya AIM Global Tanzania itafungwa siku ya Jumamosi, tarehe 08 Agosti, 2026.
Shughuli za kawaida zitaanza tena siku ya Jumatatu, tarehe 10 Agosti, 2026.
Katika kipindi cha likizo hiyo, huduma za encashment (malipo ya fedha) na encoding zitasitishwa. Hata hivyo, bado mtaendelea kuwa na uwezo wa kutumia DTC yenu.
Tafadhali zingatieni taarifa hii ipasavyo.
Asanteni.
Imetolewa Na: โ๏ธ
Marlon John Sales
Msaidizi wa Mkuu wa Tawi โ AIM Global Tanzania Ltd.