Rukia Virutubisho

Rukia Virutubisho Ninasaidia kutibu watu wenye changamoto mbali mbali za Kiafya kwa kutumia Tibalishe.

15/02/2026

K**a umetseka kwa muda mrefu na madonda ya tumbo/ vidonda vya tumbo. Basi tumia hizi bidhaa Leo na utakuja kuleta mrejesho hapa.

Haijalishi vidonda vyako ni sugu kiasi Gani, haijalishi ni vya muda Gani . Kuona matokeo ni Uhakika.

K**a unasumbuliwa na asidi, tumbo kujaa gesi, maumivu ya mgongo, maumivu ya tumbo, kuchoka mara kwa mara, kukasirika bila sababu, Kutopata hamu ya kula, kuchagua vyakula nk...

Nitafute Leo nikupe package yako uanze kuitumia Leo.

Usikubali kuteseka wakati suluhisho lipo.

10/01/2026

I just want to remind you, and am sure you will get something valuable through this video.

01/01/2026

Namna rahisi ya kubana uke, jaribu wakati ukiwa umetulia nyumbani kwako.

Yote kwa yote happy New Year 🎉 2026. Ikawe kheri kwako na familia yako uwe mwaka wa mafanikio kwako 🥰...

Waliotumia hii wanaelewa mt**i wake yaani haicheleweshi, haijalishi umeteseka au Umehangaika Kwa Muda Gani ila hii 🔥🔥Was...
01/09/2025

Waliotumia hii wanaelewa mt**i wake yaani haicheleweshi, haijalishi umeteseka au Umehangaika Kwa Muda Gani ila hii 🔥🔥

Wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 , ili kupata fertility booster yako Leo.

K**a ni Unatamani kubeba ujauzito basi  Usikose fertility booster ambayo Itakusaidia kurahisisha safari yako ya ujauzito...
01/09/2025

K**a ni Unatamani kubeba ujauzito basi Usikose fertility booster ambayo Itakusaidia kurahisisha safari yako ya ujauzito.

UKITUMIA FERTILITY BOOSTER UTAENDA KUEPUKANA NA HAYA

✅ Kuweka sawa mzunguko wako hedhi, hii Itakusaidia wewe kuweza kubeba ujauzito kirahisi
✅ Kuweka sawa mfumo wako wa Hormones, hivyo Utaweza kupata Ute wa ovulation kirahisi na hatimaye kuconceive.
✅ Kuimarisha Afya ya mayai ( eggs quality) hii itasaidia kuzuia mimba Kuharibika .
✅ Kuimarisha Afya na Kinga ya mwili wako, kwani ujauzito sio ugonjwa...Hali k**a kichefu chefu, kutapika, kuvimba baadhi ya sehemu za mwili , kuchoka au Uchovu uliopitiliza nk ukitumia fertility booster aah mbona unafurahia 😉
Na faida nyiingi utazipata endapo utaenda kutumia fertility booster.

By the way k**a Unahitaji fertility booster, basi wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 ili uanze mwanzo mwema wa safari yako ya Ujauzito karibu.

Hello Naitwa Madam Rukia Virutubisho, Nasaidia wanawake wenye changamoto mbalimbali za Uzazi k**a vile ✅P.I.D✅ Uvimbe kw...
01/09/2025

Hello Naitwa Madam Rukia Virutubisho, Nasaidia wanawake wenye changamoto mbalimbali za Uzazi k**a vile
✅P.I.D
✅ Uvimbe kwenye kizazi ( fibroids)
✅ Mirija Kuziba
✅ Uvimbe Maji kwenye kizazi ( Ovarian cyst)
✅ Kushindwa Kubeba Ujauzito
✅Mimba Kuharibika
✅ Mimba Kutunga Nje Ya mfuko wa Uzazi
✅ Hormonal Imbalance
✅ Moral Pregnancies
✅ Maumivu Makali Wakati Wa Tendo
✅ Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi...nk

Kwa suluhisho Bora la Afya yako, usisite kuwasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 . Karibu.

Ni**le Discharge, ni Hali ambayo maji, Ute, au maji maji aina yoyote hutokea kwenye chuchu ya mwanamke au mwanaume, na h...
01/09/2025

Ni**le Discharge, ni Hali ambayo maji, Ute, au maji maji aina yoyote hutokea kwenye chuchu ya mwanamke au mwanaume, na hii Hali haihusishwi katika Kipindi Cha kunyonyesha au ujauzito.

Ni**le Discharge ni kawaida kutokea kwa mwanamke ila si kawaida endapo ikitokea kwa mwanaume.

Lakini Hali hii ya chuchu kutoa maji au uchafu hutokea sana kwa Wanawake,

AINA ZA MAJI YANAYOWEZA KUTOKA KWENYE CHUCHU

✅K**a maziwa – mara nyingi hutokea kwa sababu ya homoni au mimba.

✅K**a damu – hii mara nyingi siyo ya kawaida na inahitaji uchunguzi.

✅K**a usaha – huashiria maambukizi ya t**i.

✅Maji safi au ya njano kidogo – yanaweza kuwa ya kawaida au kutokana na uvimbe mdogo kwenye t**i.

SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA CHUCHU KUTOA MAJI.

✅Kubonyeza chuchu mara kwa mara

✅Mimba au baada ya kuacha kunyonyesha

✅Birth control pills ( Vidonge vya Uzazi wa mpango)

✅Maambukizi ya t**i

✅Uvimbe mdogo ndani ya t**i

✅Saratani ya t**i (hasa k**a damu inatoka chuchu moja tu)

By the way, k**a na wewe ni mmoja Kati wanawake wanaopitia changamoto hii basi , tunalosuluhisho kwa ajili yako, kwani wengi wenye changamoto k**a hii niliyowasaidia wamepona , Sasa kwanini isiwe kwako?

Wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 kwa kunitumia ujumbe NAHITAJI, ili uanze safari yako ya matibabu kupitia Virutubisho vyetu asili.

Fibroids ni Uvimbe Unaokua ndani au juu ya Kuta za mfuko wa Uzazi wa mwanamke ( Uterus) , Kwa kawaida huwatokea wanawake...
31/08/2025

Fibroids ni Uvimbe Unaokua ndani au juu ya Kuta za mfuko wa Uzazi wa mwanamke ( Uterus) , Kwa kawaida huwatokea wanawake wenye umri wa kuzaa kuanzia miaka 15 mpaka 49.

Chanzo au sababu ya Ugonjwa huu haujathibitishwa kwani hakuna kiashiria kinachoonesha kuchochea changamoto hii ila ....

Kuna vichocheo viwili ambavyo hupelekea mwanamke kupata Uvimbe kwenye kizazi, k**a vile
✅ Kurithi kutoka kwa mama, bibi, au yeyote ambaye mwenye historia ya kuwa na ugonjwa huu.
✅ Hormonal changes oestrogen na progesterone
Homoni hizi zinasabisha tishu zilizopo ndani ya mfuko wa Uzazi (Uterus) kutanuka wakati wa kipindi Cha mzunguko wa hedhi, kwahiyo hizi homoni zinasabisha fibroids kukua au kuongezeka.

UTAJUAJE K**A UNA FIBROIDS?

✅ Kutokwa Na Damu Nzito Wakati Wa Hedhi yaani mabonge mabonge
✅ Kupata Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi
✅ Hedhi Kupitiliza , yaani kupata Hedhi zaidi ya siku 7
✅ Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa (Kujamiiana)
✅ Kutokwa Na Damu Baada ya tendo la ndoa
✅ Kukosa au kupungua kwa hamu ya tendo ( Hii ni Kwa baadhi ya wanawake)
✅ Kukojoa mara kwa mara/ kushindwa kuhimili mkojo.
✅ Kukosa Choo
✅ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu/ Maumivu ya kiuno na mgongo ( inaweza kutokea wakati wa hedhi au wakati wa tendo)
✅ Kushindwa Kubeba Ujauzito.

NB: mara nyingi viashiria hivi Huwa havitokei kwa wanawake wote , ila ni baadhi ya wanawake ndio Huwa wanapitia Hali hii hii inatokana na nature ya mwili wa mwanamke. Hivyo wengine hugundua wanafibroids mpaka pale wanapoenda kupima hospital.

By the way, k**a na wewe ni mmoja kati ya wanawake ambao wanapitia changamoto hii ya fibroids ni vyema kupata matibabu mapema kwani ni very risk kukaa na ugonjwa bila kuutibia.

Nimesaidia wanawake wengi wenye changamoto k**a hii, hivyo k**a unasumbuliwa na changamoto hii ya Uvimbe kwenye kizazi basi
@ rukia Virutubisho yupo kwa ajili yako kukusaidia

Wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 , ili kupata suluhisho thabiti na la uhakika .

Endometriosis ni tatizo linalohusisha Tishu kwenye ukuta wa kizazi(Uterus) kukua zaidi kuelekea nje. Ni ugonjwa ambao ti...
31/08/2025

Endometriosis ni tatizo linalohusisha Tishu kwenye ukuta wa kizazi(Uterus) kukua zaidi kuelekea nje. Ni ugonjwa ambao tishu
zinazofanana na utando wa uterasi kukua nje ya uterasi,

Hali hii huweza kusababisha maumivu makali eneo la nyonga kwa mwanamke na kufanya iwe vigumu kwake kubeba ujauzito.

Endometrosis ni tatizo Sugu linalohusishwa na;
Dalili mbali mbali ambazo mwanamke mwenye changamoto hii hupitia k**a vile

✅ Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi
✅ Kutokwa Na Damu Nyingi au Kidogo Wakati Wa Hedhi
✅ Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa
✅ Maumivu Wakati Wa Kukojoa
✅ Matatizo ya tumbo k**a Kukosa Choo ( Constipation) , Kuharisha , pamoja na Tumbo kujaa gesi au kuvimba ( bloating)
✅ Maumivu ya tumbo au mgonjwa wakati wa hedhi
✅ Kushindwa Kubeba Ujauzito.
✅ Kupata kichefu chefu, Uchovu pamoja na mfadhaiko au wasi wasi.

NB.: Kwa baadhi ya wanawake Huwa Dalili k**a hizi hawazipati mpaka pale atakapo kuja kugundua anatatizo la kushindwa Kubeba Ujauzito,

K**a na wewe ni mmoja kati ya wanawake Hawa wanaosumbuliwa na changamoto hii , basi Nina suluhisho kwa ajili yako wewe mwanamke unayesoma ujumbe huu , kwani...

Nimesaidia wanawake wengi sana wenye changamoto k**a hii , na wamepona kabisa, Sasa hii ni zamu yako na wewe kuondokana na changamoto hii

Wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 kwa suluhisho la uhakika.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255788282112

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rukia Virutubisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share