Miguu Salama

Miguu Salama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Miguu Salama, Medical and health, Dar es Salaam.

Bidhaa za wenye Matatizo yafuatayo:-
 Vinundu vya Kwenye Mguu
 Miguu Isiyo na Uvungu
 Maumivu ya Nyayo na Visigino
 Maumivu ya Magoti na Ankle
 Vidole Vilivyobanana

Leg brace za Kulalia. Hizi ni Braces maalum kwa ajili ya kunyoosha Matege na miguu iliyopinda kwa watoto. Braces hizi hu...
16/07/2026

Leg brace za Kulalia.

Hizi ni Braces maalum kwa ajili ya kunyoosha Matege na miguu iliyopinda kwa watoto.

Braces hizi huvaliwa usiku au muda wa kula la au kipindi ambacho mtoto Hana movements za kumuhitaji akunje na kukunjua miguu.

Zimetengenezwa kwa material imara yasiyochubua ngozi huku yakimfanya mtoto kuwa huru, na kumchochea unyooshwaji mzuri.

Tunapatikana, Jet Lumo. Mwisho wa Lami, Temeke Dar es Salam.

Mawasiliano:- 0624740012 au 0716172471

29/05/2026

Viatu vya Shule (Boots)

Hivi ni maalum kwa ajili ya watoto waliopinda miguu usawa wa ankle kutokana na kukosa uvungu.

Viatu hivi huvalika shuleni na hata nje ya Shule.

Tunapatikana Jet Lumo, Mwisho wa Lami, Temeke Dar es salaam.

Mawasiliano :- 0624740012 au 0716172471.

Viatu vya Shule, Maalum vya ngozi kwa ajili ya kunyoosha miguu iliyoegemea upande mmoja na kutengeneza uvungu.Zinakuja n...
29/05/2026

Viatu vya Shule, Maalum vya ngozi kwa ajili ya kunyoosha miguu iliyoegemea upande mmoja na kutengeneza uvungu.

Zinakuja na options za mikanda au Kamba, pia vinavalika kwa jinsia zote.

Tunapatikana Jet Lumo, Mwisho wa Lami, Temeke Dar es Salam.

Mawasiliano :- 0624740012 au 0716172471.

PATA INSOLES IMARA KWA AJILI YA WATU WAZIMA WENYE MIGUU BAPA. Habari za Leo, kwa watu wazima ambao umri wao umesogea kia...
29/04/2026

PATA INSOLES IMARA KWA AJILI YA WATU WAZIMA WENYE MIGUU BAPA.

Habari za Leo, kwa watu wazima ambao umri wao umesogea kiasi cha kushindwa kutatua changamoto ya miguu kukosa uvungu, tunawatelea insoles maalum kwa ajili ya kupunguza maumivu, kuuweka mguu sawa, kukuwezesha kuvaa aina zozote za viatu na kutembea umbali mrefu bila kuchoka.

Bei ya Pair Moja ni Tsh 20,000/-, kwa pair mbili ni Tsh 30,000/-.

Tunapatikana jet lumo mwisho wa lami, Temeke Dar es Salaam.

Watu wa mikoani tunawatumia.

Karibuni Sana.

22/02/2026

Leg brace kwa Ajili ya Kurekebisha Matege.

Braces hizi zimetengezwa hapa nchini, zina support ya chuma ubavuni, material ya ngozi na sponge gumu kwa ndani.

Zinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa pia zinadumu muda mrefu.

Mtoto ataendelea na movements zake za siku au kulala nazo bila kikwazo chochote huku zikifanya kazi ya kurekebisha miguu ye ye Matege.

Tunapatikana Temeke, Jet Lumo, Dar Es Salaam. Ila huduma inakufikia popote Tanzania.

Call/WhatsApp :- 0624740012 au 0716172471

Madhara ya Miguu isiyo na Uvungu. Japo suala la miguu kukosa Uvungu huonekana la kawaida kwa baadhi ya watu lakini swala...
06/02/2026

Madhara ya Miguu isiyo na Uvungu.

Japo suala la miguu kukosa Uvungu huonekana la kawaida kwa baadhi ya watu lakini swala hili huwa na madhara makubwa kwa baadhi ya watu siku za using:-

1)Kushindwa kusimama vzr, maumimivu na uchovu.

2) Miguu kwenda upande na kushindwa kushiriki vzr michezo ya watoto k**a kukimbia n. K.

3)Miguu kwenda upande humfanya mtoto ajione wa tofauti au mlemavu, pia husababisha viatu kulika au kuharibika upande mmoja.

4)Maumivu ya magoti, kiuno na nyonga pamoja na maumivu sehemu ya chini ya mgongo siku za usoni.

Karibu tukuhudumie kupata viatu vya shule au nyumban vyenye uwezo wa kutatua changamoto hiyo.

Tunapatikana Temeke, *Jet Lumo, Mwisho wa Lami.*

Tupigie kwa simu *0624740012* au *0716172471*

*Karibu Sana.*

08/01/2026

Miguu Salama, tunahakikisha una pata viatu sahihi kwa ajili ya kutatua changamoto za miguu ya mwanao.

Katika kipindi cha kurudi mashuleni, tunatengeneza viatu maalum vya kuendea shuleni na pia vya Kush India nyumbani vyenye uwezo Wa kunyoosha miguu na kuipa uvungu miguu iliyokosa uvungu.

Tupigie :- 0624740012 au 0716172471

31/12/2025

Viatu Vya Shule Kwa Wavulana wenye Miguu Bapa.

Viatu hivi husaidia kutengeneza uvungu na kuweka sawa sehemu iliyolalia upande mmoja kwa Wavulana wakivitumia kawaida shuleni.

Ni Imara na vina muonekano Wa kawaida bila kumfanya ajione Wa tofauti.

Tunapatikana, Jet Lumo, Mwisho wa lami. Temeke Dar es Salaam.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517

23/12/2025

Karibu Miguu Salama.

Tutatue changamoto za miguu ya Watoto wetu pamoja.

Viatu vya kutengeneza Uvungu. Hivi ni viatu maalum vya kutengeneza Uvungu na kunyoosha miguu iliyopinda kwa Watoto. Vina...
21/12/2025

Viatu vya kutengeneza Uvungu.

Hivi ni viatu maalum vya kutengeneza Uvungu na kunyoosha miguu iliyopinda kwa Watoto.

Vina muonekano mzuri huku vikifanya kazi iliyokusudiwa kwa ufanisi mkubwa.

Viatu hivi utavipata kwetu kwa gharama ya Tsh 65,000/- Hadi 75,000/- tu.

Package yake inakuwa na Kiatu pair Moja, Insole pair moja na arch support pair moja.

Tunapatikana Temeke, Jet Lumo mwisho wa lami.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miguu Salama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Miguu Salama:

Shortcuts

Share