Afya Online na DR. Kilatenga

Afya Online na DR. Kilatenga Kwa ushauri na Tiba kuhusu Afya ya uzazi wa mwanaume na Mwanamke..karibu sana tukuhudumie.

27/08/2026

“Nakumbuka nikiwa mdogo Kuna dada yangu aliweka hicho kitanzi bahati mbaya kikafyatuka akawa anaumwa sana ila walikitoa lakini anakiheshimu ataki ata kukisikia hicho kitu.

Na pia nasikia ukiweka uwe na bwana mmoja usiwe unabadilisha maana ukikutana na guu la Ng'ombe kinazamishwa ndani”. 🤏😎
_**Alisikika Dogo Mmoja hivi alisema maneno hayo..*"_

VIPI MAONI YAKO KUHUSU AINA HII YA UZAZI WA MPANGO?

JE, UMEWAHI KUTUMIA?

*Dr. Kilatenga*
*0746 846 891*

22/08/2026

TIBA ZA UHAKIKA ZIPO TATIZO LIPO KWAKO TU KUAMINI... 🫵

22/08/2026

Jibu ni diyo, inawezekana mwanaume kuwa na maambukizi ya fangasi bila kuonyesha dalili zozote. Hii ndiyo sababu mwenza anaweza kuwa na dalili k**a kuwashwa, uchafu mweupe au maumivu, huku mwenzake akiwa hana dalili.

👉 Maambukizi yakirudia mara kwa mara, ni muhimu wote wawili kupimwa na kupata ushauri wa mtaalamu wa afya, badala ya mmoja kutibiwa pekee.

❤️ Afya ya uzazi ni jukumu la wote wawili. Usipuuzie dalili!

Dr. Kilatenga
0746 846 891

22/08/2026

Kutoa mimba zamani si lazima kusababishe ugumba, lakini k**a kulikuwa na matatizo wakati au baada ya kutoa mimba, yanaweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito.

Sababu zinazoweza kuhusika ni:

Maambukizi ya kizazi au mirija ya uzazi baada ya kutoa mimba.

Kuziba kwa mirija ya uzazi.

Madhara kwenye kizazi kutokana na utaratibu uliofanyika.

Matatizo ya homoni au kutotokea kwa yai vizuri.

Pia, tatizo linaweza kuwa kwa mwanaume, si mwanamke pekee.

👉 Muhimu: K**a umefanya tendo bila kinga kwa miezi 12 bila kupata ujauzito (au miezi 6 ikiwa una miaka 35+), ni vizuri wote wawili kupima hospitalini ili chanzo kijulikane.

*Dr. Kilatenga*
*0746 846 891*

20/08/2026

*NOTE:-*

REPROCARE ni kwa ajil ya kuondoa Fungus yaani harufu mbaya ukeni inayo ambatana na Uchafu pamoja na Miwasho, UTI...

Japokuwa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata matokeo makubwa zaidi k**a vile, kupata ujauzito, kubalance homoni, na kuondoa ukavu ukeni...

*Matokeo haya... Hayawezi kuwa sawa kwa kila mwanamke... 🤏😎*

14/08/2026

*Hahaha.... Make kwanza hapo nicheke... 😂😁*

Ila Wanawake bwana Mnatia aibu sana.. Wala hamjali kabisa kuhusu thamani zenu...!

Yaani yaani mpaka pesa ya kununua REPROCARE ukamuombe Mumeo?

Wewe pesa zako ufanyiaga nini Sasa kwamfano?

Je, vip k**a akikunyima, itakuaje.. Utaendelea kutoa harufu mbaya ukeni pamoja na Miwasho?

Hivi unafaham, Mwanaume anakuonaje anapo sikia unatoa haruf mbaya ukeni?

Hata k**a akikua pesa ya Tiba Lkn kuna namna lazima akuone fara.. 😁

Yaani ni Mwanamke mchafu, usie jithamini... Vitu zingine unatakiwa kumaliza mwenyewe kimya kimya..

Ili mumeo akikuhitaji akukute unautofauti... Ndio maana wengi Mnaishi na Wanaume Lakini hawataki hata kuwa gusa usiku mzima... Mna Anza kuwaza et amekuchit huko nje...😁

Kumbe kila akiwa Ile shombo ya samaki huko kwa Bibi basi hamu ikakata kabisa na usingizi unakuwa mtamu... 🤏😎..

Zipo changamoto za kumuhusisha Mume k**a PID, UTI pamoja na Mvurugiko wa Homoni ambavyo vimekuwa sugu na umasha fanya kila njia umeshindwa...!

Dr. Kilatenga
*0746846891*

13/08/2026

Tatizo ni kwamba haujui uzito na ukubwa wa changamoto yako, ndio maana changamoto imekutesa miaka mitatu Lakini wewe unataka kupona kwa siku moja...!

Unapewa dozi haumalizi, una badili badili madawa ya kila aina ambayo yanaongeza hatari ya usugu zaidi na sumu mwilini...!

Tiba inahitaji Imani na utulivu wa Moyo Lakini pia muendelezo mzuri wa kutumia Tiba na kufuata maelekezo ya Daktari... 🫵

13/08/2026

*KWANINI WEWE HAUFIKI KILELENI?*

Si kila mwanamke anayeshindwa kufika kileleni hana hamu ya tendo. 😔

Wengine hupitia maumivu wakati wa tendo, hali inayoweza kuwafanya washindwe kufurahia tendo na kufika kileleni.

🥺 Usivumilie maumivu kimya kimya. Mwili wako unastahili kueleweka, kusikilizwa na kupata msaada.

❤️ Tendo la ndoa linapaswa kuwa sehemu ya upendo na faraja, si chanzo cha maumivu.

Sababu ziko nyingi sana za maumivu wakati wa tendo la ndoa...

*Njoo inbox tuhojiane vizuri ili nijue chanzo cha changamoto yako na nikupatie tiba ya uhakika kulingana na changamoto yako...🫵*

Dr. Kilatenga
0746 846 891

07/08/2026

USIPUUZE DALILI ZA PID! 🚨

Maumivu ya mara kwa mara chini ya tumbo, maumivu wakati wa tendo, uchafu usio wa kawaida, maumivu ya mgongo au maumivu ya mara kwa mara yanaweza kuashiria PID (maambukizi kwenye mfumo wa uzazi).

⚠️ PID isipotibiwa mapema inaweza kusababisha madhara kwenye mirija ya uzazi na kuathiri uwezo wa kupata ujauzito.

👉 Ukiona dalili hizi, fika kituo cha afya kwa uchunguzi na matibabu sahihi.
Tiba ya PID inahitaji uvumilivu, Imani na Muendelezo wa kutumia Tiba angalau kuanzia siku30 mpaka90 ili kuhakikisha mfumo wa uzazi upo salama kabisa...

Ukwel ni kwamba sio rahisi UTI, FUNGUSI, PID pamoja na magonjwa mengine ya uzazi kutibika moja kwa moja kwa kutumia sindano na madawa ya hospital badala yake hupoza tu ugonjwa na mwisho wa siku linajirudia tena yakiwa sugu zaidi...

Tutakusaidia kuondoa changamoto hiyo moja kwa moja kwa haraka Zaid kwa kutumia virutubisho salama kabisa kwa Afya yako...

💚 Afya ya uzazi ni muhimu—chukua hatua mapema!

Dr. Kilatenga
0746 846 891

06/08/2026

👉Kwanza kabisa fangasi ukeni husababishwa na Mvurugiko wa uwiano wa bakteria wazuri ukeni (Ph) kutokana na Mazingira...

Na hizi ndio njia za kufanya ili kujikinga na kuzuia maambukizi ya fangasi ukeni :-

➡️Tumia nguo za ndani zilizo tengenezwa na cotton (pamba)..

Kwasasabu hizi hazitengenezi joto sehemu za siri, wala sio rahisi kutengeneza michubuko..

➡️Usitumie Maji unayo yakuta chooni direct.. Hasa Yale yanawekwa kwenye vyombo k**a Jaba, ndogo nk...

Itakuwa vizur k**a utaingia na Maji yako au k**a kuna Bomba na Maji Yana tiririka itapendeza zaidi...

➡️Jikaushe kwa Tishu ukeni baada ya kujitawadha, usivae nguo ya ndani k**a bado una Unyevu nyevu..

➡️Anika nguo zako za ndani kwenye jua, k**a Mazingira haya ruhusu piga pasi nguo zako kabla ya kuvaa..

➡️Tumia sana mtindi au Yoghat badala ya Pepsi na juice... 🤏😎

Kwasasabu husaidia kulinda na kutengeneza bakteria wazuri ukeni, wanao tengeneza ute, joto na Hamu ya tendo la ndoa...

➡️Hakikisha haukosi REPROCARE ndani kwako au kwenye kibegi chako...

Hii ni kwa ajili ya usafi wako k**a Mwanamke, utaitumia kujisafisha sehem za siri kila unapo Maliza haja ndogo...

Itakusaidia kuondoa Miwasho inayo ambatana na harufu mbaya ukeni pamoja na uchafu, itakulinda dhidi ya maambukizi mapya ya fangasi na UTI..

_*K**a Ume elewa Sema Ameeen.... 🙏*_

Dr. Kilatenga
0746 846 891

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Online na DR. Kilatenga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share