Evodia Medical Help

Evodia Medical Help Evodear | Mtaalamu wa Afya ya Uzazi | Elimu | Ushauri | Huduma Bora
Ninasaidia wanawake kutatua changamoto za uzazi kwa ushauri sahihi na suluhisho salama.

24/09/2026

Jitahidi Sana Ukiwa Unatafuta Mtoto Upate Ute K**a Huu

Huyu Ni Moja Ya Client Wangu Amekuwa Akitafuta Kwa Muda Mrefu Tu

Na Leo Kubarikiwa Kuona Hii
Ikiwa Na Wewe Hupati Uke Ute Wanasema Ovulation Niko Hapa Nicheki Nikusadie

0765663526

20/09/2026

Ni Weekend Detoxification Tips
Za Kukifanyia Wewe Kuupa Mwili Rutuba Na Utulivu

Kwa Sh.2000 Tu

Mpe Huyo Mwali Wangu Nguvu Zak
e Zinaanzia Uku Kwenye Asili

Mie Nipo Hapa Kukupa Tips za Weekend
Usiache Kunitafuta Kwa No. 0765663526 Whatsapp na Normal Call

18/09/2026

Kinachowasumbua Wewe Hapo kwamba Unadhani kuchelewa kwa Hedhi kunamaanisha Ujauzito Pekee Kumbe Sababu Zinaweza Kuwa Nyingi Zaidi 💯

✓ Msongo wa mawazo unapopanda, mwili huzalisha cortisol kwa wingi na kuvuruga homoni za uzazi. pia

✓ Mabadiliko Makubwa ya uzito kupungua ghafla au kuongezeka kupita kiasi yanaweza kubadilisha kabisa viwango vya estrogen na progesterone

Hata Matatizo ya Tezi (thyroid), ambayo mara nyingi hayajitokezi mapema, yanaweza kuathiri mzunguko wa hedhi kwa nguvu kubwa kuliko unavyodhani

Hivyo Basi Chukua Yako Hapa Nambie Wewe Unapata Dalili Gani Hapa

Niko Kwa Namba Hii 0765663526

12/09/2026

Ikiwa Hedhi Yako Inatoka Hivi ,Basi Nakusihi SIkiliza Sauti Ya Hedhi Yako

Mabonge Mabonge
Maumivu Makali
Nyeusi Snaa Mwanzo Hadi Mwisho
Ni Nzito Sana
Inatoka Na Vinyama Nyama

Nakusanua Sasa Hizi Ni Dalili Mbaya Za Ndani Ya Kizazi Na Hata Vimbe Pia.

Nicheki Kwa Mawasiliano Haya Nikusadie 0765663526. aya Niandikie Wewe Umekuwa na Changamoto Hiii Kwa Muda Gani Na Je Hedhi Yako Inafananaje?

08/09/2026

*Nakupa Siri Hii | Jinsi PID Inavyo mumunya Ndoto za Uzazi wako....*

Kuna ugonjwa mmoja ambao unatembea kimya kimya...

Unakula ndoto za ndoa, Unavunja tumaini la uzazi, na kugeuza furaha kuwa machozi...

Umesikia nini kuhusu PID..!? (Pelvic Inflammatory Disease)

Naam..! PID, Ni adui wa uzazi wa wanawake, Lakini cha kushangaza zaidi, Wanaume ndio chanzo kikuu bila hata kujua...

Ipo hivi.....

PID (Pelvic Inflammatory Disease) Ni ugonjwa unaomchoma mwanamke Si mwanaume.

Kwa sababu PID ni maambukizi yanayopanda juu kupitia njia ya uzazi ya mwanamke na kuathiri kizazi, mirija ya fallopian, na ovari...

Hapa ndipo siri ilipo… 👇

Mwanaume hauguwi PID, ila anaweza kuwa mhifadhi na msambazaji wa vimelea (bacteria k**a Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae)...

Bila dalili, bila maumivu, unajiona mzima lakini unabeba kifurushi kisichoonekana ambacho kwa kila tendo la ndoa, kinasafiri hadi kwa mke wako..

Na matokeo yake..?

✓ Mirija inaziba kabisa, Yai haliwezi tena kusafiri...

✓ Hormone imbalance, Mfumo mzima wa mwili wa mwanamke unavurugika...

✓ Maisha Bila mtoto, Familia inageuka uwanja wa lawama, na maumivu ya kimya...

Sasa, jiulize swali hili....

Kwa nini wanawake wengi wakitibu PID hawaponi kabisa..?

Jibu ni gumu, lakini ukweli ni huu… 👇

Sio PID pekee inayokuumiza, Ni usugu wa vimelea unaosababishwa na matumizi mabaya ya dawa..

✓ Dawa za kuweka ukeni bila ushauri..

✓ Sindano za mara kwa mara, Wengine wamechomwa hadi 7 days bila mafanikio...

✓ Kutumia dawa bila kufuata mpango kamili wa tiba sahihi...

Matokeo yake?

Vimelea vinakuwa sugu, vinakataa dawa, na ugonjwa unarudi mara kwa mara huku ndoto za uzazi zikizidi kufifia...

Siri ya ukombozi ipo hapa...👇

✓ Kupima kwa usahihi, Bila vipimo sahihi, tiba itakuwa ni kubahatisha.

✓ Kufuata ushauri wa daktari, Sio kujitibu ovyo ovyo kwa kununua dawa maduka ya dawa au mitandaoni...

✓ Wanaume kushiriki matibabu, Kwa sababu chanzo mara nyingi kiko upande wao..

NB: K**a wanaume tunalo jukumu la kulinda wake zetu.

K**a familia tunalo jukumu la kulinda vizazi vyetu.

Na k**a jamii, tunalo jukumu la kuvunja ukimya, ili PID isiendelee kuua ndoto za uzazi....

Hii sio tu elimu, ni wito wa mapinduzi ya afya ya uzazi, Tuchukue hatua, Leo...

Chukua Namba Hii Hapa Kwa Huduma Ya Haraka Sana

0765663526

07/09/2026

Tumia Hii Combo Kumaliza Changamoto Ya Hedhi Yoyote ,

Kupata Ovulation, Hadi Mtoto

Kumaliza Changamoto Ya Homoni Imbalance na

Ni Ukihitaji kesho Ni Unajipangia Bei Hadi Niridhike Na Kuchukua Package Yako

Mikoani Natuma Pia
Nipigie Sasa 0765663526

Njoo Ufrash Kila Kitu

05/09/2026

Ikiwa Wewe Una Changamoto Hapa Hivi👇

Mayai Yanashindwa kupevuka Haraka, Hedhi ya Mabonge, Kusafisha Mfumo wa Uzazi na kushika Ujauzito

Nitafute Hapa Tuongee Leo na Kesho

Chukua Mawasiliano Yangu
0765663526

03/09/2026

Kuna Raha Nyie Ya Kubeba Hivi Watoto Tena Wawe ni Wako

Sio wa Kupigia Picha

Niko Kukusadia Kupata Mtoto
0765663526

29/08/2026

Umechoka Kuanza Kila Mwezi Ukiwa na Matumaini…

Halafu Mwili Wako Unakupa Majibu Tofauti? 💔

Cycle Inabadilika, Hedhi Haieleweki, Unahisi Mwili Wako Hauko Kwenye Balance, na Safari ya Kutafuta Ujauzito Inaanza Kuwa ya Maswali Mengi kuliko Majibu.

Usipuuze Ishara Hizo.
FEMORA FERTILITY ni bidhaa Mpya iliyolenga kuwa Sehemu ya Safari Yako ya Support ya Afya ya Uzazi, Cycle na hormonal Imbalance.

Funga Mwezi Na Ofa Yako Leo na Kesho

Usilipie 10000/= Badala Yake Lipia 75000/= Tu Okoa 25000/= Leo na Kesho

Kwa Wanawake 3 Tu Wanaotamani Kupata Ujauzito.

DM neno “FEMORA" Nikueleze Namna ya Kupata Bidhaa Hii .

Au Nipigie Sasa Kwa Mawasiliano Haya Nikusadie 0765663526.

28/08/2026

Kuna Package Yako Wewe Ambaye Una HEDHI Isiyoeleweka, Hujui Namna Ya Kuhesabu Mzunguko Wako.

Nipigie Kwa Msaada na Yoda Ya Leo na Kesho Kwa Mawasiliano Haya 0765663526

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evodia Medical Help posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share