Healthy life style Tz

Healthy life style Tz Healthy life style is a non-profit organization that deals in addressing the rapidly growing risks of noncommunicable diseases In Tanzania.

Tufanye mazoezi nusu saa kwa siku ikiwa ni pamoja na mlo kamili bila kusahau matunda.
21/07/2017

Tufanye mazoezi nusu saa kwa siku ikiwa ni pamoja na mlo kamili bila kusahau matunda.

Mazoezi iwe sehem ya maisha yetu, kila mmoja kwa wakati wake au kwa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kada na  rika...
17/06/2017

Mazoezi iwe sehem ya maisha yetu, kila mmoja kwa wakati wake au kwa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kada na rika tofauti tunawashauri kujenga utamaduni wa mazoezi ili kuweza kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza (non communicable chronic diseases)

Individuals will achieve healthier lifestyles when prevention and wellness programs are accessible and available in thei...
04/06/2017

Individuals will achieve healthier lifestyles when prevention and wellness programs are accessible and available in their workplace, through their health provider, and in their communities.

Nia na madhumuni ni kuhakikisha jamii inabadili namna ya kuishi kwa mazoea na kuanza maisha yenye mpangilio kwa kutambua afya zao kwa kuwapa elimu ya kujikinga na magonjwa pamoja na kuingiza ratiba za mazoezi na kupata mlo kamili.

One of the best aspects of health care reform is to starts to emphasize prevention.Kwa wote mliokuwa tayari kujikinga na...
04/06/2017

One of the best aspects of health care reform is to starts to emphasize prevention.

Kwa wote mliokuwa tayari kujikinga na kisukari, magonjwa ya moyo, cancer aina mbalimbali na mengine yasiyo ambukiza, tembelea hii page kwa kukupa maelekezo sahihi kwa namna bora zaidi za kujikinga.

Start to be responsible for your own health.
23/05/2017

Start to be responsible for your own health.

https://www.youtube.com/watch?v=2_WK4m6oIAM
23/05/2017

https://www.youtube.com/watch?v=2_WK4m6oIAM

We are about to change your Health life forever With us you get to know all about Non Communicable Diseases, you can prevent yourself from those diseases Be ...

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Healthy life style Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share