African Rich Mindset

African Rich Mindset ๐Ÿง  Wealth starts in the mind
๐ŸŒ African success & money mindset
๐Ÿ’ฐ Passive income โ€ข Financial freedom
๐Ÿš€ Learn โ†’ Apply โ†’ Earn
๐Ÿ”— Click the link ๐Ÿ‘‡

NJIA 7 ZA KUONGEZA VALUE KWA WATEJA ๐Ÿค”๐Ÿ’ก  Enhee... K**a na wewe unataka biashara yako iwashike wateja zaidi, wakurudie ten...
08/09/2025

NJIA 7 ZA KUONGEZA VALUE KWA WATEJA ๐Ÿค”๐Ÿ’ก

Enhee... K**a na wewe unataka biashara yako iwashike wateja zaidi, wakurudie tena na tena...

Basi, kwenye hii post,

Kuna hizi mbinu saba rahisi sana...

lakini watu wengi bado hawazijui...

(โŒโŒUSIWE MIONGONI MWAO!โŒโŒ)

Swipe left sasa... ๐Ÿ‘‰ Jifunze njia hizi 7 za kuongeza thamani na kujitofautisha sokoni.

Na nikudokeze tu...
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
(Usipojua Njia #3 unaweza kupoteza wateja kimya kimyaโ€ฆ bila kujijua)

For more information, Bofya link in Bio.

Yani, Mpaka Inafika siku unakuta...umeishi miaka mitano ukisema โ€œbaadaye.โ€Usishangae.Hii mara nyingi Inaanza kwa kusema,...
29/06/2025

Yani, Mpaka Inafika siku unakuta...
umeishi miaka mitano ukisema โ€œbaadaye.โ€

Usishangae.
Hii mara nyingi Inaanza kwa kusema,
โ€œNitafanya keshoโ€ฆโ€
โ€œNitaanza wiki ijayoโ€ฆโ€
โ€œMuda wangu badoโ€ฆโ€

Halafu siku zinapita.
Kisha, Wiki zinapita.

Miaka nayo inasonga.
Na wewe bado upo pale pale na ndoto zako mkitazamana bila kujua "WHAT NEXT??".

K**a unakumbuka....
Ulishasema utatengeneza/kuuza product flani.
Ulisema utajifunza Digital marketing.

Pia... Ulisema "HUU MWAKA" utakuwa boss wa maisha yako.
Lakini ukaahirisha mara mojaโ€ฆ mara mbiliโ€ฆ

Mpaka ikawa tabia.

Na kabla hujajua, miaka mitano imepita.
Upo kwenye kazi usiyoipenda.

Simu yako bado unatumia tu kushea memes, sio bidhaa au biashara.

Na bado unatazama wengine wakifanikiwa, huku ukijifariji kwa "muda wako utakuja tu."

Ukweli ni kwamba,,, Kuna wakati inabidi ujikubali:
Sio suala la muda kukosekana bali ni vipaumbele na maamuzi tu.

Na ukikwepa kufanya maamuzi leo,
bado utajikuta mahali pale pale miaka ijayoโ€ฆ
ukiwa mtu yule yule, mwenye ndoto zile zile.

๐Ÿ›‘ Acha kuahirisha.
๐Ÿ›‘ Acha kusema โ€œbaadaye.โ€
๐Ÿ›‘ Acha kuamini kuwa kesho itakuletea motivation ya ghafla.

โšก๏ธMotisha inakuja baada ya kuchukua hatua, sio kabla.

Anza sasa.
Kidogo kidogo.
Kwa simu uliyonayo.

Kwa idea ndogo uliyokuwa ukiipuuza.

Usikubali kuwa mfano wa mtu aliyesubiri sana,
mpaka ndoto zake zikachoka kusubiri.

Ukweli zaidi ni huu:
Utajikuta umeishi miaka mitano ukisema โ€œbaadayeโ€
wakati maisha yalisema โ€œsasa.โ€

K**a kijana Natumia LAPTOP YANGU/SMARTPHONE YANGU + INTERNET/WI-FI kuingiza kipato changu na kunasa fursa zaidi kila siku.
๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘
TUWASILIANE: https://wa.me/message/JNR4YKWG55GHH1
๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘
NB:Kila JUMAMOSI inshaallah... TUKUTANE LIVE MWENGE for Business talks (Kwa maelezo zaidi Jinsi ya kufika DM Me) Karibu tuzidi kusanuana michongo na fursa mbalimbali

Naamini, HATA SISI TUNAWEZA!!
Bofya hapo... tu-connect zaidi https://wa.me/message/JNR4YKWG55GHH1

Unajua Haya yoteee... Siku Moja Itakuwa Hadithi tu??Ila kwa leo...  Acha Mpambano uendeleeK**a wewe ni hustler..Ukweli n...
22/06/2025

Unajua Haya yoteee... Siku Moja Itakuwa Hadithi tu??

Ila kwa leo... Acha Mpambano uendelee

K**a wewe ni hustler..

Ukweli ni kwamba,

Hakuna hadithi ya mafanikio ya kweli isiyoanzia na challenges, maumivu....
..na imani kali ilioonekana k**a uwendawazimu kwa muda huo.

Ila ukiendelea kukaza. Ipo Siku mojaโ€ฆ

Utakaa chini, utamwambia mtu:

> โ€œNilikuwa na ndoto kubwa, nilikuwa sina kituโ€ฆ lakini nilianza Na bila kuchoka niliamua kupambana.โ€

Na huyo mtu atakutazama kwa mshangao mkubwa sana.

Kwa challenges na uzito wa hadithi yako....

Atashindwa kuamini k**a mtu k**a wewe umeweza kuvuka yote hayo.

Atashindwa kuamini k**a ulipitia misukosuko yote hiyo (Ambayo pengine kiuhalisia ndiyo unapitia kwa sasa)

Na bado... ulisimama imara. Hukuyumba wala kukata tamaa.

Naamini hii inaweza kuwa hadithi yako ya baadae.

Lakini, leo bado hujawa hadithi hiyo.

Leo bado uko kwenye uwanja wa mapambano makali sana.

Basi usikate tamaa, mana mwisho wako unaweza kuwa mzuri sana.

Na Leo ndiyo siku ya kujitolea na kufanya kazi kwa bidii... Bila kukata tamaa.

Watakuona chizi... Umepotea... Au umevurugwa.

Watataka ushindwe ... Ili wakuambie, "SI TULISEMA SISI..."

Watasema, "Tuone atafika wapi na jeuri yake!?"

But, Don't worry ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š...
Hawaoni unachokiona.

Hawawazi unachokiwaza.

Leo... mambo yanaweza kuwa magumu. Ni ruksa kuchoka na kupumzika lakini usikate tamaa.

Leo na muda huu wa maisha yako Inaweza ikawa siku ya kuumia lakini tunakua kwa maumivu na changamoto hivyo inabidi tu uendelee kutembea.

Leo Inaweza kuwa siku ya kuanguka lakini kamwe usibaki chini.

Kila tone la jasho leo,

kila kukataliwa leo,

kila kukosa usingizi kwa ajili ya ndoto zako...

Hayo yote ni maneno na chapters unazoandika ili kukamilisha hadithi yako ya baadaye.

Usisubiri mazingira yakupe nafasi kuwa perfect.

Usingoje support ya kila mtu. Anza.... Wakiona wataku support tu.

Usikae tu ukiishia kuota na kutamani โ€” amka ufanye kweli... Anza hata kidogo.

Kumbuka tu...:
Hakuna mtu aliyewahi kuandika hadithi ya kweli ya mafanikio akikaa tu na ndoto na kusubiri.

Hadithi zinatengenezwa na watu wanaojua kuwa leo ni vita na wakaamua kupambana kweli.

Kwa hiyo,
Chagua kupambana leo.

Kwa sababu naamini ipo siku kesho, utaangalia nyuma na kusema:

> โ€œNilifanya nilichopaswa kufanyaโ€ฆ ndiyo maana leo nina hadithi ya mafanikio ya kusimulia na kuwa inspiration kwa wengine.โ€

Leo sio mwisho. Ni mwanzo tu wa hadithi yako ya kipekee ya mafanikio.

Siku moja itakuwa hadithi. Lakini lazima ukubali leo iwe mapambano ya kweli.

Naamini, HATA SISI TUNAWEZA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโœ๏ธ

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when African Rich Mindset posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share