SEBA Herbal clinic

SEBA Herbal clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SEBA Herbal clinic, Medical and health, BUNJU, Dar es Salaam.

Tunasaidia wanawake wenye changamoto ya UZAZI kuwawezesha waweze kubeba ujauzito ndani ya siku 90 tu kwa kutumia FORMULA maalumu ya STEVIA PIGA/WHATSAPP 0763199190

08/06/2026

*UZAZI KWA MWANAMKE UTEGEMEA VIUNGO VIKUU VITANO*

*Ili mwanamke aweze kubeba ujauzito kiurahisi ni lazima hivi viungo vikuu Vitano vya Uzazi viwe vinafanya kazi Vizuri ikiwa kuna kiungo kimoja au viwili havifanyi kazi basi uwezekano wa kubeba ujauzito unapungua na hata ukibeba ujauzito unaweza Kuharibika*😞😞😞

*1: UKE ki kawaida mwanamke harusiwi kupata miwasho wala kutoka uchafu mweupe au wa njano ukeni ikiwa unapata au kutoka uchafu mweupe au wa njano basi uwezekano wa kubeba ujauzito unapungua*

*2: SHINGO YA KIZAZI k**a ukishiriki tendo la ndoa Damu inatoka au unapata maumivu makali basi shingo ya kizazi ina shida*

*3: TUMBO LA UZAZI K**a kila ukiingia period unapata maumivu yoyote ya Tumbo, mgongo, kiuno, nyonga basi kuna shida kikawaida period siyo ugonjwa so huruhusiwi kupata maumivu yoyote wala dalili zozote wakati wa period*

*4:MIRIJA YA FOLLOPIO ili ujue mirija yako imeziba au laah ni lazima ufanye Vipimo na kipimo*
*Hiki huitwa kwa kitaalamu Hysterosalpingography* *(HSG)*

*5: O***Y Kazi kubwa ya o***y ni kuzalisha mayai k**a unapata period kila mwezi na period inaenda siku Tano Basi o***y zako zinafanya kazi vizuri*

*Ikiwa viungo hivi vyote kwa pamoja vinafanya kazi Vizuri Basi utabeba ujauzito kiurahisi ikiwa kuna shida kwenye viungo hivi basi uwezekano wa kubeba ujauzito unapungua*

*Je kwa upande wako unahisi ninini kinakuchelewesha kubeba ujauzito*???

*Tupigie Leo Tutakusaidia uweze kubeba ujauzito mwaka huu Bonyeza hapo Dr Sebastian 0763199190*

SEBA Herbal clinic

06/06/2026

*Eeeh Mwenyezi MUNGU Wasaidie wamama wooote wanatumia juisi zetu na vidonge wapate Furaha hii majumbani kwao Ameen*

06/06/2026

*Eeeh Mwenyezi MUNGU Wasaidie wamama wooote wanatumia juisi zetu na vidonge wapate Furaha hii majumbani kwao Ameen*

SEBA Herbal clinic

*Safari yoyote ya mafanikio huanza na kuchukua Hatua*🧏‍♂️🧏‍♂️*Kila siku nafundisha hapa kuhusu Jinsi ya kutumia juisi ya...
04/06/2026

*Safari yoyote ya mafanikio huanza na kuchukua Hatua*🧏‍♂️🧏‍♂️

*Kila siku nafundisha hapa kuhusu Jinsi ya kutumia juisi ya bamia, Juisi ya vitunguu swaumu na chai ya mchaichai Pamoja na vidonge vya STEVIA*🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

*Wanaochukua Hatua ya kuanza kutumia hivyo vitu ni wachache Sana wengi wao ni watazamaji tuu*

*Hebu nambie ukweli wako umeanza kutumia kipi kati ya hivyo ninavyofundisha*???

*K**a hujaanza nambie Inbox unakwama wapi nikushauri cha kufanya*

SEBA Herbal clinic

*K**a unataka kuongeza nafasi ya kubeba ujauzito, zingatia mambo haya muhimu*1:Fanya tendo la ndoa wakati wa siku za rut...
02/06/2026

*K**a unataka kuongeza nafasi ya kubeba ujauzito, zingatia mambo haya muhimu*

1:Fanya tendo la ndoa wakati wa siku za rutuba (hasa siku chache kabla na wakati wa ovulation).
Fuatilia mzunguko wako wa hedhi ili ujue siku zako za hatari kwa usahihi.

2: Kula lishe bora yenye matunda, mboga za majani, protini na kunywa maji ya kutosha.

3: Dumisha uzito unaofaa kwa sababu uzito mkubwa au mdogo kupita kiasi unaweza kuathiri uzazi.

4: Epuka sigara, pombe na matumizi ya dawa za kulevya.

5: Punguza msongo wa mawazo na pata usingizi wa kutosha.

6: Fanya uchunguzi wa afya ikiwa umekuwa ukitafuta ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio, Pima mirija, Piga Ultrasound, Pima Homones

*Je kwa upande wako unahisi ninini kinakuchelewesha kubeba ujauzito*????

*Umeshawahi kujiuliza kwanini unasubiria mtoto wakati wengine wanapata kiurahisi*???*Najua maumivu ya kusubiri mwezi Baa...
31/05/2026

*Umeshawahi kujiuliza kwanini unasubiria mtoto wakati wengine wanapata kiurahisi*???

*Najua maumivu ya kusubiri mwezi Baada ya Mwezi bila kupata majibu*

*Wakati Mwingine Mvurugiko wa hormone, Chango, P.i.d, Mirija kuziba, Uvimbe Hupelekea wanawake wengi kuchelewa kupata mtoto*🤱🤱🤱

*Juisi ya bamia, Juisi ya vitunguu swaumu na vidonge vya STEVIA Vimesaidia wanawake wengi Sana Kupata watoto*

*Tupigie Leo Tutakusaidia Dr Sebastian 0763199190*

SEBA Herbal clinic

Tupigie Leo Tutakusaidia Dr Sebastian 0763199190SEBA Herbal clinic
29/05/2026

Tupigie Leo Tutakusaidia Dr Sebastian 0763199190
SEBA Herbal clinic

“Umechoka kuulizwa ‘mtoto lini?’ 😔”“Kila mwezi unangoja… lakini hakuna majibu?”"Si wewe pekee yako unapitia hii 💔”"Maumi...
29/05/2026

“Umechoka kuulizwa ‘mtoto lini?’ 😔”

“Kila mwezi unangoja… lakini hakuna majibu?”

"Si wewe pekee yako unapitia hii 💔”

"Maumivu ya kuona wengine wakipata mimba kirahisi…”

"Umewahi kulia kimya kimya kwa sababu ya kukosa mtoto?”

“Mwili wako haujakusaliti… unahitaji msaada sahihi tu.”

“Miaka inaenda… ndoto ya mtoto bado ipo?”
“Unajitahidi sana, lakini bado huoni matokeo?”
"Kuna siri wanawake wengi hawajui kuhusu kupata mimba…”

Leo inaweza kuwa mwanzo wa safari yako ya kuwa mama Tupigie Leo Dr Sebastian 0763199190
SEBA Herbal clinic

Address

BUNJU
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SEBA Herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SEBA Herbal clinic:

Share