Jitibu Kiasilia

Jitibu Kiasilia Tunatibu kwa seli za mimea,kuanzia chanzo cha tatizo na kuliondoa kabisa.,,
magonjwa yote ,figo,tezi dume,sukari ,presha nk.

UGONJWA WA FIGO KUFELI AU KUSHINDWA KUFANYA KAZI(KIDNEY FAILURE),CHANZO,DALILI,NA MATIBABU0716 535 237 Ugonjwa wa kufeli...
23/04/2026

UGONJWA WA FIGO KUFELI AU KUSHINDWA KUFANYA KAZI(KIDNEY FAILURE),CHANZO,DALILI,NA MATIBABU
0716 535 237
Ugonjwa wa kufeli kwa figo ni ugonjwa ambao huwapata watu wengi na sababu kubwa zikitokana na mtindo mbaya wa maisha ikiwemo ulaji mbaya,matumizi ya pombe kupita kiasi,Uvutaji wa Sigara, tatizo la kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi,matumizi ya baadhi ya dawa,kutokufanya mazoezi n.k

KUFELI KWA FIGO KUNAWEZA KULETA MATATIZO mbali MBALI MWILINI K**A
1-Uvimbe wa Miguu n.k
2- viwango vya asidi kuongezeka,
3-viwango vya potasiamu kuongezeka
4-viwango vya kalsiamu kuongezeka
5-viwango vya phosphate kuongezeka

AINA MBILI KUU ZA KUFELI KWA FIGO
(i) Figo kushindwa kufanya kazi ndani ya mda mfupi kwa kitaalam tunaita Acute kidney Failure,

(ii) Figo kushindwa kufanya kazi au kuwa na ugonjwa sugu wa figo ambapo kitaalam hujulikana k**a Chronic kidney failure ambao mara nyingi hauwezi kutibika kabsa.

SABABU ZA FIGO KUFELI
1.Kisukari ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia kutokea kwa ugonjwa wa kufeli kwa figo,
3.Ugonjwa wa Presha au Shinikizo la damu usipodhibitiwa vizuri,huweza kuwa chanzo kikubwa cha ugonjwa wa kufeli kwa figo au figo kushindwa kufanya kazi,
4. uvimbe kwenye figo zote mbili na mara nyingi ugonjwa huu unaweza kurithiwa kutoka kwa wazazi.
5. Sababu zingine za kutokea kwa Ugonjwa wa kufeli kwa figo ni pamoja na;
6.Umri mkubwa wa figo au Figo kuzeeka
7.Tatizo la kufunga kwa mishipa iendayo kwenye figo
8.Uwepo wa mawe ya Figo(Kidney Stones)
9.Tatizo la figo kushambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara

DALILI ZA UGONJWA WA KUFELI KWA FIGO-KIDNEY FAILURE
(1) Tatizo la Kuvimba uso,Miguu na tumbo
Japo si kila uvimbe hutokana na tatizo la kufeli kwa Figo(kidney failure).
(2) Tatizo la Kukosa hamu ya chakula, kichefuchefu, na kutapika
(3) Kupata tatizo la presha au Shinikizo la damu
(4)Tatizo la ukosefu wa damu
(5) Tatizo la kupata maumivu ya mgongo,kujikuna na maumivu ya miguu (cramps) pamoja na Maumivu wakati wa kukojoa

DALILI ZINGINE ZINAZOHUSU MKOJO NI PAMOJA NA
1. Kiwango cha Mkojo kupungua
2. Kupata Muwasho wakati wa kukojoa
3. kukojoa mara kwa mara
4. kukojoa damu au usaha
5. Ugumu wa kukojoa

KWA USHAURI ZAIDI/ELIMU/TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255794897240
Dar es salaam

17/04/2026

Karibu.

*HABARI**JE; UNAPENDA KUWA KIONGOZI MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA UTAKAYEACHA ALAMA KATIKA JAMII?*Dunia haihitaji watu wen...
17/04/2026

*HABARI*

*JE; UNAPENDA KUWA KIONGOZI MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA UTAKAYEACHA ALAMA KATIKA JAMII?*
Dunia haihitaji watu wengi zaidi; bali inahitaji viongozi bora zaidi. Je, uko tayari kuwa kiongozi ambaye kazi yake itazungumzwa na vizazi vijavyo?
Karibu kwenye *semina ya uongozi na biashara* iliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya watu wenye maono makubwa na njaa ya kukua kiuchumi. Semina hii itabadilisha namna unavyofikiri, unavyofanya kazi, na unavyoongoza watu wengine.

Utakutana na viongozi magwiji waliobobea kwenye sekta ya biashara na mauzo.

Utapata mbinu za kisasa za kujenga timu ya biashara isiyoshindwa. Utajifunza siri ya kuwa na nidhamu ya chuma inayozalisha matokeo sahihi.

*Ni JUMAMOS HII YA 18/04/2026.*

*Hapa hapa DAR ES SALAAM, MWENGE COMPLEX (STAND MPYA). Saa Saba kamili Mchana.*

Usije peke yako, njoo na mshirika wako mmoja mwenye tajiriba ya uongozi na maono makubwa k**a yako. *Nafasi ni chache; wahi nafasi kwa kunitumia ujumbe haraka NIPO TAYARI.*
Kwa mawasiliano piga: 0716535237….
Ama nitext WhatsApp nitakupigia never miss.
Karibu,namba yangu hio unapiga pia ipo whatsapp,sio fursa ya kukosa.
Dunia ya Leo ,hata kesho ni maisha ya maombi ,shukrani ,sala.Unapoomba kupata fursa ikijitokeza changamka,usijiulize ivi kweli nitavielewa hivyo vitu vyao? Utaelewa kwa kuwa utafundishwa utaelekezwa ,kisha utaachiliwa ufanye kazi kwa bidii ,nae Mungu atakushangaza kwa ,utakachokuja kukiona.
Usikatae wito kisha wito wa waliofanikiwa kwa fursa hio hio.

UGONJWA WA HOMA YA INI: MAMBO MUHIMU KUFAHAMUIni ni kiungo muhimu sana mwilini, likifanya kazi zaidi ya 500, ikiwa ni pa...
16/04/2026

UGONJWA WA HOMA YA INI: MAMBO MUHIMU KUFAHAMU

Ini ni kiungo muhimu sana mwilini, likifanya kazi zaidi ya 500, ikiwa ni pamoja na kuchuja na kuondoa sumu kwenye damu. Hata hivyo, ini linaweza kuathiriwa na sababu mbalimbali k**a vile matumizi ya pombe kupita kiasi, maambukizi ya virusi, au sumu mwilini, na kusababisha hali ya kuvimba na kushindwa kufanya kazi vizuri. Hali hii inajulikana k**a HOMA YA INI (HEPATITIS).

---

AINA ZA VIRUSI VYA HOMA YA INI

Virusi vya homa ya ini vimegawanyika katika aina tano kuu:

✅ Hepatitis A
✅ Hepatitis B
✅ Hepatitis C
✅ Hepatitis D
✅ Hepatitis E

Kati ya hizi, Hepatitis B na C ndizo hatari zaidi, kwani husababisha madhara makubwa kwa afya na vifo vingi kimya kimya. Kulingana na takwimu, Hepatitis B pekee inakadiriwa kuua watu 600,000 kila mwaka.

---

NAMNA YA KUAMBUKIZWA HEPATITIS B NA C

Virusi vya Hepatitis B na C husambaa kupitia:

🔴 Damu – Kupitia vifaa vya sindano, tattoo, au kucha kucha bila kuzingatia usafi.
🔴 Shahawa au maji maji ya mwili – Maambukizi kupitia ngono isiyo salama.
🔴 Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto – Wakati wa kujifungua iwapo hakuna juhudi za kuzuia maambukizi.

⚠️ Virusi vya Hepatitis B vina uwezo wa kuambukiza mara 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI.

---

DALILI ZA MUDA MFUPI

Dalili za homa ya ini zinaweza kuonekana ndani ya miezi 6 baada ya maambukizi, lakini si kila mtu huonyesha dalili. Baadhi ya dalili ni:

✔️ Kukosa hamu ya kula.
✔️ Kichefuchefu na kutapika.
✔️ Mwili kuuma, mkojo kuwa wa njano au rangi k**a Coca-Cola.
✔️ Macho, viganja, kucha au mwili kuwa na manjano.

---

MADHARA YA HEPATITIS B

❌ Inaambukiza kwa kasi mara 100 zaidi ya UKIMWI.
❌ Inaweza kusababisha saratani ya ini.
❌ Inaweza kusababisha ini kushindwa kufanya kazi kabisa.

---

MATIBABU NA KINGA

Matibabu ya homa ya ini hulenga kuimarisha kinga ya mwili ili kupambana na virusi. Matibabu haya huchukua miezi mitatu mfululizo na yanaweza kusaidia kuondoa virusi vya homa ya ini kabisa.

⚠️ Njia za kujikinga ni pamoja na:

✅ Kupata chanjo ya Hepatitis B.
✅ Kuepuka kugawana vifaa vyenye ncha kali k**a sindano, miswaki, na vifaa vya kucha.
✅ Kujilinda dhidi ya maambukizi ya ngono kwa kutumia kondomu.
✅ Kuepuka pombe kupita kiasi ili kulinda afya ya ini.

---

WASILIANA KWA MSAADA NA MATIBABU

📞 Simu: 0716535237/ 0794897240
0655938872
Dar es salaam.

Hakikisha unajikinga mapema kwa kutumia njia salama za maisha ili kuzuia maambukizi.

I got over 100 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉
09/04/2026

I got over 100 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

KWA WANAWAKE PEKEE.JE?UNACHANGAMOTO YA UZAZI?Ipo tiba inatibu changamoto zifuatazo.;1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulatio...
19/03/2026

KWA WANAWAKE PEKEE.
JE?UNACHANGAMOTO YA UZAZI?
Ipo tiba inatibu changamoto zifuatazo.;
1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulation

Ovari kushindwa kutoa yai kila mwezi. Hii inaweza kusababishwa na matatizo ya homoni k**a Polycystic O***y Syndrome (PCOS).

2. Kuziba kwa mirija ya uzazi

Mirija ya uzazi (fallopian tubes) inaweza kuziba kutokana na maambukizi au magonjwa k**a Pelvic Inflammatory Disease (PID), hivyo yai na mbegu za kiume kushindwa kukutana.

3. Uvimbaji au uvimbe kwenye mfuko wa uzazi

Hali k**a Uterine Fibroids (vimbe kwenye mfuko wa uzazi) zinaweza kuzuia ujauzito au kusababisha mimba kuharibika.

4. Ugonjwa wa Endometriosis

Endometriosis hutokea pale tishu zinazofanana na za mfuko wa uzazi zinapoota nje ya mfuko wa uzazi na kuleta maumivu na matatizo ya uzazi.

5. Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida

Hedhi kuchelewa sana, kukosa hedhi, au kupata hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuashiria matatizo ya homoni.
6.Kukosa hamu ya tendo na maumivu wakati wa tendo
7.Ukavu kwenye uke.
8.Mimba kutoka kabla haijafika miezi mitatu.
9.Maumivu makali wakati wa hedhi.
Inatumika sachet 1 kwa siku box 1 linatumika siku 10.
Upate box 3, bei ya box 1 ni shilingi alfu 60.
Unaweza kununua box moja moja ama ununue box 3 ( dozi ni mwezi mmoja tu)
Kila kitu kitakaa sawa.
Kuipata piga 0794897240
Ilala,Buguruni Malapa stend/ Uhuru road.

KWA WANAWAKE PEKEE.JE?UNACHANGAMOTO YA UZAZI?Ipo tiba inatibu changamoto zifuatazo.;1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulatio...
18/03/2026

KWA WANAWAKE PEKEE.
JE?UNACHANGAMOTO YA UZAZI?
Ipo tiba inatibu changamoto zifuatazo.;
1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulation

Ovari kushindwa kutoa yai kila mwezi. Hii inaweza kusababishwa na matatizo ya homoni k**a Polycystic O***y Syndrome (PCOS).

2. Kuziba kwa mirija ya uzazi

Mirija ya uzazi (fallopian tubes) inaweza kuziba kutokana na maambukizi au magonjwa k**a Pelvic Inflammatory Disease (PID), hivyo yai na mbegu za kiume kushindwa kukutana.

3. Uvimbaji au uvimbe kwenye mfuko wa uzazi

Hali k**a Uterine Fibroids (vimbe kwenye mfuko wa uzazi) zinaweza kuzuia ujauzito au kusababisha mimba kuharibika.

4. Ugonjwa wa Endometriosis

Endometriosis hutokea pale tishu zinazofanana na za mfuko wa uzazi zinapoota nje ya mfuko wa uzazi na kuleta maumivu na matatizo ya uzazi.

5. Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida

Hedhi kuchelewa sana, kukosa hedhi, au kupata hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuashiria matatizo ya homoni.
6.Kukosa hamu ya tendo na maumivu wakati wa tendo
7.Ukavu kwenye uke.
8.Mimba kutoka kabla haijafika miezi mitatu.
9.Maumivu makali wakati wa hedhi.
Inatumika sachet 1 kwa siku box 1 linatumika siku 10.
Upate box 3, bei ya box 1 ni shilingi alfu 60.
Unaweza kununua box moja moja ama ununue box 3 ( dozi ni mwezi mmoja tu)
Kila kitu kitakaa sawa.
Kuipata piga 0794897240
Ilala,Buguruni Malapa stend/ Uhuru road.

UGONJWA WA FIGO KUFELI AU KUSHINDWA KUFANYA KAZI(KIDNEY FAILURE),CHANZO,DALILI,NA MATIBABUUgonjwa wa kufeli kwa figo ni ...
14/03/2026

UGONJWA WA FIGO KUFELI AU KUSHINDWA KUFANYA KAZI(KIDNEY FAILURE),CHANZO,DALILI,NA MATIBABU

Ugonjwa wa kufeli kwa figo ni ugonjwa ambao huwapata watu wengi na sababu kubwa zikitokana na mtindo mbaya wa maisha ikiwemo ulaji mbaya,matumizi ya pombe kupita kiasi,Uvutaji wa Sigara, tatizo la kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi,matumizi ya baadhi ya dawa,kutokufanya mazoezi n.k

KUFELI KWA FIGO KUNAWEZA KULETA MATATIZO mbali MBALI MWILINI K**A
1-Uvimbe wa Miguu n.k
2- viwango vya asidi kuongezeka,
3-viwango vya potasiamu kuongezeka
4-viwango vya kalsiamu kuongezeka
5-viwango vya phosphate kuongezeka

AINA MBILI KUU ZA KUFELI KWA FIGO
(i) Figo kushindwa kufanya kazi ndani ya mda mfupi kwa kitaalam tunaita Acute kidney Failure,

(ii) Figo kushindwa kufanya kazi au kuwa na ugonjwa sugu wa figo ambapo kitaalam hujulikana k**a Chronic kidney failure ambao mara nyingi hauwezi kutibika kabsa.

SABABU ZA FIGO KUFELI
1.Kisukari ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia kutokea kwa ugonjwa wa kufeli kwa figo,
3.Ugonjwa wa Presha au Shinikizo la damu usipodhibitiwa vizuri,huweza kuwa chanzo kikubwa cha ugonjwa wa kufeli kwa figo au figo kushindwa kufanya kazi,
4. uvimbe kwenye figo zote mbili na mara nyingi ugonjwa huu unaweza kurithiwa kutoka kwa wazazi.
5. Sababu zingine za kutokea kwa Ugonjwa wa kufeli kwa figo ni pamoja na;
6.Umri mkubwa wa figo au Figo kuzeeka
7.Tatizo la kufunga kwa mishipa iendayo kwenye figo
8.Uwepo wa mawe ya Figo(Kidney Stones)
9.Tatizo la figo kushambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara

DALILI ZA UGONJWA WA KUFELI KWA FIGO-KIDNEY FAILURE
(1) Tatizo la Kuvimba uso,Miguu na tumbo
Japo si kila uvimbe hutokana na tatizo la kufeli kwa Figo(kidney failure).
(2) Tatizo la Kukosa hamu ya chakula, kichefuchefu, na kutapika
(3) Kupata tatizo la presha au Shinikizo la damu
(4)Tatizo la ukosefu wa damu
(5) Tatizo la kupata maumivu ya mgongo,kujikuna na maumivu ya miguu (cramps) pamoja na Maumivu wakati wa kukojoa

DALILI ZINGINE ZINAZOHUSU MKOJO NI PAMOJA NA
1. Kiwango cha Mkojo kupungua
2. Kupata Muwasho wakati wa kukojoa
3. kukojoa mara kwa mara
4. kukojoa damu au usaha
5. Ugumu wa kukojoa

KWA USHAURI ZAIDI/ELIMU/TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255794897240
Dar es salaam

1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulationFAIDA ZA LADIES COFFEE.,KWA KINA MAMA.( 0794897240)Ovari kushindwa kutoa yai kila m...
12/03/2026

1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulation
FAIDA ZA LADIES COFFEE.,KWA KINA MAMA.( 0794897240)
Ovari kushindwa kutoa yai kila mwezi. Hii inaweza kusababishwa na matatizo ya homoni k**a Polycystic O***y Syndrome (PCOS).

2. Kuziba kwa mirija ya uzazi

Mirija ya uzazi (fallopian tubes) inaweza kuziba kutokana na maambukizi au magonjwa k**a Pelvic Inflammatory Disease (PID), hivyo yai na mbegu za kiume kushindwa kukutana.

3. Uvimbaji au uvimbe kwenye mfuko wa uzazi

Hali k**a Uterine Fibroids (vimbe kwenye mfuko wa uzazi) zinaweza kuzuia ujauzito au kusababisha mimba kuharibika.

4. Ugonjwa wa Endometriosis

Endometriosis hutokea pale tishu zinazofanana na za mfuko wa uzazi zinapoota nje ya mfuko wa uzazi na kuleta maumivu na matatizo ya uzazi.

5. Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida

Hedhi kuchelewa sana, kukosa hedhi, au kupata hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuashiria matatizo ya homoni.
6.Kukosa hamu ya tendo na maumivu wakati wa tendo
7.Ukavu kwenye uke.
Mawasiliano,0794897240
Ubungo ,mabibo Dar.

Address

Dsm
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitibu Kiasilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share