Health hub solution

Health hub solution Nawasaidia Wanawake Wenye Changamoto ya Uzazi Kupata Mtoto Kupitia Tiba Lishe

13/08/2026
“Niliumia Sana Kwani Hata Mimba Niliokuwa Naisubiri kwa Muda Mrefu Nayo Ilitakiwa Kutolewa”Naitwa Elizabeth Naishi Babat...
13/08/2026

“Niliumia Sana Kwani Hata Mimba Niliokuwa Naisubiri kwa Muda Mrefu Nayo Ilitakiwa Kutolewa”

Naitwa Elizabeth

Naishi Babati

Nakumbuka Mwaka 2025 Mwezi wa 6 ……

Niligundulika Kuwa na Ujauzito Uliotunga Nje ya Kizazi (Ectopic Pregnancy)

Na ….

Majibu Niliopewa ni Kutoa Mimba Hii….

Siwezi Kukuficha Mimba Hii Niliangaika Sana Kuipata ….

Lakini ….

Nilitakiwa Kuitoa Tena…

Hakuna Jambo Linauma K**a Kusubiri Kitu kwa Hamu ..

Kisha Hata Chenyewe Unanyang’anywa….

Nilimlilia Sana Mungu Wangu….

Niliona K**a Ananionea..

Anajua Maangaiko Yangu Kwanini Ameruhusu Hili Pia

Hapo Mwanzo Sikuwa Tayari Kufanya Hivyo…

Ila …..

Nurse Aliniambia Elizabeth.

Hili ni Jambo la Kuokoa Uhai Wako na Wala Sio Mtoto…

Unajua Gharama ya Kuendelea Kuchelewa?

Alisema…

•Inaweza Kupelekea Mrija Kupasuka

•Damu Nyingi Kutoka na Kuvuja Ndani ya Tumbo

•Kupata Mshtuko wa Mwili na Kupoteza Maisha

•Pia Kuathirika kwa uwezo wa kupata ujauzito baadaye

Je! Unataka Haya Yote?

Nilijikaza na Kuweza Kukubari Taratibu Ziendelee

Ila Niwe Mkweli Tu ….

Mpaka Leo Bado Naendelea Kutafuta Uponyaji wa Maumivu Niliopitia…

Naomba Uwe Mkweli Kwangu Mpendwa …

Umewahi Kupitia Hali K**a Hii Yangu?

Na Nini Ulifanya Kikakusaidia Kupona Maumivu ya Kupoteza Mtoto Uliemtegemea?

Pia kwa Sasa Mungu Ameweza Kukujalia Mtoto Mwingine?

Haya ni Maswali Ambayo Bado Najiuliza Kila Siku..

K**a Uko na Majibu Yake Naomba Unisaidie kwa Ushauri Wako.

12/08/2026

12/08/2026
Hali ya kutoka mimba kunarudia rudia hasa kati ya miezi 2-7  basi tambua kwamba kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa k*...
12/08/2026

Hali ya kutoka mimba kunarudia rudia hasa kati ya miezi 2-7 basi tambua kwamba kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa k**a yafuatayo na mara zote usijiweke katika hali ya kujiulumu kwanza…

Leo hii umepata nafasi ya kufahamu mambo haya basi hakikisha unasoma mpaka neno la mwisho..

📌Matatizo ya homoni (k**a vile progesterone kidogo au matatizo ya tezi - thyroid) huweza kuwa sababu.

📌Muundo wa mfuko wa uzazi (k**a fibroids, septate uterus, au shingo ya mfuko dhaifu cervical insufficiency) hivi pia vinaweza kuwa visababishi kwa baadhi ya wanawake.

📌Maambukizi yasiyotibiwa k**a PID

📌Matatizo ya damu kuganda

📌Matatizo ya kinasaba (chromosomal abnormalities) ya mtoto au wazazi

📌Magonjwa sugu yasiyodhibitiwa vizuri (kisukari, shinikizo la damu)

📌Mtindo wa maisha (uvutaji sigara, unywaji pombe, uzito uliopitiliza)

Hivi vyote vinaweza kuwa visababishi kwa mimba kutoka mara kwa mara..

Kitu muhimu siku ya leo usiishie kusoma tu hapa hakikisha unajua chanzo sahihi ambacho kinakupelekea mimba kutoka mara kwa mara kwani bila kufahamu na kupata utatuzi sahihi..
Utaendelea kulia kila mara.

Hali hii imeishakutokea zaidi ya mara 2 na sasa umebeba mimba nyingine au unajipanga kubeba ujauzito.

Hakikisha unapata usaidizi kwanza
WhatsApp/call 0787070597

Je! Hali hii imeishakutokea mara ngapi?

DESIRE:
Habari njema ni kwamba mengi ya haya yanaweza kufuatiliwa na kudhibitiwa kabla na wakati wa mimba nyingine. Kwa ufuatiliaji sahihi, wanawake wengi wenye historia hii wamefanikiwa kupata na kubeba mimba salama hadi mwisho.

Mambo ya kufuatilia iwapo una mpango wa kupata mimba tena au tayari umepata:

• Vipimo vya homoni na tezi kabla ya kushika mimba
• Ultrasound ya mapema kuangalia muundo wa mfuko wa uzazi
• Vipimo vya damu kuangalia matatizo ya kuganda
• Ufuatiliaji wa karibu na daktari wa uzazi (OB) tangu wiki za mwanzo
• Kudhibiti magonjwa sugu kabla ya mimba
• Kuepuka sigara/pombe na kudumisha uzito unaofaa
• Kuongea na daktari kuhusu historia yako ya awali kabla ya kujaribu tena

“Niliamka Kwenda Kujisaidia Lakini Nilishtuka Kuona Damu Zimeloanisha Nguo Yangu ya Kulalia”Nilipiga Kelele “Mungu Wangu...
12/08/2026

“Niliamka Kwenda Kujisaidia Lakini Nilishtuka Kuona Damu Zimeloanisha Nguo Yangu ya Kulalia”

Nilipiga Kelele “Mungu Wangu”

Mume Wangu Alishtuka na Kunitazama kwa Hofu…

Nini Tena?

Nikamwambia Angalia …

Alinitazama Usoni Nikiwa Machozi Yananitoka…

Akasema Calm Down Honey…

Haya Twende Tukajisafishe Kwanza….

Alinisaidia Kujisafisha Uku Nikiwa Nalia Nawaza K**a Mimba Yangu ya Miezi 4 Ipo Salama….

Baada ya Kujiandaa Tulienda Hospitali Ilikuwa

Imefika Saa 12 Asubuhi.

Nilipokelewa Vizuri na Kufanyiwa Vipimo…

Dooh …

Mimba Yangu Ilikuwa Imetoka…

Mume Wangu Alijikaza Sana …

Lakini….

Nilishindwa Kubeba Ukweli Huo….

Mara ya Pili Napoteza Mimba Ikifika Miezi 4…

Baada ya Kumuelezea Daktari Aliweza Kuchunguza Zaidi na Kujua Tatizo….

Lilikuwa katika Mfumo wa Homoni Ambapo Lilihitaji kushughulikiwa

Pia….

Alisema Zipo Sababu Nyingine Ambazo Zinaweza Pelekea Shida Hii

K**a Matatizo ya kromosomu ya ujauzito, matatizo ya kizazi/uterasi, baadhi ya magonjwa au maambukizi na sababu nyingine.

Nashukuru Mungu Niliweza Pata Usaidizi na Elimu Ambayo Imenisaidia Leo Hii

Nina Ujauzito wa Miezi 8..

Naimani Safari Yangu Nitamaliza Salama…

Jambo Kubwa Nililojifunza Ni Kuwa…

Unahitaji Kufanya Uchunguzi wa Kina Ikiwa Mimba Zaidi ya 2 Zimetoka..

Hii Itakusaidia Kujua Chanzo cha Tatizo na Kupata Usaidizi Sahihi..

Hakikisha Haupuuzii Jambo Hili Ikiwa Awamu Hii Unahitaji Kuwa Mama.

Kwa msaada Zaidi Wasiliana na uzazihub _
0787070597

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health hub solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share