Uzazi Na Dr Sam

Uzazi Na Dr Sam Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto zote za uzazi

Mungu ibariki taifa stars dhidi ya simba wa milima ya atlas Morocco 🇲🇦 Powered by@helabettz
25/03/2025

Mungu ibariki taifa stars dhidi ya simba wa milima ya atlas Morocco 🇲🇦

Powered by@helabettz

Mwamba huyu hapa kutoka kaskazini Ahmed Arajiga ndiye pilato wa Darby ya kariakoo siku ya tarehe nane March 2025 sura ya...
05/03/2025

Mwamba huyu hapa kutoka kaskazini Ahmed Arajiga ndiye pilato wa Darby ya kariakoo siku ya tarehe nane March 2025 sura ya upole maamuzi ya kikatili,tujikumbushe kadi nyekundu ya Mukoko Tonombe lakini pia Ibrahim Baka Copro yes he is mwamuzi bora NBC for me no daut ww jeee?????

Haujawahi kuwa mchezo mrahisi kwa mafahari hawa wa kariakoo,hakika nchi itatikisika,mpira utaongea,moto utawaka,na wengi...
04/03/2025

Haujawahi kuwa mchezo mrahisi kwa mafahari hawa wa kariakoo,hakika nchi itatikisika,mpira utaongea,moto utawaka,na wengi wakiulizana atatokea wapi mtetezi siku ya tarehe nane ni katika dimba la Benjamin William Mkapa ndipo hukumu ya kikatili ya football yatafanyika kwako ww na mm ni nani atamfunga paka kengele?????ukija na matokeo uwanjani utalia bila kupigwa,ni bora kuja kinyonge ukaondoka kishujaaa hahahahaha football football âš½ kwann yote haya

Ukiamua kufanya maamuzi achana na mashairi mengine by the way baada ya kuforce tunaenda kutangaza mafanikio tupo sambamb...
02/01/2025

Ukiamua kufanya maamuzi achana na mashairi mengine by the way baada ya kuforce tunaenda kutangaza mafanikio tupo sambamba mpaka hapoo?????

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi Na Dr Sam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share