07/04/2026
Kwanini ni ngumu sana kuacha sukari?
Watu wengi hawajui… sukari inaweza kuathiri ubongo kwa namna inayofanana na utegemezi (addiction).
Katika video hii, Prof. Mohamed Janabi anaeleza ukweli huu muhimu ambao wengi hawajawahi kuuelewa.
⚠️ Ukiangalia hadi mwisho, utaelewa kwanini unajikuta unarudia kutumia sukari kila siku bila kujua.
Je, Wewe umejaribu kuacha sukari ukashindwa? Tuambie uzoefu wako.
Tazama video kamili kwa kubonyeza link hii
👇👇👇
https://youtu.be/L-VaT9jL-Hg?si=wlavV1chi7RtxM0r