Afya Na Lishe

Afya Na Lishe Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto za uzazi

Chai hii ya kiasili inafanya kazi zifuatazo:✅ Inapunguza uzito & kitambi (Hii ni Perfect Slimming Tea)✅ Inarudisha hamu ...
03/05/2026

Chai hii ya kiasili inafanya kazi zifuatazo:

✅ Inapunguza uzito & kitambi (Hii ni Perfect Slimming Tea)

✅ Inarudisha hamu ya kula

✅ Inaondoa madhara ya dawa za kemikali mwilini

✅ Inasaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi au kuchoka mara kwa mara.

✅ Husafisha ini na figo – Husaidia watu wenye matatizo ya ini, figo au sumu mwilini.

✅ Hutibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – Kwa wenye gesi tumboni au choo kigumu (constipation).

✅ Hufanya detoxification ya mwili – Huondoa sumu na kuimarisha afya kwa ujumla.

✅ Huongeza kinga ya mwili (Immunity) – Inafaa hata kwa mtu asiye mgonjwa ili kujikinga.

✅ Inalinda Moyo na kuepusha changamoto za magonjwa ya moyo

❌ Chai Hii Isitumiwe Na Mjamzito Na Watu Wanaonyonyesha

💰 Thamani Ya Bidhaa Hii Ni Tsh 65,000 kwa Box. Usafiri Bure Popote Ulipo.

Namna ya kutumia:
👉 Pakiti 1 asubuhi na pakiti 1 jioni kwa siku 20 mfululizo.

🔥 Tumia na maji ya uvuguvugu bila kuongeza chochote.

☎️ Mawasiliano 0766388913

30/04/2026
27/03/2026

NDANI YA WEEK TATU TU UNAENDA KUWA MAMA KIJACHO HAIJALISHI UNA;
- UVIMBE (fibroids, mayoma,ovarian cysts,uvimbe maji )unatibika wote bila operation
- ⁠Mirija kuziba au kujaa maji
- ⁠homoni imbalance (huoni siku zako, unapata hedhi ndefu au kubleedmabongemabonge ,kupata dalili za ujauzito na ukipima hakuna)
- ⁠mimba kuharibika
- ⁠PID(maambukizi kwenye via vya uzazi)
- ⁠hauna mbegu za kitosha
- ⁠na changamoto zote za uzazi suluhisho lako liko hapa

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .

Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0744012942

Bidhaa zetu pendwa zimerudi sasa zinapatikana🤗
13/01/2026

Bidhaa zetu pendwa zimerudi sasa zinapatikana🤗

Hello 2026 Bado TUNAENDELEA KUTOA HUDUMA YA VIPIMO VYA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME KARIBU TUKUHUDUMIE UAMINIFU KATIKA ...
13/01/2026

Hello 2026

Bado TUNAENDELEA KUTOA HUDUMA YA VIPIMO VYA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME KARIBU TUKUHUDUMIE
UAMINIFU KATIKA KAZI NDIO KIPAUMBELE CHETU🤗

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO :Hizi ni baadhi ya dalili za kawaida za vidonda vya...
03/07/2025

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO :
Hizi ni baadhi ya dalili za kawaida za vidonda vya tumbo:

1. Maumivu ya tumbo (hasa sehemu ya juu ya tumbo, kati ya kifua na kitovu).

2. Kiungulia au kuhisi moto kifuani.

3. Kichefuchefu au kutapika.

4. Kupungua kwa hamu ya kula.

5. Kuhisi kushiba haraka hata baada ya kula kidogo.

6. Kupungua uzito bila sababu ya moja kwa moja.

7. Kutapika damu au kinyesi cheusi (dalili ya damu tumboni).

8. Tumbo kujaa gesi au kuvimba.

Tahadhari: Dalili zinaweza kuwa tofauti kwa kila mtu. Ukihisi moja au zaidi ya dalili hizi, ni vyema kufanya vipimo vya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema , Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na familia

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .

Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0744012942

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Na Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share