Dr. Eternal Clinic

Dr. Eternal Clinic Taasisi ya Wachina Inayo Tibu Magonjwa Sugu Yasiyo Ambukiza Kwa Tiba Lishe. T

OFA KABAMBE YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA ๐ŸŒฟUmekuwa ukitafuta njia salama na yenye ufanisi wa kweli wa kujua hali ya afya yak...
11/11/2024

OFA KABAMBE YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA ๐ŸŒฟ

Umekuwa ukitafuta njia salama na yenye ufanisi wa kweli wa kujua hali ya afya yako? Je, umekuwa ukihisi uchovu, maumivu yasiyoelezeka, au wasiwasi juu ya afya yako? Tunajua jinsi ilivyo ngumu kuishi na mashaka juu ya mwili wako bila uhakika wa suluhisho la kudumu. Kwa ajili yako, Hospitali ya GCAT INTERNATIONAL kutoka CHINA imeandaa fursa ya kipekee ya kufanya uchunguzi wa mwili mzima kwa OFA ya shilingi 30,000 badala ya 60,000, ili upate suluhisho la asili kwa changamoto zako za kiafya.

Katika vituo vyetu vilivyo enea nchi nzima, tunatoa huduma za vipimo vya mwili mzima na matibabu ya tiba lishe (tiba asili) zinazolenga kushughulikia changamoto za magonjwa sugu yasiyo ambukiza, k**a vile PRESHA, matatizo ya INI na FIGO, STROKE, matatizo ya MIFUPA, TEZI DUME, VIDONDA VYA TUMBO, na changamoto za Uzazi kwa Wanaume na Wanawake. Hii ni nafasi yako ya kuchukua hatua muhimu kwa msaada wa wataalamu wetu, ili uweze kuelewa na kuimarisha afya yako kwa undani.

๐ŸŒฟ Kwa OFA maalum ya shilingi 30,000 badala ya 60,000, tunakukaribisha moja kati ya vituo vyetu kwa vipimo vya mwili mzima na ushauri wa bure kutoka kwa Maktari bingwa ili upate majibu na amani unayohitaji.

โœ… Dawa zetu ni za asili, zimeundwa kuleta nguvu za tiba lishe, zikiimarisha mwili wako kwa njia kuu nne:

1. Kusafisha Mwili kwa kuondoa sumu na uchafuzi, kukupa hisia ya mwili ulio safi.
2. Kulinda Mwili wako kwa kuimarisha kinga asilia dhidi ya magonjwa na uchovu.
3. Kujenga Mwili kwa virutubisho sahihi vinavyouimarisha mwili, mifupa na viungo.
4. Kutibu tatizo kwa undani, bila kuficha dalili, na hivyo kuleta ahueni ya kudumu.

MAHALI TUNAPO PATIKANA: Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tanga, Mbeya, Tunduma, Kahama, Katoro, Karagwe, Mwanza, Arusha, Moshi, Mtwara, Iringa, Njombe, Kigoma, Mara nakadhalika

๐Ÿ’ฅ **Ofa hii ni kwa siku 5 pekee! Usikubali afya yako iwe mzigo. Jitunze na uwe na amani ya afya yako.

๐Ÿ‘‰ Fika kituoni, jichunguze, na upate ushauri wa kitaalamu. Weka afya yako mbele na tuchukue hatua pamoja!

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa ili kupata maelezo zaidi kwa 0760 442 737.
Au bonyeza link hapa chini kuwasiliana na daktari moja kwa moja WEKA ODA YAKOSASA KUPITIA HII LINK.
https://www.whatsapp.com/business/

WAFANYE WATOTO WAKO KUWA WANAFUNZI VIPANGA DARASANI TANGU WAKIWA TUMBONI.Je, unajua kuwa maendeleo ya mtoto darasani yan...
03/11/2024

WAFANYE WATOTO WAKO KUWA WANAFUNZI VIPANGA DARASANI TANGU WAKIWA TUMBONI.

Je, unajua kuwa maendeleo ya mtoto darasani yanaanza hata kabla hajazaliwa? Kwa kutumia lishe ya Folic Acid, unampa mtoto wako nafasi ya kipekee ya kuwa na msingi imara wa afya ya ubongo, uwezo wa kujifunza, na utulivu wa akili tangu awali. Folic Acid ni lishe kamili iliyoundwa kwa mchanganyiko wa madini chuma, calcium, na folic acid, ambavyo ni virutubisho muhimu kwa ukuaji wa ubongo na mwili mzima.

Katika dunia ya sasa, changamoto za kimasomo kwa watoto ni nyingi. Watoto wengi wanakabiliwa na hali ya msongo wa mawazo na ugumu wa kuelewa darasani, jambo linalosababisha wazazi kuwa na wasiwasi kuhusu maendeleo yao. Lakini kwa kutumia Folic Acid, unaweza kuwapa watoto wako nafasi nzuri ya kuimarisha uwezo wao wa kusoma na kuelewa mambo kwa ufanisi.

FAIDA ZA FOLIC ACID KWA WATOTO WAKIWA TUMBONI NA WAKIWA SHULENI.

โœ…๏ธโœ…๏ธUkuaji wa Afya Bora ya Ubongo: Folic Acid husaidia kuimarisha ukuaji wa ubongo wa mtoto akiwa tumboni, ambapo humsaidia mtoto kuzaliwa akiwa na afya nzuri ya akili.

โœ…๏ธโœ…๏ธNguvu na Umakini wa Darasani: Watoto walio na virutubisho bora vya folic acid wana uwezo mkubwa sana na umakini wa hali ya juu, kutulia na kujifunza kwa urahisi zaidi darasani.

โœ…๏ธโœ…๏ธNguvu na Kinga Imara: Calcium na madini chuma pamoja na Folic Acid husaidia kujenga mifupa imara, kuongeza kinga mwilini na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla, jambo linalomsaidia mtoto kuwa na uwezo kumkubwa wa kutunza kumbukumbu.

KWANINI FOLIC ACID INAFAA KWA WAJAWAZITO NA WANAO NYONYESHA.

Wamama wajawazito na wanaonyonyesha wanahitaji lishe bora ili kuhakikisha wanatoa virutubisho vya kutosha kwa watoto wao. Lishe hii husaidia kuimarisha afya ya mama na mtoto kwa pamoja, ikihakikisha kuwa mtoto anapata virutubisho muhimu kwa ukuaji wake bora, huku mama akiwa na afya njema na nguvu.

Kwa bei ya Tsh 100,000,utajipatia Folic Acid itakayo kufanya ujenge afya bora ya akili kwa mwanao na kumfanya kuwa kipanga kweli kweli mbele ya wanafunzi wenzake na hata akili imara katika maisha yake ya kila siku.

Usikubali watoto wako kukosa nafasi hii ya kipekee; anza safari ya kuwaandaa kuwa wanafunzi bora tangu mwanzo!

Nunua Folic Acid Leo na Anza Safari ya Kumjenga Mwanafunzi Bora Kabla ya Kuzaliwa!

Kupata oda yako bonyeza hii linki https://www.whatsapp.com/business/
Au tupigie 0760-442737.

KUTANA NA WATAALAM NA WABOBEZI KATIKA MATIBABU YA TIBA LISHE KUTOKA CHINA.Njoo uwashirikishe Changamoto yako kwa Magonjw...
24/10/2024

KUTANA NA WATAALAM NA WABOBEZI KATIKA MATIBABU YA TIBA LISHE KUTOKA CHINA.

Njoo uwashirikishe Changamoto yako kwa Magonjwa Wakusaidie.

Kwa Tsh. 30,000 tutakusikiliza na kukufanyia vipimo mwili mzima, lakini pia tutakutibu tatizo litakalo bainika, ili kurudisha tumaini lako.

Tumejikita zaidi kwenye magonjwa sugu yasiyo ambukiza k**a vile,

PRESHA

MOYO

FIGO

STROKE

VIDONDA VYA TUMBO

TEZI DUME

UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME N.k

Tunapatikana Dar es salaam, Arusha, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Tanga, Iringa, Katoro, Kigoma, Mara n.k.

Waweza wasiliana nasi kwa namba 0760-442737.

Au unaweza wasiliana nasi kwa kubonyeza hii link ya WhatsApp https://www.whatsapp.com/business/ kuingea na daktari moja kwa moja.

Pia unaweza kubofya kwenye kitufe cha WhatsApp chini ya hili tangazo.

KARIBUNI NYOOTE!

KUTANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA.Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima kwa Ofa ya Shilingi 20,000/= Tunapima n...
24/10/2024

KUTANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA.

Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima kwa Ofa ya Shilingi 20,000/=

Tunapima na kutibu magonjwa yote sugu na yanayojirudia mara kwa mara kwa tiba asili (VIRUTUBISHO LISHE) k**a vile;

๐Ÿ‘‰ Matatizo ya Figo
๐Ÿ‘‰ Matatizo ya Moyo
๐Ÿ‘‰ Mifupa
๐Ÿ‘‰ Tezi Dume
๐Ÿ‘‰ Stroke
๐Ÿ‘‰ Uzazi kwa Wanawake
๐Ÿ‘‰ Uzazi kwa Wanaume
๐Ÿ‘‰ PID
๐Ÿ‘‰ Vidonda vya Tumbo
๐Ÿ‘‰ Bawasili n.k

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0760-442737.

Au unaweza kuwasiliana nasi kupitia link ya WhatsApp hapa chini kuongea na Daktari moja kwa

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa kubonyeza hii button ya WhatsApp hapa chini.

KUMBUKA: Virutubisho lishe vimekuwa msaada mkubwa kwa matatizo sugu ya kiafya kwa watu.

KARIBU SANA KWA HUDUMA.

Ni wataalamu tiba lishe kwa magonjwa sugu k**a vile; Stroke, moyo, Figo, Vidonda vya tumbo n.k.
24/10/2024

Ni wataalamu tiba lishe kwa magonjwa sugu k**a vile; Stroke, moyo, Figo, Vidonda vya tumbo n.k.

Address

11249
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Eternal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share