TibaPawa

TibaPawa Nawasaidia wanaume wenye changamoto za Upungufu nguvu za kiume kurejesha uwezo wao wa kiume bila Madawa yenye ChemicalπŸ’ͺπŸ”₯

Call|whatsApp 0756 846 403

MmmπŸ”₯ Je, unateseka kimya kimya kwa sababu ya nguvu za kiume kupungua?πŸ‘‰ Wanaume wengi wamejikuta wakikosa hamasa kitandan...
30/09/2025

MmmπŸ”₯ Je, unateseka kimya kimya kwa sababu ya nguvu za kiume kupungua?

πŸ‘‰ Wanaume wengi wamejikuta wakikosa hamasa kitandani, kushindwa kudumu muda mrefu, au hata kumfanya mwenzi wake apoteze furaha.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kosa lako β€” kuna sababu nyingi za kiafya na kimazingira zinazoweza kuathiri nguvu za kiume.

πŸ’‘ Fikiria leo ukipata suluhisho la asili, rahisi na bila dawa kali za hospitali… Je, maisha yako ya kitandani yangebaki vilevile au yangeng’aa upya?

βœ… Tumeshawasaidia wanaume wengi kurudisha furaha yao kitandani bila aibu na sasa ni zamu yako.
Hakuna mwanaume anayepaswa kuendelea kuteseka kimya kimya.

πŸš€ Ungana nami kwenye Group la Mafunzo , ambapo utapata:

Mafundisho ya kitaalamu juu ya chanzo na suluhisho la tatizo la nguvu za kiume.

Mbinu za asili za kurejesha stamina na kujiamini.

Ushuhuda wa wanaume waliobadilisha maisha yao.

⏳ Usiruhusu tatizo hili liendelee kukuchosha – hatua ndogo leo inaweza kuokoa heshima yako ya kesho.

Andika neno "TIBAPAWA" WhatsApp upate muongozo sasahivi..

"Kila Asubuhi Unajisemea: β€˜Kesho Nitaanza Kupunguza Uzito’… Lakini Kesho Haiji? πŸ˜”"Unapopiga hatua 5 tu unapumua k**a ume...
18/08/2025

"Kila Asubuhi Unajisemea: β€˜Kesho Nitaanza Kupunguza Uzito’… Lakini Kesho Haiji? πŸ˜”"

Unapopiga hatua 5 tu unapumua k**a umefanya mazoezi makali…

Nguo zako za zamani hazikubali kukaa vizuri tena…

Kila ukijipiga picha, macho yako yanakimbia kuangalia upande mwingine…

Na wakati mwingine, watu wanaanza kukuuliza maswali yasiyopendeza k**a, β€œUmeongezeka?” 😒

Umechoka kuona mwili wako ukikosa nguvu na kujiamini?
Ni k**a unakosa wewe yule wa zamani mwenye mwanga, mchangamfu, na nguvu kila siku.

πŸ’‘Fikiria miezi 3 kutoka sasa…

πŸ‘‰Unavaa nguo zako bila kujali β€œsize”

πŸ‘‰Unapanda ngazi bila kubeba pumzi mfukoni

πŸ‘‰Kila unapopita, watu wanashangaa mabadiliko yako

Program yetu ya kupunguza uzito IMESAIDIA mamia ya watu k**a wewe bila kufa njaa, bila dawa hatarishi, na bila mazoezi magumu kupita kiasi.

Tunakuongoza hatua kwa hatua, tukikupa mpango wa chakula, mazoezi rahisi, na motisha kila siku.

Usisubiri tena β€œKesho” anza leo na uone matokeo yako ya kwanza ndani ya wiki 2 Tu

πŸ‘‰ Bofya hapa sasa hivi ili kujiunga kabla nafasi chache zilizobaki hazijajazwa.

πŸ“² Tuma neno β€œNATAKA” kwa WhatsApp namba 0756 846 403 Sasa!

β€œBadilisha mwili wako, badilisha maisha yako Anza leo!”

Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta...Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..?Mafuta ya tum...
17/08/2025

Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta...

Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..?

Mafuta ya tumbo hujikusanya kwa njia mbili kuu...

1. Mafuta chini ya ngozi...

2. Mafuta yanayozunguka ogani muhimu k**a moyo, ini na kongosho

Na hizo seli za mafuta hazipo tu kwa ajili ya muonekano, bali huathiri:

↳ Mfumo wa homoni

↳ Usagaji wa chakula

↳ Na hata uwezo wa mapafu kupumua kwa ufanisi..

Lakini habari njema ni hii...

Mwili wako unaweza kuamshwa kiasili kuanza kuyeyusha mafuta haya hatari

β€”Na hapa ndipo Combo ya Asili inapoingia kwa nguvu... πŸ’₯

πŸ§… Vitunguu maji...

↳ Huvunja mafuta yaliyoganda

↳ Husafisha mishipa ya damu

↳ Hupunguza kiwango cha kolesteroli mbaya (LDL)

πŸ§„ Kitunguu swaumu:

↳ Huchochea kimetaboliki

↳ Huzuia hamu isiyo ya lazima ya kula

↳ Huongeza mzunguko wa damu

🌱 Tangawizi:

↳ Ni moto wa asili unaochoma mafuta

↳ Hupunguza uvimbe tumboni (bloating)

↳ Hutoa joto la ndani linalosaidia mwili kuyeyusha mafuta kwa haraka zaidi

NB: Ukiunganisha hivi vyote kwa pamoja β€” Unapata silaha kamili ya asili dhidi ya uzito uliopitiliza.

Na uzuri ni kwamba: hakuna kemikali. Hakuna madhara. Ni asili tupu!

Epuka madawa ya Mitandaoni ya kupunguza Uzito, Ni hatari kwa afya yako...Sokoni ni sehemu sahihi kwako....πŸ“Œ

Ni picha inayozungumza Mengi kuhusu afya unayoihitaji leo..Mwisho wa siku maamuzi hubaki mkononi mwako πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ™
17/08/2025

Ni picha inayozungumza Mengi kuhusu afya unayoihitaji leo..Mwisho wa siku maamuzi hubaki mkononi mwako πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ™

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—”  π—¨π—­π—œπ—§π—’/π—¨π—‘π—˜π—‘π—˜ π—¨π—Ÿπ—œπ—’π—£π—œπ—§π—œπ—Ÿπ—œπ—­π—” (π—’π—―π—²π˜€π—Άπ˜π˜†) πŸ‘‡Punguza uzito/Unene, Kitambi, Tumbo na Manyama Uzembe kwa kutumia Tibalis...
17/08/2025

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—­π—œπ—§π—’/π—¨π—‘π—˜π—‘π—˜ π—¨π—Ÿπ—œπ—’π—£π—œπ—§π—œπ—Ÿπ—œπ—­π—” (π—’π—―π—²π˜€π—Άπ˜π˜†) πŸ‘‡
Punguza uzito/Unene, Kitambi, Tumbo na Manyama Uzembe kwa kutumia Tibalishe (Diatery Supplements) isiyo na kemikali wala madhara kwa mtumiaji.

Pia tutakuelekeza namna ya kubadilisha mfumo wako wa maisha kwa upande wa vyakula mazoezi n.k
Ili baada ya kupunguza uzito usirudi tena kwenye uzito mkubwa.

𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—¨π—‘π—˜π—‘π—˜/π—¨π—­π—œπ—§π—’ π—¨π—Ÿπ—œπ—’π—£π—œπ—§π—œπ—Ÿπ—œπ—­π—” πŸ‘‡
- Unakuwa kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza ambayo huanza taratibu bila kuonyesha dalili na kwasababu hatuna desturii ya kufanya check up unakuja kugundua kuwa una changamoto fulani ambayo ilianza kitambo na hukushtuka kuizuia.

➑ Uwepo wa michilizi
➑ Kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
➑ Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji .
➑ Kuharibu viungo mbalimbali muhimu vya mwili.
➑ Hupelekea Uwezekano wa kupata Kisukari, Tatizo la presha.
➑ Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo
➑ Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa Ubongo.
➑ Hupunguza kasi ya kuishi
➑ Huleta shida kwenye Mmeng'enyo wa Chakula.
➑ Maumivu kwenye viungo

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TibaPawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share