Abby's Healthcare

Abby's Healthcare Afya yako kipamaumbele chetu, karibu tukupatie TIBA na suluhisho kwa changamoto yako 0755160939

🌸 CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAKUSUMBUA? USIKATE TAMAA 🌸Wanawake wengi wanapitia changamoto za uzazi bila kujua chanzo chake ...
30/01/2026

🌸 CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAKUSUMBUA? USIKATE TAMAA 🌸

Wanawake wengi wanapitia changamoto za uzazi bila kujua chanzo chake mapema.
👉 Mimba nje ya mfuko wa uzazi,
👉 Mirija ya uzazi kuathirika,
👉 Matatizo ya homoni,
👉 PID na maambukizi ya muda mrefu,
👉 Umri kuongezeka bila kupata ujauzito.

⚠️ Changamoto hizi zinaweza kuathiri afya na ndoto ya kupata mtoto k**a hazitashughulikiwa kwa wakati.

💚 TUNAKUSAIDIA KUPITIA:
✔ Ushauri wa kitaalamu wa afya ya uzazi
✔ Vipimo sahihi vya kubaini chanzo cha tatizo
✔ Msaada wa tiba lishe na mwongozo wa mtindo bora wa maisha
✔ Ufuatiliaji wa kiafya kulingana na hali yako

✨ Lengo letu ni kusaidia mwili kujirekebisha kwa njia salama na ya asili, huku tukishauri hatua sahihi za kitabibu pale inapohitajika.

📌 Usisubiri maumivu yaongezeke au muda uendelee kupotea.
Afya ya uzazi ni muhimu — chukua hatua leo.

📞 Wasiliana nasi kwa ushauri na maelezo zaidi
(0755160939 / Abby's Healthcare )

💬 Afya ya uzazi ni msingi wa furaha ya familia.

26/01/2026
VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME  ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi ...
26/01/2026

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽

Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamili…
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka — bila kujua chanzo halisi 🙃

📌Hivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:

1️⃣ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.

2️⃣ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.

3️⃣ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.

4️⃣ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.

5️⃣ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.

6️⃣ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito ✋🏽

---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 20,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.

KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mume… au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.

---

🔐 Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanzia…

Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa “SUBIRI TU”, waliozunguka bila majibu—

ABBY'S HEALTHY CARE imekuwa ni tumaini na msahada Kwa wenye changamoto zote za uzazi.

Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
✔️ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
✔️ Hurekebisha homoni
✔️ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
✔️ Huongeza idadi & ubora wa mayai
✔️ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30–90 days kulingana na hatua ya tatizo

Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa “MGUMBA” leo ni mama wa mtoto.

Wanandoa waliokuwa na maumivu… sasa wanashukuru Mungu 🙏🏾

Dozi utegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.

Tunapatikana dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania

Kwa mawasiliano

14/01/2026

*: Mbinu 7 za Kujizuia Usipate Bawasiri Kabisa – Kinga ni Bora Kuliko Tiba!*

---

Bawasiri ni ugonjwa unaoletwa na *tabia za kila siku*—lakini habari njema ni kwamba unaweza kabisa KUJIKINGA nayo!

Hizi hapa *mbinu 7 muhimu* za kukusaidia kuzuia bawasiri kabla haijaanza:

---

1. *Kunywa maji ya kutosha kila siku*
💧 Lita 2–3 za maji safi husaidia kulainisha kinyesi, kuzuia choo kuganda, na kupunguza msukumo wa haja kubwa.

---

2. *Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi (fiber)*
🥦 Matunda, mboga za majani, nafaka zisizokobolewa (k**a uji wa dona, brown rice) husaidia usafirishaji wa chakula tumboni.

---

3. *Epuka kukaa au kusimama kwa muda mrefu*
🪑 Badilisha mkao kila baada ya dakika 30–45. Usikae masaa mengi bila kusimama au kutembea.

---

4. *Jiepushe na kusukuma choo kwa nguvu*
💪 Usikae chooni kwa muda mrefu ukisukuma. Ukikosa choo, fanya mazoezi na kula vizuri badala ya kujilazimisha.

---

5. *Fanya mazoezi mepesi kila siku*
🚶‍♂️ Kutembea angalau dakika 30 kwa siku kunaimarisha mfumo wa umeng’enyaji na kusaidia kupunguza pressure ya tumbo.

---

6. *Epuka pombe na vyakula vyenye pilipili nyingi*
🍻🔥 Huchochea uvimbe na kuongeza msukumo kwenye mishipa ya sehemu ya haja kubwa.

---

7. *Sikiliza mwili wako – usipuuzie dalili za awali*
8. 🚨 Ukiona choo kigumu, kujaa tumboni, au maumivu madogo mara kwa mara — chukua hatua mapema!

---

*Usisubiri hadi hali iwe mbaya – kinga huokoa mateso ya baadaye.*
Na ukiona dalili hata ndogo ya bawasiri — usikae kimya!

—karibu
Upate mwongozo wa tiba lishe na ushauri wa kitaalamu.

*Thamini Afya Yako – Tiba Asili, Matokeo Halisi!*

ABBY'S HEALTHY CARE TUNAJALI AFYA YAKO 0755160939

10/01/2026

💙 HUDUMA ZA VIPIMO VYA MFUMO MZIMA WA MWILI 💙

Je, unasumbuliwa na magonjwa SUGU au yasiyo ya kuambukiza bila kupata majibu ya uhakika?
Usiishi na hofu — pima afya yako mapema, uishi kwa amani.

🔬 Tunatoa vipimo vya kisasa vya mwili mzima kwa ajili ya:

Magonjwa sugu UTI SUGU, PID SUGU , FANGASI SUGU, ALLERGY SUGU

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza , K**a vile shinikizo la damu ( pressure) kisukari, vidonda vya tumbo, ngiri, macho, mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mifupa nk

Afya ya jumla ya mwili

✨ Matokeo sahihi
✨ Huduma ya kitaalamu
✨ Ushauri wa afya kulingana na majibu yako

💰 Bei: Tsh 20,000 tu

📍 Abby’s Healthcare
📞 Wasiliana nasi: 0755 160 939

👉 Afya yako ni mtaji — pima leo, jua kesho yako.

10/01/2026

Je, umesumbuka na magonjwa sugu na YASIYOKUWA ya KUAMBUKIZA?
Usiteseke Tena, New MEDICAL CENTER TUMEKULETEA SULUHISHO.
TIZAMA VIDEO HAPO CHINI

💙 HUDUMA ZA VIPIMO VYA MFUMO MZIMA WA MWILI 💙Je, unasumbuliwa na magonjwa SUGU au yasiyo ya kuambukiza bila kupata majib...
23/12/2025

💙 HUDUMA ZA VIPIMO VYA MFUMO MZIMA WA MWILI 💙

Je, unasumbuliwa na magonjwa SUGU au yasiyo ya kuambukiza bila kupata majibu ya uhakika?
Usiishi na hofu — pima afya yako mapema, uishi kwa amani.

🔬 Tunatoa vipimo vya kisasa vya mwili mzima kwa ajili ya:

Magonjwa sugu UTI SUGU, PID SUGU , FANGASI SUGU, ALLERGY SUGU

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza , K**a vile shinikizo la damu ( pressure) kisukari, vidonda vya tumbo, ngiri, macho, mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mifupa nk

Afya ya jumla ya mwili

✨ Matokeo sahihi
✨ Huduma ya kitaalamu
✨ Ushauri wa afya kulingana na majibu yako

💰 Bei: Tsh 30,000 tu

📍 Abby’s Healthcare
📞 Wasiliana nasi: 0755 160 939

👉 Afya yako ni mtaji — pima leo, jua kesho yako.

Mwanamke ambaye mirija ya uzazi (fallopian tubes) imeziba bado anaweza kupata hedhi (period) k**a kawaida.Kwa nini bado ...
06/12/2025

Mwanamke ambaye mirija ya uzazi (fallopian tubes) imeziba bado anaweza kupata hedhi (period) k**a kawaida.

Kwa nini bado anapata hedhi?

Mirija ya uzazi ina kazi ya kupitisha yai kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mfuko wa uzazi na pia kuruhusu mbegu kukutana na yai.
Lakini mirija haishiriki kwenye mzunguko wa hedhi. Mzunguko wa hedhi unategemea:

Ovari kutoa yai (ovulation)

Homoni za k**e: estrogen & progesterone

Uterus (mfuko wa uzazi) kuwa na mabadiliko ya ute ulioshikishwa

Hivyo, hata k**a mirija imeziba, ovari na mfuko wa uzazi vinaendelea kufanya kazi, na hedhi inaendelea k**a kawaida.

Kitu anachoshindwa kufanya ni…

➡️ Kupata ujauzito kwa sababu mbegu na yai hawawezi kukutana kwenye mirija iliyoziba.

Ishara zinazoonyesha mirija inaweza kuwa imeziba

Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara (hasa chini ya kitovu)

Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Maumivu wakati wa hedhi

Hedhi isiyo kawaida (lakini wengi wanapata kawaida)

Ugumba kwa muda mrefu bila sababu nyingine

Visababishi vya kuziba mirija

PID (maambukizi ya nyonga)

UTI sugu

Endometriosis

Kuvimba kwa mirija (hydrosalpinx)

Maambukizi baada ya kujifungua, mimba kuharibika au upasuaji

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.GCAT MEDCARE HOSPITAL Inak...
27/11/2025

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.

GCAT MEDCARE HOSPITAL Inakutangazia ofa ya Vipimo na Matibabu kwa magonjwa yote sugu
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu na kumuona Daktar pamoja na Ushauri ni Bure.
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
• Kuosha
• Kulinda/ Kukinga
• Kujenga
• Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0755160939

💙 TIBU PID KABLA HAIJAHARIBU NDOTO ZAKO ZA KUITWA MAMA ❤️Je, umekuwa ukisumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini, uchovu u...
17/10/2025

💙 TIBU PID KABLA HAIJAHARIBU NDOTO ZAKO ZA KUITWA MAMA ❤️

Je, umekuwa ukisumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini, uchovu usioelezeka, au maumivu wakati wa tendo la ndoa?
Hizo zinaweza kuwa dalili za PID (Pelvic Inflammatory Disease) — ugonjwa unaoathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke na kusababisha mirija ya uzazi kuziba, kushindwa kushika mimba, au hata kuharibika kwa uzazi kabisa. 😔

Lakini kuna tumaini! 🌸

Katika Abby’s Healthcare, tunatoa
✅ Vipimo sahihi na vya kisasa kugundua tatizo lako kwa usahihi.
✅ Tiba salama ya asili kupitia virutubisho lishe vinavyosaidia:

Kufungua mirija ya uzazi

Kuondoa PID na maumivu ya tumbo la chini

Kusafisha mfumo wa uzazi

Kurejesha afya ya homoni na uzazi kwa ufanisi

Usiache tatizo likue hadi likuondolee furaha ya kuwa mama. Kila mwanamke anastahili kuwa na mwili wenye afya, uzazi wenye nguvu, na maisha yenye amani ❤️

📞 Wasiliana nasi leo: 0755 160 939
🏥 Abby’s Healthcare – Tunajali afya yako, tunajali ndoto zako 💙

🧬 Mirija ya Uzazi Imeziba?🚫 Unashindwa kushika mimba?✅ Sasa unaweza kusafisha mirija ya uzazi kwa njia salama, isiyo na ...
07/08/2025

🧬 Mirija ya Uzazi Imeziba?
🚫 Unashindwa kushika mimba?
✅ Sasa unaweza kusafisha mirija ya uzazi kwa njia salama, isiyo na madhara ya dawa kali!

Tunatumia virutubisho lishe vya asili kusaidia:
🌿 Kufungua mirija iliyoziba
🌿 Kuondoa uchafu na uvimbe
🌿 Kurejesha uwezo wa kushika mimba kwa ufanisi

📞 Wasiliana nasi leo kwa ushauri na huduma salama:
📲 +255 755 160 939
📍 Abby's Healthcare – Afya Yako, Kipaumbele Chetu!

17/06/2025

*KUA MAKINI NA DALILI HIZI WEWE 👉MWANAMKE*

1. Unapohisi miwasho ukeni hata k**a ni kidogo tu.

2. Ukivua nguo ya ndani unakuta uchafu ambao si wa kawaida kabisa.

3. Uchafu unatoka k**a maziwa na muda mwingine rangi zingine, unaoambatana na harufu mbaya.

4. UTI zinazojirudia mara kwa mara.

5. Maumivu makali wakati wa tendo na muda mwingine kutoka damu wakati wa tendo pamoja na kukosa hamu ya tendo kabisa.

*USIENDELEE KUPUUZIA DALILI HIZO MADHARA YANAWEZA KUWA MAKUBWA K**A;*

✍ Kupata Kansa ya kizazi.

✍ Kushindwa kupata ujauzito na hata ukipata unatoka mara kwa mara.

✍ Kushindwa kufurahia tendo la ndoa na kuvuruga mahusiano.

✍ Msongo wa mawazo ambao hupelekea kuvuruga homoni,

Na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kunakoambatana na maumivu.

✍ Tatizo la harufu mbaya na ukavu uliopitiliza.

K**a unapitia changamoto tajwa hapo njoo ..........

CHUKUA HATUA au wasiliana nasi ÷

ABBY'S HEALTH CARE 0755160939

We care about your health

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abby's Healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share