02/04/2025
β¨ Karibu Kenko Care Clinic! β¨
Tunatoa huduma bora kwa afya yako ya uzazi, ngozi, mifupa, moyo, na zaidi! Hapa tunazingatia mahitaji yako ya kipekee na kutoa tiba bora kwa kila changamoto ya kiafya.
β
Afya ya Uzazi wa Wanaume na Wanawake
Pata huduma za kitaalamu kwa matatizo ya uzazi, PCOS, hedhi isiyo ya kawaida, ugumba, na masuala mengine ya afya ya uzazi. Changamoto za Nguvu za Kiume na Utoaji wa Mbegu chache (LOW S***M COUNT), Mbegu zisizo na mkia n.k. Tuna msaada kwa wote, wanawake na wanaume, ili kufikia afya bora ya uzazi.
β
Afya ya Ngozi
Tuna tiba bora kwa chunusi, psoriasis, eczema, na matatizo mengine ya ngozi. Huduma ya haraka na ya ufanisi kwa ngozi yako, ili uonekane na ujisikie vizuri kila wakati!
β
Magonjwa Yasiyoambukiza.
Tunatoa ushauri na matibabu ya shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, kisukari, Tatizo la Figo na matatizo ya mzunguko wa damu. Kuweka moyo wako katika hali bora ni lengo letu!
β
Afya ya Mfumo wa Chakula na Umengβenyaji.
Tunahudumia vidonda vya tumbo, matatizo ya kupata choo, Bawasili, Ini kujaa mafuta, na matatizo mengine ya umeng'enyaji. Tiba yetu ni ya haraka na bora, ili urudi kwenye hali yako ya kawaida haraka!
β
Afya ya Mifupa na Misuli
Pata huduma kwa magonjwa k**a arthritis, maumivu ya mgongo, fibromyalgia, na matatizo mengine ya mifupa na misuli. Hakikisha unapata matibabu bora ya kutatua changamoto zako za mifupa na misuli!
π¬ Kwa ushauri zaidi na huduma bora, wasiliana nasi leo!
π Mawasiliano yetu: 0658 977936
π Tupo Makumbusho, Dar es Salaam
Karibu Kenko Care Clinic β AFYA YAKO KWANZA. π