24/07/2026
🌸 WANAWAKE NA WANAUME WA TANZANIA, MUDA NI SASA! 🌸
Huduma maalum ya uchunguzi na matibabu ya changamoto za mfumo wa uzazi imefika karibu yako!
👩 Kwa Wanawake
Je, unasumbuliwa na: ✔️ Ugumba (Changamoto ya kupata ujauzito)
✔️ Kutokwa na uchafu ukeni
✔️ U.T.I sugu
✔️ Fangasi
✔️ PID (Maambukizi ya mfumo wa uzazi)
✔️ Homoni kutokuwa sawa
✔️ Fibroids (Uvimbe kwenye kizazi)
✔️ Uvimbe wa ovari (Ovarian cysts)
✔️ Kansa ya shingo ya kizazi
✔️ Masundosundo (Ge***al warts)
✔️ Presha ya mimba (Kifafa cha mimba)
👨 Kwa Wanaume
Je, unasumbuliwa na: ✔️ Upungufu wa nguvu za kiume
✔️ Mbegu chache au dhaifu
✔️ Mbegu kutosafiri vizuri (Low motility)
✔️ Varicocele (Uvimbe wa mishipa ya korodani)
✔️ Maambukizi ya njia ya mkojo (U.T.I)
✔️ Maambukizi ya mfumo wa uzazi
✔️ Tezi dume (Prostate)
✔️ Fangasi sehemu za siri
✔️ Kutozaa kutokana na matatizo ya uzazi
🎉 OFA MAALUM! Vipimo vya Mfumo Mzima wa Uzazi kwa Wanawake na Wanaume ni Tsh 20,000 tu.
⏳ HUDUMA HII NI YA SIKU TATU TU
💖 Usiteseke kimya kimya. Fika mapema upate uchunguzi, ushauri wa kitaalamu na matibabu sahihi.
📞 Wasiliana nasi sasa: 0710 246 965 0610 846 965
👉 Afya yako ni thamani yako. Karibu hospitali upate huduma sasa!