TIBA ASILI

TIBA ASILI Mimi ni mtaalamu wa tiba asili nikiwa na uzoefu wa miaka kadhaa. Natoa huduma za kutibu matatizo mbalimbali kwa njia za asili salama.

Karibu kwa ushauri na matibabu. 📞 +255752929909

06/04/2026

Mimi ni mtaalamu wa tiba asili nikiwa na uzoefu wa miaka kadhaa. Natoa huduma za kutibu matatizo mbalimbali kwa njia za asili salama. Karibu kwa ushauri na matibabu. 📞 +255752929909

16/03/2026
Vitu nazofanya Jpili… anayetaka?-Maumivu makali ya hedhi-Period imevurugika-UTI sugu-Fangasi za uzazi-Uvimbe kwny mirija...
25/05/2025

Vitu nazofanya Jpili… anayetaka?

-Maumivu makali ya hedhi
-Period imevurugika
-UTI sugu
-Fangasi za uzazi
-Uvimbe kwny mirija ya uzazi
-kuongeza maziwa kwa Mama anayenyonyesha
-shida nyingi zinazohusu uzazi hii ndio kiboko yake
-Kinyama kimeota huko chini tumia utomvu wake paka

Unaitwa mgalagala n chukua mizizi yake isage upate unga wake changanya na asali paka kwa bibi au kwa babu utaona majabu ...
25/05/2025

Unaitwa mgalagala n chukua mizizi yake isage upate unga wake changanya na asali paka kwa bibi au kwa babu utaona majabu 🫵

23/05/2025

Wewe unayeota ndoto mbaya, Aura yako haina nuru, mazonge, mikosi. Chukua Mdalasini wa magome, thoum punje kadhaa chemsha pamoja kwny sufuria kubwa. Chukua shuka jifukize yale maji jasho likutoke haswaa. Baada ya hapo Oga maji hayo. InshaAllah utapata wepesi ndoto mbaya zitaondoka

MBIGILI..Sogea Mizizi Hub t.me/MiziziTibaKwa wale mnaoishi mjini au sehemu zenye mikusanyiko, muingiliano wa watu wengi ...
15/05/2025

MBIGILI..

Sogea Mizizi Hub t.me/MiziziTiba

Kwa wale mnaoishi mjini au sehemu zenye mikusanyiko, muingiliano wa watu wengi mfano kariakoo...uswahilini... Sehemu za masoko .. minadani au eneo lolote lenye muingiliano mkubwa wa watu...

Penye wengi, Kuna mengi.

Mfano,
* mtoto kushinda vizuri ila usiku ni kulia na kisumbua

* Yeyote kuumwa umwa magonjwa hayaeleweki..ukipima hakuna ugonjwa.

* Kazi/ biashara zako zilikuwa vizuri kabisa..ghafla zimekufa au kuzorota

* Ndoa yako au mahusiano yako yalikuwa vizuri, ghafla mtifuano, mvurugano ugomvi mtindo mmoja.

* Kuota ndoto mbaya na za kutisha
* Uchovu usio eleweka ..nk.

TAFUTA MBIGILI k**a inavyo onekana katika picha..
1. Chemsha katika maji ..chuja na uogee
Au..
2. Uchome katika chungu upate unga wake, tengeneza mkorogo mzito mweusi wa hiyo dawa..jipake na baada ya dk 7..oga mwili mzima.

NB: Kuna mbigili za kigogo
Mbigili za kiswahili
Mbigili za kizigua

Mizizi ni Tiba

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA ASILI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share