Get pharmaceutical plant

Website

Get pharmaceutical plant get pharmaceutical plants

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
11/04/2025

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.30,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari

Tupo banana Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu: 0764734301https://wa.me/message/ZK3ZVETJRS6IB1

Kongosho Ni Nini?...Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambayo hutoaInsulin hormone ambacho ni kichocheo Au homo...
11/04/2025

Kongosho Ni Nini?...

Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo
wa chakula ambayo hutoa
Insulin hormone ambacho ni kichocheo Au homoni ambayo kazi yake ni kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika k**a nishati mwilini....

Kwa Maan Nyingine Kongosho ni Organ Ambayo huusika na regulation au Kuratibu Sukari Mwilini ...

Kongosho hutoa Chemical iitwayo Insulin Hormone Ambayo huusika na Kubalnce sukari mwilini....

Hivyo changamoto ya kisukari Huaanzia Pale insuline hormone inapotolewa kwa uchache kwenye mwilini...

Okey Subiri Nikuonyeshe Kiundani hii huwa Ndani ya kongosho kuna Aina mbili ya cells Ambazo ni beta cells Na alpha cells...

Mara nyingi Kinachotokea Nini Cells hizi hushindwa kufanya kazi vizuri Na mara nyingi kupelekea kiasi cha insuline hormone kuzalisha kwa kiasi kidogo kwenye kongosho...

Twende Kiundani zaidi👇

Beta cells are cells that make insulin, a hormone that controls the level of glucose (a type of sugar) in the blood...

Maan yake Ni kwamba Beta cells kwa asilimia kubwa ndiyo Muhusika mkuu wa Kusaidia uzalishaji wa insuline hormone kutolewa kwa Ufasaha...

Swali Je ni kiasi gani Cha insuline hormone kinachoitajika kutolea na kongosho?...

Kitaalamu kiasi cha Insuline kinacho hitajika kutolewaa na kongosho kwa siku ni 0.2- 0.5 U/Kg/day Yaan kila siku...

Hapo Huenda Hujanielewa sana ila Hicho kiwango mara nyingi ukiwa na changamoto ya kisukari Huwa Akifikiwi na Huwa chini Apo....

Sasa Unapoenda kutibu Kongosho Maan yake ni Nini...

Ni kwamba Unaenda kusaidia uzalishaji wa Beta cells kwa Wingi kwenye kongosho....

Kila Mtu Atakuambia Nakupa Dawa Yakutibu kongosho Ebu muulize kutibu kongosho kwa Namna Gani...

Hapo Ndipo Tofauti huanza Wewe Mwenye ni shahidi ulipewa Dawa ya kutibu kongosho lakini mtaalamu Aliyekupa iyo dawa hakukupa maelekezo Akinifu ila alikuambia Inatibua kongosho Tumia utanipa majibu mwenywe....

Tuelewe ili Siyo kila Dawa ni kwaajili ya kutibu kongosho Jaribu ili unapataka Kuchukua Dawa kabla ya kutumia au kununua msikilize Vizuri mtu Anayekupa iyo Dawa na Maelezo yake....

Nafikiri Nimekupa mwanga kidogo jinsi kongosho Linavyofanya kazi....

mwisho kabisa Mimi nipo Apa kukusaidia wewe kuondokana na changamoto Kisukari Kwa Kutibu Kongosho Lako...

1*UNAHITAJI KUMALIZA CHANGAMOTO YA KISUKARI!?*Ukweli ni kwamba hauhitaji kutibu kisukari, Unachohitaji hasahasa ni kutib...
11/04/2025

1*UNAHITAJI KUMALIZA CHANGAMOTO YA KISUKARI!?*

Ukweli ni kwamba hauhitaji kutibu kisukari, Unachohitaji hasahasa ni kutibu kongosho na kuboresha utendaji kazi wa seli za mwili kwani ndio chanzo cha tatizo la kisukari. Siku zote ukitaka kumaliza tatizo tibu chanzo chake na hii ndio siri ambayo watu wengi hawafahamu ndio maana huishia kutibu kisukari bila mafanikio leo nakupa hii siri.

✍🏻Hata k**a umeshajaribu tiba zingine kwa kipindi cha nyuma bila mafanikio basi Program ya *DIABETIC PACKAGE* ni kwaajili yako. Soma mpaka mwisho👇🏻👇🏻

📌Ukianza kutumia Program ya _*DIABETIC PACKAGE*_ itakusaidia kutibu kongosho na kurekebisha utendaji kazi wa seli za mwili na kumaliza kabisa changamoto ya kisukari.

✅Unapotumia Program hii itakusaidia..... 👇

⏭Kuboresha Utendaji kazi wa kongosho na kuimarisha seli za mwili kwahiyo utamaliza changamoto ya kisukari kabisa.

⏭Huimarisha utendaji kazi wa homoni ya Insulin mwilini kwahiyo(Huna haja ya kuchoma sindano za insulin au kumeza vidonge kuboost homoni zako).

⏭Huimarisha utendaji Kazi wa Kinga ya mwili na kuchakatwa kwa mafuta mabaya na sumu zote Mwilini kwahiyo utaondokana na stroke pamoja na presha pia kukulinda usipate magonjwa mengine hatarishi.

⏭Itakusaidia kurekebisha mfumo wa uzazi kwahiyo utaweza kufurahia tendo la ndoa na kufanya ndoa yako idumu zaidi na kuwa na furaha na maelewano.

⏭Itakusaidia kuondokana na ganzi kwahiyo utalala usingizi mzuri k**a mtoto mdogo wakati wa usiku bila kuhisi maumivi yoyote ya miguu wala mikono.

⏭Itakusaidia kuondokana na shida ya macho kwahiyo hautaona ukungu tena kwenye macho yako utakuwa umeepuka kukwanguliwa macho na kuchoma sindano zenye gharama kubwa bila mafanikio .

✍🏻Hebu fikiria jinsi utakavyokuwa ukimaliza changamoto ya kisukari...!🤔.. k**a nakuona ulivyotabasama baada ya kufikiria vile utakavyokuwa😊

❌Hautameza tena dawa wala kuchoma sindano kwa maisha yako yote, ni furaha kwakweli maana kumeza dawa kila siku inachosha na kukera sana.

✅Utakula vyakula uvipendavyo ambavyo uliviacha kwa muda mrefu, kwenye sherehe utachanga na kuhudhuria kwa furaha kwani utaweza kushiriki chakula cha pamoja , hata ukiwa safari hautakuwa na mawazo ya nitakula nini...n.k

✅Utakuwa umeokoa pesa nyingi ambazo ungetumia kutibu kisukari kwa maisha yako yote bila mafanikio.

Naomba niwe mkweli tu...

Program ya _*DIABETIC PACKAGE*_ inaweza isiwe kwaajili yako, kwasababu haikutengenezwa kwaajili ya kila mtu, k**a bado haupo tayari kuondokana na mateso ya ugonjwa wa kisukari basi hii si kwaajili yako. Maana sio Kila mtu anaelewa umuhimu wa kulipia gharama ya mara moja, wengi tumekubali kuingia kwenye gharama za Kila siku kwa maisha yako yote.

📌Utaachwa peke yako ukiwa na changamoto ya kisukari,wapo wanaofurahia huduma hii ambao wapo kwenye hatua hii ya kwanza ya diabetic

*Madhara Ya Kisukari*👉K**a ugonjwa wa kisukari hautadhibitiwa ipasavyo, madhara makubwa huweza kutokea. 👉. Baadhi ya mad...
11/04/2025

*Madhara Ya Kisukari*

👉K**a ugonjwa wa kisukari hautadhibitiwa ipasavyo, madhara makubwa huweza kutokea.

👉. Baadhi ya madhara ambayo yamehusishwa na ugonjwa huu ni k**a ifuatavyo:

1:Matatizo ya macho

👉 -glaucoma, cataracts na mengineyo.

2: Matatizo ya miguu

👉-vidonda na gangrene ambavyo mara nyingine husababisha miguu ikatwe.

3: Matatizo ya moyo

👉-pamoja na upungufu wa damu inayoelekea kwenye misuli ya moyo.

4: Hypertension

👉 -ambayo huweza kusababisha figo kushindwa kufanya kazi, matatizo ya macho, magonjwa ya moyo na kiharusi.

5: Matatizo ya kusikia

👉 -kisukari husababisho tatizo la kushindwa kusikia vizuri.

7: Gastroparesis

👉. -misuli ya tumbo kushindwa kufanya kazi yake vizuri.
Kiharusi (Stroke)-endapo blood pressure, cholesterol na sukari havitadhibitiwa, uwezekano wa kupatwa na kiharusi huwa ni mkubwa sana.

8: Ugumba

👉 -kisukari humfanya mgonjwa ashindwe kufanya tendo la ndoa.

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baad...
11/04/2025

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baadhi ya dalili za kuwa na sumu mwilini:*

1. Maumivu ya tumbo - Hii ni dalili ya kawaida ya sumu zinazoshambulia fumo wa chakula.

2. Kichefuchefu na kutapika - Sumu k**a za chakula au kemikali zinaweza kusababisha hali hilout
ARTHRITIS

3. Kichwa kuuma - Baadhi ya sumu zinaweza kusababisha maumivu ya kichwa.

4. Uchovu mkubwa - Sumu inaweza kusababisha mwili
kujisikia uchovu na udhaifu.

5. Kupumua kwa shida - Sumu k**a za hewa au kemikali zinaweza kuathiri njia za kupumua.

6. Mabadiliko ya rangi ya ngozi - Kwa mfano, ngozi inaweza kuwa na rangi ya buluu, kijani, au njano.

7. Kutetemeka au mishtuko - Hali hii ni dalili ya sumu inayoshambulia mfumo wa neva.

8. Macho kujaa maji A Hii linaweza kuwa dalili ya sumu inayohusiana na mfumo wa macho au hewa.

9. Nguvu za Mwanaume - Kupoteza uwezo wa tendo la ndoa, pia kushindwa kurudia tendo au uume kusimama kwa ulegevu.
Ikiwa unashuku kuwa una sumu mwilini, ni muhimu kuanza

Program ya DETOXIFICATION PHASE

*Je? unataman   kutoka katika kula chakula cha aina moja?.*...Kula bamia na kunywa maji yake  kila siku inachosha kula m...
11/04/2025

*Je? unataman kutoka katika kula chakula cha aina moja?.*...

Kula bamia na kunywa maji yake kila siku inachosha

kula mchicha na mbogamboga kila siku inakera sana...

kula vyakula visivyo na mafuta inaboa saana mafuta yanaleta ladha ya chakula...

MUNGU hakuumba chakula cha aina moja sayansi yake ililenga kula vyakula tofauti tofauti ili kuleta mahitaji muhimu katika miili yetu na ladha tofauti..

kwanini leo unakula chakula cha aina moja?
..Najua umechoka najua unakereka pia najua umekinai kweli kweli hujui ufanye nini...
..Lakini pia umebalance vyakula kwa muda mrefu na kutumia dawa nyingi bila mafanikio...

leo nahitaji kukutoa kwenye haya mateso...

Nakutoaje?..sasa ni kupitia tiba maalum ya kongosho ndani ya siku 60 hadi 90 ambapo kongosho litakuwa limeimalika na kuwa na uwezo wa kuvunja sukari zote zinazozidi kwenye damu..

kupitia kuimarisha kongosho hutosikia tena ganzi wala miguu au mikono kuwaka moto...

Sukari itakaa normal haitapanda wala kushuka maan utakuwa umetibu chanzo cha tatizo...

Utajisikiaje kula chakula chochote utakachohitaji bila wasiwasi?
Nakuona utakavotabasamu wewe na Familia yako...

Hii ni kwa ajili yako wewe unaepata hii elimu na sio kwa ajili ya kila mtu kutoka kwenye maumivu na mawazo ya muda mrefu...

Hongera kwa kufuatilia elimu hii najua unazidi kupata mwanga..

K**a wewe kweli umechoka na kisukari basi ni mhim sana kuingana na program hii...

Tibu kongosho sisi tunatibu Mungu anaponya...

11/04/2025

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Get pharmaceutical plant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share