Golden Touch Skin and Beauty

Golden Touch Skin and Beauty Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Golden Touch Skin and Beauty, Dar es Salaam.

Baada ya kuwasaidia watu zaidi ya 3000 kutatua changamoto za ngozi sasa ni zamu yako. Kwa nini uhangaike na matatizo ya ...
21/05/2026

Baada ya kuwasaidia watu zaidi ya 3000 kutatua changamoto za ngozi sasa ni zamu yako. Kwa nini uhangaike na matatizo ya ngozi na suluhisho tunalo? Wasiliana nasi sasa upate suluhisho la uhakika.

Baada ya kuwasaidia wengi sasa ni zamu yako. Kwa nini uhangaike na matatizo ya ngozi na suluhisho tunalo? Wasiliana nasi...
18/05/2026

Baada ya kuwasaidia wengi sasa ni zamu yako. Kwa nini uhangaike na matatizo ya ngozi na suluhisho tunalo? Wasiliana nasi sasa.

Pata ngozi yenye mvuto wa kipekee ukitumia GOLDEN TOUCH BRIGHTENING LOTION na SERUM. Bidhaa hizi zimeandaliwa kukusaidia...
09/05/2026

Pata ngozi yenye mvuto wa kipekee ukitumia GOLDEN TOUCH BRIGHTENING LOTION na SERUM. Bidhaa hizi zimeandaliwa kukusaidia kupata ngozi laini, yenye kung’aa na rangi moja mwili mzima bila wekundu, sugu wala weusi chini ya macho.

Je, unasumbuliwa na chunusi, mabaka, makunyanzi, michirizi au ngozi iliyochoka? GOLDEN TOUCH ndiyo jibu sahihi kwako. Inasaidia kuondoa weusi wa makwapani na mapajani, kupunguza madoa pamoja na kufanya ngozi iwe soft na yenye muonekano wa kuvutia.

Ng’aa, pendeza na jipatie ngozi inayovutia ndani ya muda mfupi. Usikubali ngozi yako ikupunguzie furaha wakati suluhisho lipo. GOLDEN TOUCH — kwa ngozi safi, nyororo na yenye rangi moja mwili mzima.

NI WAKATI WA KUYAAGA MATATIZO YA NGOZI.K**a bado Chunusi na madoa ya chunusi, sugu za vidoleni, magotini na viwikoni, we...
01/05/2026

NI WAKATI WA KUYAAGA MATATIZO YA NGOZI.

K**a bado Chunusi na madoa ya chunusi, sugu za vidoleni, magotini na viwikoni, weusi chini ya macho, madoa ya kuungua na cream yanakutesa TUNALO SULUHISHO.

Lotion na serum yetu vimetengenezwa ili

- kuondoa sugu aina zote, weusi chini ya macho na kukupa rangi moja mwili mzima.

-kuondoa Chunusi na madoa ya chunusi n kukupa uso laini, angavu na wenye unyevu wakati wote.

-Kuondoa michirizi na kuimarisha ngozi.

Piga/tuma message sasa kuweka order yako.

Whatsapp 0676305676

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Golden Touch Skin and Beauty posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share