DR.Olson Healthcare

DR.Olson Healthcare Mim naitwa Dr.Olson nashughulika na kutatua changamoto mbalimbali za kiafya

🌺 TIBA YA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE 🌺Je, unateseka na matatizo ya afya ya uzazi k**a:  ✅ Maumivu ya tumbo la uzazi  ✅ H...
04/01/2026

🌺 TIBA YA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE 🌺

Je, unateseka na matatizo ya afya ya uzazi k**a:
✅ Maumivu ya tumbo la uzazi
✅ Hedhi isiyo ya kawaida au kuacha kabisa
✅ Uvimbe wa kizazi (fibroids)
✅ Harufu mbaya au uchafu ukeni
✅ Kukosa mimba kwa muda mrefu
✅ Maambukizi ya UTI (Urinary Tract Infection)
✅ PID (Pelvic Inflammatory Disease)
✅ Vidonda au vipele sehemu za siri (Ge***al warts)

Usihangaike tena!
Tunatoa tiba asilia, salama na isiyo na madhara iliyosaidia wanawake wengi kurejea katika afya njema ya uzazi.

💧 Dawa za asili zisizo na kemikali
📍 Tunapatikana: [mikoa yote Tanzania]
📞 Wasiliana nasi sasa kwa WhatsApp/SIMU: 0749860798

Afya yako ya uzazi ni msingi wa maisha yako — chukua hatua sasa!

04/01/2026
🚽 JE, UNASUMBULIWA NA CHOO KIGUMU?  la Kutopata Choo (Constipation)Hali hii husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula...
16/06/2025

🚽 JE, UNASUMBULIWA NA CHOO KIGUMU?

la Kutopata Choo (Constipation)

Hali hii husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kujisaidia mara kwa mara. Pia kula vyakula vilivyokobolewa huchangia.
; ni hali ya ugumu wa kutoa uchafu wote tumboni.
Inasababisha utoaji mbaya wa kinyesi ndani ya mwili, hivyo mtu hupata choo kigumu — choo kuwa k**a cha mbuzi.

la kutopata choo kwa urahisi (Constipation) linaweza kuonekana dogo, lakini lina madhara makubwa kiafya!

🔴 DALILI ZA KUPATA CHOO KIGUMU (CONSTIPATION)
1. Ugumu wa kupata choo
2. Kuchoka bila sababu
3. Gesi tumboni
4. Kula kidogo lakini kujisikia umeshiba
5. Siku 2 au 3 bila kwenda chooni
6. Ngozi kupata chunusi zisizo za kawaida

🛑 MADHARA YAKE:
❌ Kinga ya mwili kushuka
❌ Magonjwa ya ini, figo, na presha
❌ Saratani ya utumbo
❌ Bawasiri na maumivu makali
❌ Kupungua kwa nguvu za kiume
❌ Kuvurugika kwa hedhi kwa wanawake
❌ Ngozi mbaya na chunusi

📲 Tupigie au tutumie ujumbe:
0749 860 798
Kwa ushauri na bidhaa bora za kusaidia kusafisha tumbo kwa njia ya asili ✅

BAWASILI/MGOLO🍀☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huwez...
14/05/2025

BAWASILI/MGOLO🍀

☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.

☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.
☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles

🍀AINA ZA BAWASILI🍀

👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.

👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili kinyama au uvimbe huota ndani ya njia ya haja kubwa na inaweza kutoka nje na kurud wakati wa kujisaidia au ikashindwa kurudi mpaka irudishwe kwa mkono

🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

Mawasiliano Whatsapp/call 0749860798

SABABU ZA UGONJWA WA NGIRI (HERNIA) NA SULUHISHO LA HARAKA✍🏻Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ...
17/04/2025

SABABU ZA UGONJWA WA NGIRI (HERNIA) NA SULUHISHO LA HARAKA

✍🏻Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

✍🏻Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji. Ugonjwa huu wa ngiri unawapata wanaume na wanawake wa rika zote.

✍🏻Mshipa wa ngili ni jina linalokusanya magonjwa k**a Ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji (Hydrocele) na Ngiri nyinginezo k**a vile kuvimba kokwa au mfereji unaopitisha manii unaojulikana kitaalamu k**a Epididmorchitis.

Ngiri Kavu (Hernia)

✍🏻Ni aina hii ya ngiri huwapata wanawake na wanaume wote kwa ujumla. Ngiri kavu inapompata Mwanamke huitwa Fermoral Hernia, na pindi inapompata mwanaume inaitwa Scrotal hernia.

✍🏻Kwa maana halisi ya ngiri au mshipa wa ngiri ni hali inayotokea katika mwili wa binadamu ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu hiyo inayoathiriwa mara nyingi huwa ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.

✍🏻Pamoja na hivyo mshipa wa ngili hujitokeza sehemu mbalimbali za mwili na hupewa majina tofauti kutokana na sehemu ulipojitokeza, kwa mfano;

➡️Ngiri ya tumbo inajulikana kitaalamu k**a Abdominal Hernia
➡️Watoto wanaozaliwa na vitovu vikubwa inaitwa Umbilical Hernia,
➡️Ngiri inapojitokeza katika sehemu ya haja kubwa inaitwa A**l Herni.

✍🏻Dalili zake hazitofautiani sana hata hivyo ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote isipokuwa kuna baadhi ya ngili hujitokeza na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.

✍🏻Miongoni mwa vitu vinavyoweza kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni pamoja na kuwa na:
➡️Uzito mkubwa wa mwili wa kupitiliza au kuongezeka uzito kwa ghafla,
➡️Kua na kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito,
➡️Tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu,
➡️Ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua.

Mojawapo Ya Dalili Za Ugojwa Wa Ngiri Ni Pamoja Na;

➡️Uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani unaojulikana kitaalamu k**a (Direct Scoratal inguinal Hernia).
➡️Uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.
➡️Na pindi ukikubali kurudi ndani ndipo unapoitwa Reduible direct scrotal inguinal hernia.
➡️Na pia endapo utashindikana kurudi tumboni ndipo unapoitwa "Irreduible direct scrotal inguinal hernia".

Ugonjwa Wa Ngiri Ya Kitovu (Umbilical Hernia)

✍🏻Hili ni tatizo la kiafya ambalo huathiri ukuta wa tumbo na kitovu. Tatizo hili husababishwa na mambo makubwa matatu; kwanza ni kasoro ya kuzaliwa.

✍🏻Hapa ni kwamba kitovu kinakuwa na kasoro tangu pale mtoto anapokuwa tumboni kabla hajazaliwa.

✍🏻Tatizo hili kwa watu wazima lipo mara tatu zaidi kwa wanawake ukilinganisha na wanaume ambapo lipo kwa kiasi kidogo sana. Kwa watoto kiwango cha tatizo hili vinalingana kwa wote wa k**e na wa kiume na tafiti zinaonesha kwamba, tatizo ni kubwa kwa watoto wa Kiafrika ukilinganisha na mataifa mengine.

✍🏻Aina ya tatu ya ngiri ya kitovu inaitwa ‘Paraumbilical hernia’. Aina hii ya ngiri hutokea zaidi kwa watu wazima na husababishwa na kasoro upande wa juu wa kitovu kuelekea kwa juu kufuata mstari wa kati wa tumbo.

DALILI ZA UGONJWA

➡️Ngiri hutokea katika eneo la kitovu ambacho kwa lugha nyingine huitwa ‘Umbilicus’, ‘navel’ au ‘Belly button’. Kwa watoto wachanga wanapozaliwa kitovu huwa kirefu sana na huungana na kondo la nyuma la mama ili kupeleka lishe na hewa ya oksijeni kwa mtoto anapokuwa tumboni.

➡️Baada tu ya kuzaliwa, mtoto hujitegemea hivyo kitovu hukatwa katika eneo maalum ili kipungue urefu. Baada tu ya kitovu cha mtoto kupona, mtoto anaweza kupatwa na tatizo hili la ngiri ya kitovu tangu anapokuwa mtoto mchanga ambapo akilia kitovu kinatokeza

*MATIBABU*
✍🏻Matibabu ya ngiri siyo kupasuliwa, ni kutumia Dawa ambazo hutoa visababishi au kiini cha tatiz o hilo ambazo dawa hizo ni supliment za kampun ya BFSUMA,zimekuwa na matokeo mazuri sana kwenye kutibu *NGIRI,TEZI DUME,CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME,NGUVU ZA KIUME N.K*
PIGA KWA NAMBARI HAPO CHINI NI DR.MSHERI.Dactari bingwa wa changamoto za ngiri na Tezi dume

⚠️Kwa taarifa zaidi, Piga 0749860798 whatsap

Address

Kilimanjaro Mosh
Dar Es Salaam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR.Olson Healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share