G-CAT Health Care Clinic

G-CAT Health Care Clinic Karibu kupata vipimo vya magonjwa yote, mfumo wa uzazi na magonjwa sumbufu kama kansa, tezi dume, presha n.k na ushauri nasaha kutoka kwa daktari bingwa

31/08/2025
18/08/2025

JE UMESUMBUKA NA CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MUDA MREFU?
GCAT HEALTH itakupatia huduma kwa punguzo la Gharama kwa kila huduma ikiwemo vipimo, matibabu pamoja na Dawa.
Full body check-up ya mfumo mzima wa mwili ni 30,000/= Tshs.

🌊 PID, UTI,hedhi
⏺️ Fangasi, Uvimbe
⏺️Ukavu ukeni
⏺️ Mimba kutoka
⏺️ Nguvu za kiume
⏺️Mirija ya uzazi
⏺️ Saratani ya uzazi
⏺️ Kutoshika mimba
⏺️ Mvurugiko wa homoni
⏺️Hamu ya watoto kula
⏺️ Madhara ya punyeto
⏺️Kushindwa kuludia tendo la ndoa

Ofa hii ni mwezi huu tu!

Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani. Kwa mawasiliano zaidi tuma ujumbe au WhatsApp au Piga simu namba 0794391999
Kwa mawasiliano

🦷✨ Siri ya Tabasamu Safi na Afya ya Kinywa! ✨🦷Uchungu wa jino? Fizi kutoa damu? Harufu mbaya kinywani?✅ Suluhisho liko h...
13/08/2025

🦷✨ Siri ya Tabasamu Safi na Afya ya Kinywa! ✨🦷
Uchungu wa jino? Fizi kutoa damu? Harufu mbaya kinywani?
✅ Suluhisho liko hapa – Dawa ya meno yenye asali ya mimea 🍯🌿

💎 Inatibu:
✔ Maumivu makali ya jino
✔ Fizi zinazo toa damu
✔ Ganzi ya meno
✔ Fangasi ya koo na majeraha kinywani

🚫 Haina fluoride – salama kwa watoto
📌 Imetibitishwa na TMDA

💰 Bei: 22,000 TSH tu!
📲 Wasiliana sasa 👉 0794 391 999

Watch, follow, and discover more trending content.

07/08/2025

Check out Gcathealth_clinic’s post.

Afya ya uzazi ni msingi wa maisha ya mwanamke – iwe unapanga kupata mtoto au unataka kuwa na mwili imara, afya ya uzazi ...
02/08/2025

Afya ya uzazi ni msingi wa maisha ya mwanamke – iwe unapanga kupata mtoto au unataka kuwa na mwili imara, afya ya uzazi inapaswa kupewa kipaumbele 💪🏽💖

✅ Njia za kuboresha afya ya uzazi kwa mwanamke:

🥦 Kula lishe bora – matunda, mboga mboga, nafaka kamili na protini kwa wingi

🚰 Kunywa maji mengi – huimarisha mzunguko wa damu na afya ya viungo vya uzazi

🧘🏽‍♀️ Epuka msongo wa mawazo – stress huathiri homoni na mzunguko wa hedhi

🏃‍♀️ Fanya mazoezi mepesi mara kwa mara – husaidia uzito kuwa wa kawaida

🚭 Epuka sigara, pombe, na dawa zisizo na ushauri wa daktari

🩺 Fanya uchunguzi wa afya ya uzazi mara kwa mara – k**a vile kipimo cha homoni au uchunguzi wa kizazi

🩸 Tambua mzunguko wako wa hedhi – ni ishara muhimu ya afya ya uzazi

🌼 Kumbuka: Afya yako ni uwekezaji, si gharama. Iwapo una changamoto yoyote k**a hedhi zisizo na mpangilio, maumivu ya tumbo, au unapata mimba kwa shida – usikae kimya.
Tembelea kliniki kwa ushauri na vipimo sahihi.

💬 Tunakujali – afya ya uzazi ni haki ya kila mwanamke.

Natural Vitamin E. 🔥🔥 Kwa Afya yako ya ngozi, Kupambana na Uzee kwa kuboresha na Kuondoa maumivu ya viungo
02/08/2025

Natural Vitamin E. 🔥🔥 Kwa Afya yako ya ngozi, Kupambana na Uzee kwa kuboresha na Kuondoa maumivu ya viungo

24/07/2025

Afya ya uzazi ni msingi wa furaha ya familia. Pima mapema – tiba huanza kwa kujua!"
👩‍⚕️ Huduma za kina kwa wanawake na wanaume
🔬 Tunafanya uchunguzi kwa vifaa vya kisasa
💊 Tunatoa dawa salama zilizothibitishwa kwa tiba ya matatizo ya uzazi, homoni, nguvu za kiume na uzazi wa mwanamke.

📍 GCAT International –Dar es Salaam na mikoa yote.
📞 0794 391 999 | 📲 WhatsApp: wa.me/255794391999

👉 Pata huduma yenye usiri, taaluma na matokeo. Karibu GCAT Eternal Clinic

16/04/2025

JE UMESUMBUKA NA CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MUDA MREFU?
GCAT HEALTH itakupatia huduma kwa punguzo la Gharama kwa asilimia 40% kwa kila huduma ikiwemo vipimo, matibabu pamoja na Dawa.

🌊 PID, UTI,hedhi
⏺️ Fangasi, Uvimbe
⏺️Ukavu ukeni
⏺️ Mimba kutoka
⏺️ Nguvu za kiume
⏺️Mirija ya uzazi
⏺️ Saratani ya uzazi
⏺️ Kutoshika mimba
⏺️ Mvurugiko wa homoni
⏺️Hamu ya watoto kula
⏺️ Madhara ya punyeto
⏺️Kushindwa kuludia tendo la ndoa

Ofa hii ni mwezi huu tu!

Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani. Kwa mawasiliano zaidi tuma ujumbe au WhatsApp au Piga simu namba 0794391999
Karibu Message Health care on WhatsApp. https://wa.me/255794391999

11/04/2025

VIPIMO VYA MFUMO MZIMA WA MWILI PAMOJA NA USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO.

Shirika la afya tokea CHINA/GCAT INTERNATIONAL, Imetoa ofa kwa watu wote watakaofika katika vituo vyake nchini,

kupata huduma ya full body check-up pamoja na MAGONJWA YA UZAZI KWA MWANAMKE NA MWANAUME, MATIBABU NA USHAURI NASAHA

Vipimo vya magonjwa yote pamoja na uzazi ni Tshs 30,000/= tu

Tunapatikana Mwenge Dar es salaam karibu na jengo la social hall.
Pia tuna matawi mikoa yote ya tanzania
Tuma ujumbe whatsapp au piga simu namba 0794391999.
Message Health care on WhatsApp. https://wa.me/255794391999

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G-CAT Health Care Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share