Afya na Dr safina

Afya na Dr safina Nasaidia kutoa huduma ya afya kwa wanawake wenye changamoto za uzazi N a infections kama UTI,matatizo ya kuto beba mimba
FANGASI.uvimbe nk.

Hii Ni Maalumu Kwa Wanawake Wenye Changamoto Za Fangasi,PID,Harufu mbaya Ukeni Na UTI Sugu...."]✅Yaweza kuwa umepambana ...
02/07/2026

Hii Ni Maalumu Kwa Wanawake Wenye Changamoto Za Fangasi,PID,Harufu mbaya Ukeni Na UTI Sugu...."]

✅Yaweza kuwa umepambana kwa muda mrefu kuondokana na changamoto hizi za k**e bila mafanikio

✅Tunaelewa umuhimu wa kushughulikia masuala ya afya ya uzazi! na kutafuta suluhu kwa maisha yenye furaha na afya bora.

📌uniambie kati ya izi picha ipi ambayo unapitia
Umeambiwa unauvimbe naunaogopa upasuaji
✅Utokaji Uchafu wenye harufu kali Ukeni
✅PID
✅Miwasho isiyoisha sehemu za siri,
✅Pamoja UTI Sugu

📌Je ungependa kupata mwongozo wa kukusaidia kuondokana na changamoto hizo,kwa njia rahisi na salama zaidi

📢WASILIANA NAMI KUPITIA WHATSAPP NUMBER 0743077523 Dr Safina@ mtaalamu wa afya ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume mwenye changamoto ya kizazi

23/05/2026

Mungu wabariki wamama vijacho wote…🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Imagine anavyo furahia akiona mtoto wake anavyo cheza tumboni 🥰nyie ni furaha sana k**a unahitaji nawewe pokea BARAKA KWA MUNGU🙏🙏🙏🫂

07/05/2026

Harufu mbaya ya ukeni (hasa ile ya “shombo” k**a samaki 🐟) mara nyingi inaashiria kuna mabadiliko au maambukizi. Hizi ndizo sababu kuu:
1. Bacterial Vaginosis
Hii ndiyo sababu ya kawaida sana.
Hutokea bakteria wazuri wanapopungua na wabaya kuongezeka
Harufu huwa k**a samaki hasa baada ya tendo la ndoa
Mara nyingine huambatana na uchafu mweupe au wa kijivu
2. Maambukizi ya zinaa (STIs)
Mfano: kisonono au klamidia
Husababisha harufu, maumivu au uchafu usio wa kawaida
Huja hasa kwa kufanya ngono bila kinga
3. Kutumia sabuni kali au kemikali ukeni
Kusafisha uke kwa ndani (douching) huua bakteria wazuri
Husababisha harufu mbaya na muwasho
4. Usafi duni wa sehemu za siri
Kubadilisha chupi mara chache
Kutokausha vizuri uke baada ya kuoga
Kutumia chupi zisizopitisha hewa
5. Kusahau kitu ukeni
K**a tampon au kitambaa
Hutoa harufu kali sana isiyo ya kawaida
6. Fangasi (yeast infection)
Mara nyingi huleta muwasho na uchafu mzito
Harufu si kali sana k**a BV, lakini inaweza k

25/04/2026

Naendelea kupokea shuhuda watu wanazidi kupona uvimbe bila upasuaji inawezekana suluisho ni uhakika 💯💯 kwa msaada zaid nitafute ibox Dr safina 0743077523

14/04/2026

Hutakiwi kuichukulia poa bawasiri...nina suluhisho la kudumu usiendelee kuteseka madhara yake ni makubwa unaenda kupata kansa ya utumbo 🥹ukikata kinyama pia kinarudi unatakiwa kupata matibabu ya mapema bila kukikata my dear🙌🏼

13/04/2026

Wooow!! Watu wanaendelea kuanza matibabu popote pale ulipo unasafirishiwa dose yako na kuipokea ikiwa salama k**a unavyoona huyu dada ameshapokea dose yake hakikisha na wewe unaagiza ya kwako.
Huduma inaendelea 0743077523

11/04/2026

Hongera sana kipenzi usirie palipo na Mungu kila kitu kinawezekana🫄🏾🫄🏾🫄🏾🫄🏾

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Dr safina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share