Mr Health

Mr Health Mtaalamu wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanamke, Miongozo ya lishe bora na Ushauri wa Kisaikolojia..🩺

Je..!? Dawa za Kukata Hedhi kwa Dharura NISALAMA au NIHatari  Kwa Afya ya Uzazi..?> “Hello Mr Health… Kuna mwanaume kani...
06/09/2026

Je..!? Dawa za Kukata Hedhi kwa Dharura NISALAMA au NIHatari Kwa Afya ya Uzazi..?

> “Hello Mr Health… Kuna mwanaume kaniambia twende vacation, natamani kwenda ila tatizo nipo siku zangu…Naomba dawa ya kukata hedhi..”

Niliposoma ujumbe huu…Nikabaki kimya, Nilihisi huzuni ndani yangu...😢

Si kwa sababu ya maumivu ya hedhi..!?

Hapana.....

Nikupambana kuficha uhalisia wa Mwili ili TU! kutimiza matarajio ya wengine..☠️

Ipo hivi Bint Mzuri....

Kila mwezi, mwili wako unafanya kazi kubwa ya kujiandaa kupokea maisha mapya...

Hedhi....

Ni kiashiria cha asili kinachokuonyesha usawa wa homoni, na afya ya uzazi....

Lakini sasa, wengi huona k**a kero...

Kufikia hatua ya kuchelewesha kuzimwa kwa vidong kwa sababu kuna vacation..
..Bint hizo dawa za kukata hedhi ghafla (hormonally suppressive drugs)

sio “shortcut ya starehe” Na sio salama Kwa Afya yako ya Uzazi....

Ni mchezo wa homoni unaoweza kuleta madhara makubwa zaidi hapo badae..

- Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kwa miezi kadhaa...

- Kupelekea maumivu makali ya tumbo, kichefuchefu, na mabadiliko ya kihisia.

- Kuathiri uwezo wa kupata ujauzito,(early menopause) yaani mwili wako unaanza kufunga kizazi kabla ya wakati wake..

- Na mbaya zaidi, Kuongeza hatari ya damu kuganda (blood clots) Hasa kwa wanaotumia bila ushauri wa daktari..🩸

Nafahamu utajiuliza Kumbe Dawa zipo Na dakitari anaweza kumuandikia mtu atumie? Kivipi na huku umesema Nihatari..🤯

Ipo hivi...👇

→ Dawa hizo hutolewa kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 45+ ambaye kachelewa kupata menopause....

Husaidia kudhibiti hedhi nzito, maumivu makali, au kuzuia uvimbe wa mfuko wa kizazi...

Lakini hata hivyo hutumika chini ya uangalizi wa kitaalamu, kwa vipimo maalum, na kwa muda uliopangwa.....

— Nashangaa wewe kibinti cha 2000 unayetaka kukata hedhi kwa sababu eti kuna vacation, au kesho unasafari...?

Maskini ndo kwanza hujuwi hata k**a unauwezo wa kushika Mimba....😁

— Embu jiulize, k**a mama mwenye miaka 45+ anatumiwa dawa hizo kwa uangalizi mkali wa daktari— Wewe kajamba nani unahangaika nini.?

Mwanamke mwenye hekima hawezi kuruhusu homoni zake “zipigwe marufuku” Kwa ajili ya mapumziko ya siku tatu na Sponsor 🤑

Hedhi si udhaifu —Ni ishara ya mfumo wako wa uzazi kufanya kazi sawasawa...Hivyo, kabla ya kukata hedhi kwa dawa, jiulize kwanza....👇

Je, Ninakata hedhi kwa muda au ninakata afya yangu ya uzazi moja kwa Moja...? 🤔

K**a Upo na Mimi Gonga LIKE Kisha SHARE Na kuwa TAG Uwapendao Kujifunza Elimu...✊

Ipo hivi..wakati mwanaume anafika kileleni, mwili wake huachia homoni kadhaa zinazobadilisha hali ya mwili na akili........
06/09/2026

Ipo hivi..wakati mwanaume anafika kileleni, mwili wake huachia homoni kadhaa zinazobadilisha hali ya mwili na akili.....

Homoni kuu ni Prolactin— ambayo hupanda ghafla baada ya mshindo....💦

Homoni hiyo hufanya kazi k**a brake system ya hamu ya tendo baada ya bao la kwanza....

Prolactin hupunguza ghafla nguvu ya testosterone hormone Na...

Kupelekea mwili kuingia kwenye refractory period yaani "kipindi cha mwili kukataa hamasa ya tendo....

Kwa mwanaume mwenye mwili wenye afya nzuri, mfumo huu hurejea haraka ndani ya sekunde chache......

Udhaifu wa kudumu hutokana na uchovu wa mwili, msongo wa mawazo, Ulaji duni, usingizi hafifu, na matumizi Booster..

Kipindi hicho kinakuwa kirefu mno— hata kufika saa 1 masaa 2 au zaidi....

Ndiyo maana baada ya bao la kwanza, Unakosa hamu kabisa na kushindwa kuendelea...☠️

Sababu kuu zinazofanya hali hii kuwa mbaya zaidi ni...👇

1. Kupungua kwa testosterone– Homoni ya msingi ya nguvu, stamina na hamu ya tendo....

2. Uchovu wa mfumo wa neva (nervous fatigue)– Kutokana na msongo wa akili au usingizi hafifu....

3. Mzunguko wa damu duni kwenye mishipa ya uume– Mishipa inakuwa dhaifu, hivyo hata damu haiwezi kurudi haraka kuanzisha round ya pili....

4. Lishe mbovu, sigara, pombe, na sukari nyingi– Huaribu uzalishaji wa nitric oxide na kushusha nguvu....

5. Psychological disconnect– Ubongo haupokei tena signal ya hamasa kutokana na presha, hofu au kutokujiami.....

NB: Kuweza kuunganisha rounds, Ni matokeo ya afya bora ya mwili, akili na homoni....

Ukianza kurekebisha mwili wako ndani kwa ndani —Utagundua kwamba round ya pili inakuja as naturally as breathing..

Je, Umewahi kukutana na changamoto hii ya kukosa hamu baada ya bao la kwanza..?

na Kushindwa kuunganisha BAO zaidi ya 1...!?

K**a jibu ni NDIYO comment neno "UZAZI PROGRAM" Ni kuunge kwenye group la Miongozo Tiba AU.....

Fuata link kwenye Bio soma kwa makini Anza program Tiba LEO.....🍆💦

Usikubali UTELEZI ukufanye uchukue maamuzi ambayo kesho yanaweza kukugharimu maisha yako....Uanaume wa kweli ni kujua wa...
05/09/2026

Usikubali UTELEZI ukufanye uchukue maamuzi ambayo kesho yanaweza kukugharimu maisha yako....

Uanaume wa kweli ni kujua wakati wa kusema:

“HAPANA. HII HAINIFAI.”

Broo…Usipoteze mwelekeo wa maisha yako ukijaribu kuthibitisha kwamba wewe ni Mwamba....📌

2. Unajua kuzisoma hisia na mwitikio wa mwenza wako.3. Mwenza wako anahitaji zaidi mkutane kimwili…🍆4. Unakuwa mbunifu w...
04/09/2026

2. Unajua kuzisoma hisia na mwitikio wa mwenza wako.

3. Mwenza wako anahitaji zaidi mkutane kimwili…🍆

4. Unakuwa mbunifu wa mbinu mpya za kuimarisha ukaribu wenu...

5. Baada ya kukuvulia chupi, Still bado anajihisi yupo sehemu salama...

6. Kujaribu vitu anavyovipenda, mkiwa chumbani....

7. Hauogopi kujifunza kuwa bora zaidi kitandani...

8. Unawasiliana na mwenza wako mkiwa chumbani..

NB: Ukweli ni kwamba… Unaweza kujiona uko vizuri, lakini hisia za mwenza wako ndizo zinazojua ukweli....

Je..!? K**a angeambiwa aseme ukweli wote bila kukuogopa wala kukulinda angekupa ngapi kati ya 10...?

Me 10/10 😂

Chanzo cha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Mambo Muhimu ya Kuzingatia..!!Kuna Hormone Inayoitwa "DOPAMINE"Ili Uelewe vizur...
03/09/2026

Chanzo cha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Mambo Muhimu ya Kuzingatia..!!

Kuna Hormone Inayoitwa "DOPAMINE"

Ili Uelewe vizuri...Nakupa mkasa huu wa kweli..Kutoka kwa miongoni mwa Mmoja wa client wangu.

Mwaka 2019 Nikiwa chuo nilikuwa napenda kupiga story na vijana kijiwe kimoja cha boda boda jirani na chuoni, Walikuwa wanapenda kuniita Dr Mwanafunzi. 😃

Siku mmoja kunakijana Aliniomba Number zangu, Akaniambia Dr....Kunaishu nataka nikupange...

Aliponipigia simu alinieleza hivi..,,,

" Dr....mimi ni mhudhuriaji mzuri sana wa yale mambo ya wakubwa....
Siku Haipiti...sijaangalia yani ni kheri nisongeshe niridhishe roho.. Tu..
K**a unavyo tuelezaga hapa kijiweni Matokeo yake nikujichua, Na mimi nipo kwenye uraibu wa hali ya juu kiasikwamba nashindwa kujizuia kabsa"
Kwabla hatujaende...Unajuwa kijana huyo alikuwa anateswa na nini.....??
Sio Kingine....Tabia hizo zilikuwa zinampa "CHEAP DOPAMINE"
Najua Umeshajiuliza " CHEAP DOPAMINE " Ni nini...???
Ni Ile Hali ya kutaka kuridhisha mwili kwa raha nyepesi na za muda mfupi..!!
K**a vile kuafwatilia Udaku, Video za ngono, Punyeto, na Kuscroll Mitandoni.....

"Kwa kweli Doctor kwa kipindi kirefu cha uraibu wa punyeto na video za ngono sikujua madhara yatakayo nitokea mbeleni mpaka nilipopata Binti wa kizanzibari...!!
Aliyeitwa Khairaty..
Alikuwa ni mweupe wa wastani...mrefu kidogo na ameumbika hatari
Macho ya Duara alafu makubwa na kilichokuwa kinanidatisha zaidi kwake
NI
Kiuno chake kidogo cha Nyigu na Hips zake pana laini.
Sitasahau nilipopata nafasi ya kukutana nae kimwili kwa mara ya kwanza.. Baada ya kuiomba kwa kipindi kirefu...
KWANI Nilipata Aibu ya Mwaka...
Kilichoniumiza zaidi Nilipania sana
Ila huwezi amini doctor ilekuweka tu uume wangu mambo yakaharabika apo apo 💦 Na uume ulilala ndani ya sekunde 10,
Nilijitahidi kusukumiza na vidole lakini wapi, haikusaida kitu, nakumbuka niliingia chooni kutizama video moja ya utupu lakini wapi..😪
Maskini ya Mungu mrembo wa watu Khairaty nayeye akajitahidi kwa kila namna...
Ila sikuweza kuendelea akaniangalia usoni kwa macho ya huruma.
" Tariq una shida gani eti"
Nilikosa Majibu, Niliishia kujiteta japo mtoto wawatu ilimkata sana, na ndipo ikawa mwisho wa mahusiano yetu"..
Kijana ak**alizia kwaniniomba msaada wa kujinasua kwenye uraibu wa video za ngono na punyeto, Pamoja na kuepukana na madhara yaliyo jitokeza.....

JE..!?? Ni Kwanini nimekupa huo mkasa ulio mkuta kijana wangu Tariq.…
Ili kukuonesha kwamba;
Vijana Wengi wanaangamia kwa Raha za Muda mfupi...k**a
PO*******HY
PUNYETO
Na Kutaka mafanikio ya Haraka kwa muda mfupi kwa kutumia madawa ya booster na nguvu za kiume.
NA...
Kupitia uhafadhali wa muda mfupi, Mwisho kurudi katika hali hile hile, Nisawa na kujiongezea madhara mara 2 zaidi.
Janga Hili ni Hatari Kuliko VOLCANO Kwani linatengeneza Vijana wengi kila siku..!!

- Wazembe na wavivu.

- Dhaifu

- Wenye Msongo mkali wa mawazo.

- Wanao ishi kwakutegemea booster k**a Vi**ra, Mkongo Na Midawa ya nguvu za kiume...

- Unahitaji ushauri wa kitaalamu na miongozo maalumu ya kuimarisha Afya yako ya Uzazi.

- Kuurudisha urijali wako uliopotea Bila kutumia dawa.

- Kuacha kuangalia video za ngono na kujichua.

- Kuongeza ufanisi wa uhalisia wako katika tendo, Bila kutumia madawa yoyote yale.

- Wingi na uimara wa mbegu zako kuongezeka, Ili uwe na uwezo wa kutungisha mimba.
Yote hayo maamuzi yapo kiganjani mwako Kwani,

Ndani ya Sekunde 30 zijazo naenda kukupatia Miongozo maalumu bila kutumia Madawa yoyote ile..

Unachotakiwa kufanya comment neno MWANAUME UZAZI Nikupatie Mwongozo Tiba Leo....🍆💦

Mwanaume anapoogopa kumpoteza mwanamke huanza kupoteza heshima yake mwenyewe...☠️Na mwanamke huanza kuona kile ambacho w...
02/09/2026

Mwanaume anapoogopa kumpoteza mwanamke huanza kupoteza heshima yake mwenyewe...☠️

Na mwanamke huanza kuona kile ambacho wewe hukioni...

"Huna tena msimamo"

Ukimruhusu akudhalilishe
kwa sababu tu unampenda…

usishangae siku moja
akakuona k**a mwanaume
ambaye kakuweka kiganjani mwake...

Na kitu chochote mtu anachoweza kukimudu....

hakithaminiwi kwa kiwango kilekile...

Hiyo ndiyo psychology.

Si uchawi.
Si chuki.

Ni tabia ya mwanadamu.

Mwanaume mwenye nguvu
hamlazimishi mwanamke kumheshimu....

Anaweka mipaka...

Na ikivukwa mara kwa mara…

anaondoka.

Kimya kimya ...

Hapo ndipo tofauti kubwa kati ya....

Mwanaume dhaifu:
“Usiniache.”

Na...

Mwanaume mwenye msingi:
“Sitaki kukuacha…
lakini sitapoteza THAMANI yangu ili ubaki.”

Man to man…

Usiwe mwanaume
anayemshikilia mwanamke
kwa hofu ya upweke...

Kuwa mwanaume
ambaye anaweza kumpenda sana…

lakini huondoka mara tu akipoteza heshima yake.

Kwa sababu mwisho wa siku…

Mwanamke sio kwamba ni hatari yako kubwa.

Hapana..Hofu yako ya kumpoteza ndiyo inaweza kuwa
kaburi la mwanaume DHAIFU....📌

Ukiogopa kusema “HAPANA,” Utajikuta unaishi maisha ya kuwaridhisha wengine....🫵Bro, jifunze kuwa na mipaka ya chuma....K...
02/09/2026

Ukiogopa kusema “HAPANA,” Utajikuta unaishi maisha ya kuwaridhisha wengine....🫵

Bro, jifunze kuwa na mipaka ya chuma....Kaza Broo....

Si kila kitu unavumilia..
Si kila mtu anastahili access kwako...

Usipiganie attention...Mbele ya mwanamke....

Mwanaume mwenye presence
haombi kuonekana... Bali hunaonekana....

Usimfuatilie mtu anayekupa mixed signals...

Clarity ni jibu...
Ukimya wako ni jibu tosha...

Mwanaume mwenye thamani
halazimishi mapenzi...

Anapenda....lakini hajipotezi...

Usijenge thamani yako
kwa jinsi mtu anavyokutreat...

Jijenge kiasi kwamba
heshima yako haitumiki k**a bargaining chip....

Bro, kumbuka....

Kindness ni strength, Neediness ni weakness....

Tofauti iko kwenye msimamo....

Usiwe mwanaume anayesema:

“Bebi, mbona hunijibu?”

Kuwa yule anayesema:

“Nimeona na Nimeelewa.”

Then move..

Mwanaume kamili
hajishushi ili apendwe.

Anajiheshimu, ana mipaka
na anaondoka pale heshima inaposhushwa...

K**a wewe sio Nice Guy PIGA KIFUA MARA 3. ✊🏾✊🏾✊🏾

Mwanaume wa kweli hujengwa na nidhamu, heshima na misingi thabiti. 💪🏽🔥
01/09/2026

Mwanaume wa kweli hujengwa na nidhamu, heshima na misingi thabiti. 💪🏽🔥

Kilio Kikubwa kwa WANAUME wengi sio kushindwa kusimamisha UUME imara na kuwahi hufika kileleni..Ukweli mchungu wa Afya W...
01/09/2026

Kilio Kikubwa kwa WANAUME wengi sio kushindwa kusimamisha UUME imara na kuwahi hufika kileleni..

Ukweli mchungu wa Afya WANAUME...👇

Ni maumivu ya akili, Ni maumivu ya nafsi, Ni maumivu ya utu wa mwanaume...

Ni kuingia chumbani ukiwa na matarajio makubwa…

Lakini mwili na saikolojia yako vinakusaliti....

Embu vuta picha broo.

Unamtazama mwenza wako machoni, huku unawaza hivi nitaweza kweli kuhimili hata raundi hata moja...!?

Ukiachilia mbali kurudia au kuunganisha bao zaidi ya mmoja....☠️

Na hapa ndipo wanaume wengi huanza kufa taratibu— Sio kufa kimwili ni kufa kisaikolojia...

↳ Kujiamini kunashuka..
↳ Hofu ya kushindwa inaongezeka..
↳ Msongo wa mawazo unaanza kutawala..NA
↳ Taratibu unaanza kujitenga na uhalisia wako wa asili k**a mwanaume...

Broo, afya bora sio tu kutokuwepo kwa ugonjwa fulani,

Ni pamoja na uwezo kamili wa mwili, akili, na mfumo wa homoni kufanya kazi kwa uwiano sahihi..

Hivyo basi, kushindwa kusimamisha uume ipasavyo mara nyingi, sio mwisho wa uanaume wako wala sio Ugonjwa... NI DALILI TU NA ZINATIBIKA..

Ni dalili ya mambo yafuatayo ndani ya mwili wako. 👇

— Mzunguko hafifu wa damu kwenye mishipa ya uume
— Kushuka kwa homoni ya Testosterone..
— Udhaifu wa mfumo wa neva..
— Msongo wa mawazo uliojificha Au
— Uchovu wa mfumo wa uzazi kutokana na mtindo wa maisha

Tatizo haliko kwenye uume wako tu, Tatizo pia liko kwenye mfumo mzima wa afya ya mwanaume ndani yako...

*Habari njema ni hii...* 👇

Mwili wa mwanaume una uwezo mkubwa wa kujirekebisha kiasili pale unapopewa mazingira sahihi ya kitabibu, lishe sahihi, na mwongozo sahihi....

Sio kwa kubahatisha...

Ni kwa kufuata mfumo sahihi wa kitaalamu..

Wanaume wengi wanandelea kuteseka sio kwa sababu hawana uwezo wa kupona…

Bali kwa sababu hawajawahi kupewa mwongozo sahihi wa kurejesha uwezo wao....

Usiendelee kuvumilia kimya kimya wakati kuna hatua sahihi za kuchukua...

K**a wewe ni mwanaume unayetaka leo hii uanze safari ya..👇

• Kurejesha uimara wa uume wako kiasili
• Kuongeza uwezo wa kurudia tendo bila uchovu
• Kuimarisha Testosterone yako kwa njia salama
• Na kurudisha kujiamini chumbani na nje..

Nimeandaa Mwongozo Maalum wa Tiba ya Siku 14 ya kurejesha nguvu za kiume ukiwa nyumbani kwako..

Unaoelezea hatua za kitabibu, Lishe, na mbinu za kurejesha mfumo wa afya yako ya uzazi...

Ninini chakufanya kupata program yako Leo...!?

Save number hizi za Whatsapp: +255745942380

Kisha nitumie Neno "MWONGOZO" TIBA nitakupatia utaratibu wa kujiunga na Program Tiba Leo.🔥

Mwanaume usiache kutafuna punje 3 tu za vitunguu swaumu Usiku Kabla ya kulala....🍆💦🧄— Ni siri ya nguvu, mishipa imara na...
31/08/2026

Mwanaume usiache kutafuna punje 3 tu za vitunguu swaumu Usiku Kabla ya kulala....🍆💦🧄

— Ni siri ya nguvu, mishipa imara na afya ya uzazi isiyo na Madhara 👇

↳ Huchochea mzunguko mzuri wa damu...
↳ Huimarisha mishipa ya uume...
↳ Huongeza kinga ya mwili
↳ Hupunguza mafuta mabaya mwilini
↳ Huamsha homoni na nguvu za asili

NB: Ni Siri ndogo, lakini tiba kubwa ya mwili na nguvu zako ...💪

Chukua hatua kuboresha afya yako ya uzazi, Epuka matumizi ya madawa ya nguvu za kiume.....🩺🫡

Mwongozo kwenye comment...👇

Address

Masaki
Dar Es Salaam
14111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share