FURSA ZA AJIRA

FURSA ZA AJIRA kurasa hii inahusika na utoji wa AJIRA kwa naohitaji kuanzia MIAKA 18 Hadi MIAKA 50.

KAMPUNI ya Eternal international inapenda kuwatangazia watanzania wote wanaume na wanawake nafasi zakazi.Kampuni hii ime...
07/03/2025

KAMPUNI ya Eternal international inapenda kuwatangazia watanzania wote wanaume na wanawake nafasi zakazi.

Kampuni hii imetoa nafasi za kazi 50,Ili watanzania waweze kujikwamua kiuchumi

Sifa za muombaji
-Awe na miaka 18 Hadi 45
-Awe MTANZANIA
-Awe mkazi wa dar es salaam
-Awe anajua kiswahili fasaha
-Awe anajua kusoma na kuandikia
-Awe na simu kubwa(smartphone)
-Awe na namba yanida

Tupo kigogo round about,kwa maelezo zaidi tupigie namba/what's up namba 0759894242.

07/03/2025

KAMPUNI YA GCATE ETERNAL INTERNATIONAL Inapenda kuwatangazia watanzania wote wanao sumbuka na AJIRA waje wajipatie AJIRA na kuweza kujikwamua kiuchumi

Address

KIGOGO ROUND ABOUT
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FURSA ZA AJIRA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share