Swahili medics

Swahili medics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili medics, Medical and health, P. O. Box 9504 Ilala, Dar es Salaam.

🤰🏽Fertility Support
💦Hormonal Health
👩🏻‍⚕️Libido & Performance
🩵Couple Wellness
🏅Over 2700 Couples Served Globally

☎️Consultation Available +255743462206
📍Dar Es Salaam, Tanzania

23/07/2026

“Kwa Nini Mimi?”

Hii Ni Safari Ambayo Wanawake Wengi Huipitia Kimya Kimya…

Kila Mwezi Ulikuwa Unapokuja…
Ulileta Machozi…
Ulileta Maswali Yasiyo Na Majibu…

Leo, Mpendwa Wetu Amekubali Kushiriki Ushuhuda Wake.

Baada Ya Kufuata Mpango Wake Wa Huduma Na Mwongozo Aliopatiwa, Alipata Habari Ambazo Alikuwa Ameziombea Kwa Muda Mrefu…

Matokeo Yake Yamemjaza Furaha Kubwa.

Kila Mwanamke Ana Safari Yake. Ndiyo Maana Hatutoi Ahadi Za Miujiza Wala Matokeo Yanayofanana Kwa Kila Mtu.

Tunafanya Kazi Ya Kutambua Chanzo Cha Changamoto, Kutoa Mwongozo Wa Kitaalamu, Na Kusimama Na Wewe Katika Kila Hatua Ya Safari Yako.

K**a Umekuwa Ukihangaika Na:
• Kushindwa Kupata Ujauzito
• Mimba Kuharibika Mara Kwa Mara
• Mzunguko Wa Hedhi Usio Wa Kawaida
• Changamoto Za Homoni
• PCOS/PMOS, PID, Au Mapacha

Usikate Tamaa.

Huenda Safari Yako Inahitaji Tiba Sahihi, Mpango Sahihi, Na Mwongozo Sahihi.

Nitumie Ujumbe Au Nipigie Simu Kupata Ushauri Na Kujua Ni Mpango Gani Unaoweza Kukufaa.

📞 +255 754 666 220

Safari Ya Kila Mwanamke Ni Ya Kipekee… Lakini Tumaini Linaweza Kuanza Leo.

01/07/2026

30/06/2026

28/06/2026
26/06/2026

22/06/2026

🌱 Mbegu Za Maboga (Pumpkin Seeds) Ni Miongoni Mwa Vyakula Vyenye Virutubisho Vingi Vinavyoweza Kuchangia Afya Bora Ya Uzazi Kwa Mwanamke.

Mbegu Hizi Zina Madini Ya Zinc, Magnesium, Iron, Selenium, Omega-3 Fatty Acids Na Antioxidants Ambazo Husaidia Mwili Kufanya Kazi Zake Kwa Ufanisi.

Zinc Ni Moja Ya Virutubisho Muhimu Sana Kwa Mwanamke Mwenye Changamoto Za Homoni Au Anayepambana Na Ugumba.

Madini Haya Husaidia Katika Utengenezaji Na Usawazishaji Wa Homoni Za Uzazi, Kuboresha Ukuaji Wa Yai, Kusaidia Ovulation Na Kuimarisha Mazingira Yanayohitajika Kwa Uwezekano Wa Kupata Ujauzito.

Pia Zinc Huchangia Kuimarisha Kinga Ya Mwili, Kupunguza Msongo Wa Oxidative Kwenye Ovari Na Kusaidia Mwili Kutumia Virutubisho Vingine Muhimu Kwa Afya Ya Uzazi.

Kumbuka, Lishe Bora Haiwezi Kutatua Sababu Zote Za Ugumba Lakini Inaweza Kuwa Sehemu Muhimu Ya Safari Ya Kuboresha Afya Ya Uzazi Na Kusawazisha Homoni.

⚠️ Disclaimer: Taarifa Hizi Ni Kwa Madhumuni Ya Elimu Ya Afya Pekee. Mbegu Za Maboga Si Tiba Ya Ugumba Wala Magonjwa Ya Homoni.

Ikiwa Una Changamoto Ya Uzazi Au Mzunguko Wa Hedhi Usio Wa Kawaida, Fanya Uchunguzi Na Kupata Ushauri Wa Kitaalamu Kutambua Chanzo Halisi.

20/06/2026

K**a Unapitia Safari Ya Kutafuta Mtoto, Tafadhali Usikate Tamaa.

Leo Nimeguswa Sana Kusikia Ushuhuda Wa Mwanamke Huyu. Miezi Miwili Iliyopita Alikuwa Na Machozi, Maswali Mengi, Na Hofu Ya K**a Siku Moja Ataitwa Mama. Leo Anashuhudia Kwa Furaha Kuwa Ana Ujauzito.

Sio Kila Safari Ya Uzazi Inafanana. Wengine Hupata Haraka, Wengine Huchukua Muda Mrefu Zaidi. Lakini Kitu Kimoja Ambacho Sitaki Ukipoteze Ni Tumaini.

Najua Maumivu Ya Kuona Wengine Wakisherehekea Ujauzito Wakati Wewe Bado Unasubiri. Najua Uchungu Wa Kujibu Maswali Ya Watu, Na Machozi Ya Kimya Kimya Kila Mwezi Unapoona Hedhi Imerudi Tena.

Lakini Tafadhali Kumbuka Hili…

Mpaka Leo Kuna Wanawake Wengi Ambao Waliwahi Kuambiwa Haiwezekani, Lakini Leo Wamebeba Watoto Wao Mikononi.

Usijilaumu.
Usijione Umeshindwa.
Usione Kana Kwamba Wewe Umesahaulika.

Endelea Kutafuta Msaada Sahihi, Endelea Kuamini, Endelea Kujitunza, Na Zaidi Ya Yote Endelea Kuwa Na Matumaini.

Safari Yako Bado Haijaisha.

Naomba Ushuhuda Huu Uwe Kumbusho Kwako Kwamba Wakati Mwingine Muujiza Unaweza Kuwa Karibu Kuliko Unavyofikiria. ❤️🤱

Ukisoma Hadi Mwisho, Andika “NATUMAINI” Kwenye Comment. Ninasimama Na Kila Mwanamke Anayesubiri Furaha Ya Kuitwa Mama.

🙏

18/06/2026

Mimba Kuharibika (Miscarriage) Ni Tukio Gumu Kihisia Na Kimwili Ambalo Linaweza Kumpata Mwanamke Yeyote, Mara Nyingi Bila Yeye Kufanya Kosa Lolote.

Sababu Zinaweza Kujumuisha Hitilafu Za Kijenetiki Kwa Mtoto, Matatizo Ya Homoni, Maambukizi, Au Hali Nyingine Za Kiafya.

Kuelewa Dalili Na Kupata Huduma Za Matibabu Mapema Ni Muhimu Kwa Afya Ya Mama Na Mipango Ya Uzazi Wa Baadaye.

⚠️ Disclaimer:
Maelezo Haya Ni Kwa Ajili Ya Elimu Ya Afya Pekee Na Hayachukui Nafasi Ya Ushauri, Uchunguzi Au Matibabu Kutoka Kwa Mtaalamu Wa Afya.

Ikiwa Unapata Dalili Za Mimba Kuharibika Au Una Wasiwasi Kuhusu Ujauzito Wako, Wasiliana Na Daktari Mara Moja.



Je, Tamaduni Zenu Inawezekana Mimba Kuharibika Mara Kwa Mara Ji Mkono Wa Mtu

13/06/2026

Hakuna Kitu Nachukia Kwenye Hii Dunia K**a Kusikia Mwanamke Anaitwa “Mgumba”

Mungu Hajawai Kushindwa Hakika…

Pongezi Kwa Kila Aliyefanikisha Hili Kutoka Kwenye Hatua Za Awali Kabisa Hadi Kufikia Sasa 🙌🏼

Naamini Hata Kwako Inawezekana 💪🏽

Je? Umefurahi Au Laah!

12/06/2026

Kuna Nyakati Maishani Zinakufundisha Kwamba Afya Ni Baraka Kubwa Kuliko Kitu Chochote.

Siku Chache Zilizopita Hazikuwa Rahisi Kwangu, Lakini Leo Ninamshukuru Mungu Kwa Kunivusha Salama. Nimeona Upendo Wenu Kupitia Simu, Ujumbe Na DM Nyingi Sana. Kila Sala Yenu, Kila Neno La Faraja Na Kila Dua Ilinipa Nguvu Wakati Ambapo Niliihitaji Zaidi.

Ninawashukuru Kwa Moyo Wangu Wote Madaktari Na Wataalamu Waliosimama Nami Na Kutoa Kila Walichoweza Ili Kunisaidia. Sitawasahau.

Kwa Wale Wanaouliza Naendeleaje, Ninaendelea Vizuri Na Kila Siku Naimarika Zaidi. Asanteni Kwa Kunibeba Kwenye Maombi Yenu. Upendo Wenu Umenigusa Sana.

Tutaonana Hivi Karibuni. ❤️🙏

Address

P. O. Box 9504 Ilala
Dar Es Salaam
11109

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili medics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share