02/08/2026
Endapo gegedo (articulate cartilage) pamona na ute ute (synovial fluids) kwenye sehemu za maungio, nyonga, au mifupa utaanza kuhisi maumivu yasiyoisha lakini pia unaweza pata ugumu wa kujo gea au kufa ya kazi.
Katika Hali hii ukawa unaendelea kifa ya mazoezi magimu, kazi ngumu au kuendelea kutumia dawa za maumivu pekee unaweza pelekea mifupa kusagika zaidi.
Unachotakiwa kufanya ni kurudisha uwepo wa gegedu na uteute kwanza Kisha uendelee na mazoezi.
Lakini kwa wale wanaopata maumivu ya kwenye uti wa mgongo baada ya kufanya matibabu na kutumia dawa Kuna CERAGIM kwaajir ya kunyoosha diski za mgongo Kila moja.
K**a umejifunza kitu hapa basi share kwa wengine pia wapate ujumbe huu Kisha like na comment
Follow account hii k**a bado hauja nifollow tute geneze familia moja