AFYA NA TIBA

AFYA NA TIBA | Afya ni Msingi wa maisha ya furaha kwa kila mwanadamu
Tunasaidia watu wote kuimarisha afya kwa njia bora zaidi.

MABONGE MAKUBWA YA DAMU WAKATI WA HEDHI YANAWEZA KUHUSIANA NA:🔹 Fibroids (uvimbe kwenye mfuko wa uzazi)🔹 Mabadiliko ya h...
17/06/2026

MABONGE MAKUBWA YA DAMU WAKATI WA HEDHI YANAWEZA KUHUSIANA NA:
🔹 Fibroids (uvimbe kwenye mfuko wa uzazi)
🔹 Mabadiliko ya homoni za uzazi
🔹 Endometriosis
🔹 Kuvuja kwa damu nyingi kuliko kawaida (heavy menstrual bleeding)
🔹 Matatizo mengine ya mfumo wa uzazi
⚠️ Kumbuka: Mabonge madogo wakati wa hedhi yanaweza kutokea kawaida, lakini mabonge makubwa au yanayojirudia mara kwa mara yanaweza kuwa ishara ya tatizo linalohitaji uchunguzi.
📌 Ikiwa hali hii inajirudia, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi mapema ili kujua chanzo na kupata matibabu sahihi.
📲 WhatsApp: 0767759129

17/06/2026


Sababu za mimba kuharibika mara kwa mara:🍂Hitilafu za vinasaba (chromosomes) kwa kijusi.🍂Maambukizi kwenye mfumo wa uzaz...
17/06/2026

Sababu za mimba kuharibika mara kwa mara:

🍂Hitilafu za vinasaba (chromosomes) kwa kijusi.

🍂Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi.

🍂Matatizo ya homoni.

🍂Uvimbe kwenye kizazi (fibroids) au matatizo ya mfuko wa uzazi.

🍂Magonjwa sugu k**a kisukari au shinikizo la damu lisilodhibitiwa.
Matatizo ya tezi ya shingo (thyroid).

🍂Umri mkubwa wa mama.

🍂Kuvuta sigara,
matumizi ya pombe au dawa za kulevya.

🍂Upungufu mkubwa wa lishe au vitamini muhimu.

🍂Matatizo ya kinga ya mwili (immune disorders).
🍂 chango la uzazi.
🍂 kufanya kazi ngumu wakati wa ujauzito nk

Dalili za kuharibika kwa mimba:

🍂Kutokwa damu ukeni.

🍂Maumivu ya tumbo au mgongo.

🍂Kutoka kwa maji au tishu ukeni.

🍂Kupungua ghafla kwa dalili za ujauzito.

Mwanamke anayeharibikiwa mimba mara kwa mara anashauriwa kufanyiwa uchunguzi wa kina hospitalini ili kubaini chanzo na kupata matibabu sahihi.

K**a wewe ni mojawapo ya mwanamke unayepitia changamoto hii basi wasiliana nasi kwa tiba na ushauri zaidi
0767758129

KILA MWANAMKE ANA UWEZO WA KUBEBA MIMBA 🥰 NI KUAMUA TU 🎉🎉🎉🎉🎉🎉HAKIKISHA UNAJALI AFYA YAKO NA KUTIBIA CHANGAMOTO 🎉🎉🎉🎉NA KU...
17/06/2026

KILA MWANAMKE ANA UWEZO WA KUBEBA MIMBA 🥰 NI KUAMUA TU 🎉🎉🎉🎉🎉🎉HAKIKISHA UNAJALI AFYA YAKO NA KUTIBIA CHANGAMOTO 🎉🎉🎉🎉

NA KUENDELEA KUMUOMBA MUNGU 🙏🙏🙏🙏bila kukata tamaa

Tengeneza hii juice ukiwa nyumbani kwako, Detox hii iwe sehemu ya maisha yako..☠️Usiache mwili wako ujazwe sumu kila sik...
05/06/2026

Tengeneza hii juice ukiwa nyumbani kwako, Detox hii iwe sehemu ya maisha yako..☠️

Usiache mwili wako ujazwe sumu kila siku huku una suluhisho jikoni kwako...🫵

→ Juisi ya tango (Cucumber Juice) husaidia kusafisha ini, figo na ngozi.

→ Ipo na antioxidants, madini na maji ya kutosha yanayosaidia mwili kuondoa sumu (toxins), kupunguza uvimbe, kuimarisha ngozi na kuongeza nguvu za mwili....

→ Saga vipande vya tango vibichi, chuja, kisha kunywa glasi moja kila asubuhi ukiwa na tumbo tupu kwa siku 7....

NB: Anza leo, Fanya Detox kuwa sehemu ya maisha yako— Mwili wako utakushukuru..💚

USICHANGANYE MAMBO SOMA KWA MAKINI*👇👇👇👇👇👇*BAADHI YA DALILI ZA UTI*🔵Kujisikia kukojoa muda wote🔵kuchoka sanaa🔵Mkojo kutoa...
28/05/2026

USICHANGANYE MAMBO SOMA KWA MAKINI*
👇👇👇👇👇👇

*BAADHI YA DALILI ZA UTI*

🔵Kujisikia kukojoa muda wote
🔵kuchoka sanaa
🔵Mkojo kutoa harufu
🔵Mkojo wa rangi
🔵Homa Kali
🔵kichefuchefu
🔵kutapika

BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI

▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

BAADHI YA DALILI ZA PID

⏩Kutokwa na uchafu mzito ukeni
⏩Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano
⏩Uke kutoa harufu mbaya
⏩Kuwashwa sehemu za siri
⏩maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
⏩Uke kuwa mlaini sana
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⏩Kuvurugikwa kwa hedhi
⏩Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
⏩Maumivu wakati wa kukojoa
⏩Homa/uchovu na kuchoka
⏩kizungu zungu na n.k



Afya bora na Tiba sahihi
WANAWAKE NA UZAZI

Baada ya kujua hivyo, nambie Sasa tatizo lako, tutib

Kwa wenye changamoto ya UTI SUGU, FANGASI, UCHAFU UKENI, MIWASHO, PID, dozi hii inasaidia sana
1.kuondoa miwasho
2.kuua bacteria na fangasi
3.kuondoa uchafu ukeni
4.kukausha vidonda pamoja na maupele yanayotokea sehemu za Siri
Hii ni asili k**a inavyoonekana apo
Inapatikana kwa 35000 , k**a unahitaji tunafanya delivery mikoa yote Tanzania

Wasiliana nami
0767758129

*JE, UMECHOKA KUMEZA DAWA KILA SIKU KWA AJILI YA PRESHA NA UNAHITAJI SURUHISHO LA KUDUMU NA  UHAKIKA?* uko MAHALI salama...
28/05/2026

*JE, UMECHOKA KUMEZA DAWA KILA SIKU KWA AJILI YA PRESHA NA UNAHITAJI SURUHISHO LA KUDUMU NA UHAKIKA?*
uko MAHALI salama

Dalili za *presha ya kupanda (high blood pressure au hypertension)* mara nyingi hazionekani mapema, lakini zikiibuka, zinaweza kujitokeza kwa njia mbalimbali. Hapa chini ni dalili za kawaida za presha inapopanda:

🌡️ Dalili za Presha ya Kupanda:
1. *Maumivu ya kichwa* – hasa yanayoendelea na kuwa makali.
2. *Kizunguzungu au kuhisi mwepesi kichwani.*
3. *Kupiga kwa moyo kwa kasi isiyo ya kawaida (palpitations).*
4. *Kuchoka au kuwa na uchovu wa mara kwa mara.*
5. *Shida ya kuona (blurred vision).*
6. *Kutokwa jasho kupita kiasi bila sababu.*
7. *Kuvimba kwa uso, mikono au miguu.*
8. *Kutokwa na damu puani (nosebleeds).*
9. *Kupumua kwa shida.*
10. *Maumivu ya kifua au kujaa kifua.*

⚠️ Muhimu Kujua:
Dawa zetu zinatibu Presha ndani ya Muda mfupi mno ,na ni hakika zaidi ya 100%,
0767758129

*Soma Hapa Kwa Makini Sana habari HII ya  Sukari na Presha*_*Jitihada Mbalimbali Zinafanywa Ili Kuweza kudhibiti (MADHAR...
28/05/2026

*Soma Hapa Kwa Makini Sana habari HII ya Sukari na Presha*

_*Jitihada Mbalimbali Zinafanywa Ili Kuweza kudhibiti (MADHARA) Athari Za Magonjwa Ya Presha Na Kisukari*..._

Unapochukua Hatua ya kutibu Chanzo kikuu Cha Tatizo Ulilo Nalo

Ni Sawa Na Kung'oa Mzizi Wa Mmea, Maana Yake Mmea Utakauka si ndio!...

Hivyo Ndivyo Ilivyo Katika Jitahada Hizi za kushughulika na sukari & presha...

Ninahakikisha Ninakupa Matibabu Yatakayoenda Kutibu _Mzizi Wa Tatizo Lako Linalokusumbua_...

Elewa Kwamba Uwepo Wa Mafuta Mengi Kwenye Mishipa Mikuu Ya Damu Husababisha Shinikizo Na Magonjwa Ya Moyo...

So Ninapokuanzishia Tiba huenda Kuyachoma Na Kuyaondoa Hivyo Shinikizo La Juu la Damu huanza Kuwa Normal...

Hapo ni kwa mtu mweye tatizo la presha...

Huenda wewe Una Changamoto Ya Kisukari...

Hapa Mzizi Mkuu Ni *INSULINE RESISTANCE* Pamoja Na *KONGOSHO*...

Mtu kuwa na sukari (Diabetes) mara nyingi tatizo kuu ni Insulin Resistance,

Yaani mwili hautambui au hauitiki vizuri kwa insulin...

Hii Insulin ni homoni inayotengenezwa na kongosho (Pancreas) ambayo kazi yake ni kusaidia sukari (Glucose) iingie kwenye seli kutoa nishati...

Lakini pale seli zinapokataa kuitii insulin, sukari inabaki kwenye damu, ndipo tunasema mtu ana insulin resistance...

_Sijuhi naeleweka vyema hapa ndugu zangu!!?🙌👍🏻_
Unaweza Kujiuliza Je! Kwa nini Insulin Resistance inatokea?...

Inatokea kwa sababu toka zamani na mpaka sasa unakula vyakula vingi vya wanga laini na sukari (k**a ugali mweupe(sembe), mikate, chipsi,soda n.k.)...

Inatokea kwasababu unakaa bila kufanya mazoezi...

Upo na Uzito kupita kiasi (hasa mafuta tumboni)...

Una Msongo wa mawazo na hulali kwa wakati unapata usingizi kidogo...

Lakini pia kuvimba kwa ndani ya mwili yaani unapata (Inflammation)...

_*Jambo La Pili Unaweza Kujiuliza Kwa nini Kongosho linapata shida?*_...

Kongosho linapata shida kwa sababu linachoka kwa kuzalisha insulin nyingi kila siku kukabiliana na insulin resistance...

>> Seli zinazotengeneza insulin (Beta & Alpha cells) huanza kufa au kudhoofika...

Na Sababu nyingine ni magonjwa, sumu zinazotoka kwenye chakula, pombe au magonjwa ya kinga ya mwili (Autoimmune)...

Hivyo ndivyo unavyopata sukari kupitia vyanzo hivyo k**a nilivyoeleza...

Hebu Tazama Huu Mchoro Huelewe Ninachokimaanisha👇🏻

*_Kwanza seli hukataa insulin → Sukari Inapanda → Kongosho Linaanza Kuchoka → Mwishowe Insulin Inakuwa Haitoshi Kabisa_*...

So Hapa Msaada Mkubwa Utakaopata Wewe mwenye Changamoto Hii

Ni Kwamba Unanitaji Matibabu Maalum Yatakayoenda Kuzalisha Na kuhuisha Cells Ndani Ya Kongosho..*[Beta Cell & Alpha Cell ]*...

Zizalishwe na Ziwe Na Uwezo Wa Kutoa Insulin Ya Kutosha kwenda kwenye seli ili ziitumie sukari kwa ajiri ya nishati...

Haijalishi Umeshaathirika Kwa Namna Gani labda Unachoma Insulin,

Umepata Vidonda, Unahisi Ganzi,Miguu Kuchoma Choma Au Kuwaka Moto,

Mishipa ya Damu Kupanuka na Uwepo Wa Mafuta Mabaya Mwilini,

Pia kwa wewe mwanaume Kushindwa Kushiriki tendon la Ndoa Kwa Sababu Ya Magonjwa Hayo

Basi *Usiteseke Tena Na Hali Hiyo*...

Matibabu Ninayokupa Yanahakikisha Yametibu Kwanza Yote Hayo Kwa Ufanisi Mkubwa...

Kwasababu Kinachotibiwa ni mzizi au chanzo cha tatizo hilo...

*Usipate Madhara Makubwa Kwa Sababu Ya Presha Au Kisukari,*

*Matibabu Yapo Ya Uhakika Wa K**aliza Chanzo Cha Tatizo Lako Na Tuna Hakikisha Unapona Kwa Usimamizi na Uweza Wa MUNGU*...

*Karibu Leo Uanze Matibabu Sahihi.
Afya ya uzazi na watoto, urembo, tiba asilia na mahusiano
Elimu Ya Afya

21/05/2026

*UMUHIMU WA MAFUTA YA SAMAKI AINA YA OMEGA 3 SALMON KWA AFYA YA MTOTO WAKO.**
* Mafuta haya yanasaidia afya na ukuuaji wa ubongo wa mtoto ili awe na kumbukumbu na umakini ktk kujifunza

* Husaidia mtoto asipatwe na kifua na mafua ya mara kwa mara

* Husaidia kuboresha afya ya viungi vya mtoto asipate matege (rickets) na kuimalisha viungo kwa ujumla (Mifupa) hivyo k**a unamtoto ajakaza shingo,akaa,ajatambaa wala kutembea hakikisha unampatia haya

* Yanaboresha afya ya moyo na kurekebisha mapigo ya moyo ya mtoto

* Yanaondoa allergy kwa mtoto.
* Yanasaidia Ngozi kuwa zuri kwa mtoto
* Yanasaidia mtoto kupata hatua za ukuaji kwa wakati sahihi
* Yanasaidia kuboresha afya ya macho
* Yanasaidia sana wale watoto wanaokojoa kitandani

**JALI AFYA YA MWANAO KWA KUMPATIA OMEGA 3 SALMON OIL*

21/05/2026

Mbinu za kutoa sumu mwilini, Je unazijua....? SOMA KWA MAKINI..

Sumu hizi huitwa Toxins na hujikusanya taratibu mwilini kupitia...
Vyakula vyenye kemikali,

Kukaa muda mrefu bila mazoezi,

Kukosa usingizi bora,

Msongo wa mawazo, N.K

Zinapojikusanya kwa muda mrefu huathiri kila mfumo wa mwili wako, ikiwemo homoni zako...

Hii ndiyo sababu kubwa ya Hormonal Imbalance kwa wanawake na wanaume...

Kwa wanawake..Ipo hivi.....

• Kukosa hedhi kwa wakati, Yaani Mzunguko kuvurugika...

• Maumivu makali wakati wa hedhi, haswa chini ya kitovu....

• Kubadilika kwa hisia ghafla (Mood swings),

• Uzito kuongezeka bila sababu, au kutokana na Sumu za Njia za uzazi wa mpango...K**a kijiti...

Kwa wanaume Je....?

• Kupungua kwa nguvu za kiume, Kutokana na kiwango cha chini cha testosterone hormone...

• Uchovu wa kudumu haswa wakati wa tendo la ndoa....

• Ghafla kupungua kwa misuli,

• Hasira au huzuni zisizoeleweka,

Na kwa wote, Ngozi kuchoka, kujaa sumu, na kuzeeka mapema!

SULUHISHO..? ANZA KUTOA SUMU MWILINI (DETOXIFICATION).

Tengeneza ratiba bora ya lishe na mazoezi...

↳ Kuamka mapema, Ni muda wa dhahabu kwa detox ya asili...

↳ Mazoezi ya angalau dakika 30 kila asubuhi hadi jasho litoke...

↳ Kunywa mchanganyiko wa pilipili manga, saumu tangawizi na vitunguu majii asubuhi– Huamsha mfumo wa kuchuja sumu...

↳ Epuka vyakula vya kusindikwa – Soma lebo kabla ya kula

NB: Hii ni hatua ya kwanza tu katika safari ya kuelekea afya bora.
Elimu Ya Afya
Health

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NA TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share