02/07/2026
π’ NAFASI ZA KAZI β DAR ES SALAAM
GCAT International Tanzania inapokea maombi ya nafasi za usambazaji wa taarifa kwa wakazi wa Dar es salaam na mikoa jirani.
Sifa za mwombaji:
β
Umri wa miaka 25+
β
Awe na smartphone
β
Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali
β
Awe mkazi wa Dar es Salaam au mikoa jirani
Tunachotoa:
β’ Mafunzo ya awali kwa waombaji watakaochaguliwa
β’ Fursa ya kufanya kazi kwa kutumia smartphone
β’ Malipo hutolewa kulingana na utaratibu wa kampuni
Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi hizi na utaratibu wa maombi, wasiliana nasi kupitia:
π² WhatsApp/Simu: 0754824245