Mr Afya App

Mr Afya App Mr. Afya App ni suluhisho lako bora kwa huduma za afya mtandaoni. Pakua hapa ๐Ÿ‘‰ http://bit.ly/44G8vI6

02/06/2026

Madhara ya Kibomba (raya shataff)
Kwa wanawake

23/05/2026

Kwa ufupi, juice nyingi za viwandani zinaweza kuwa na changamoto kiafya ukizitumia mara kwa mara, hasa zile zenye sukari nyingi, flavor za kuongeza ladha na preservatives. Hata k**a zimeandikwa โ€œ100% juiceโ€, baadhi hupoteza nyuzinyuzi (fiber) muhimu zilizopo kwenye matunda halisi.

Mambo ya kuzingatia:
Sukari nyingi inaweza kuongeza hatari ya unene, kisukari na matatizo ya meno.

Baadhi huwa na virutubisho vichache ukilinganisha na tunda halisi.

Zinaweza kuongeza hamu ya kula zaidi kwa sababu hazishibishi k**a matunda kamili.

Chaguo bora zaidi:
Matunda halisi.
Juice ya nyumbani isiyo na sukari nyingi.
Smoothie yenye nyuzinyuzi.

K**a unatumia juice za viwandani:
Soma label.
Chagua zenye โ€œno added sugarโ€.
Tumia kwa kiasi, si k**a mbadala wa maji au matunda kila siku.
Mr Afya App

05/04/2026
๐Ÿ˜Š Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.
01/01/2026

๐Ÿ˜Š Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.

07/12/2025

๐Ÿคซ Uliza bila aibu!
Maswali yako ya afya ni siri yako,
Mr Afya App inayaheshimu kwa usiri wa hali ya juu.
Pata majibu ya haraka, sahihi na ya kitaalamu moja kwa moja kwenye simu yako.

๐Ÿ“ฒ Pakua Mr Afya App sasa.

๐ŸบUkweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....Download Mr Afya app๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6
11/10/2025

๐ŸบUkweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....

Download Mr Afya app

๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

๐Ÿค” Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ...
01/10/2025

๐Ÿค” Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ya nguvu za kiume una mambo makubwa ya kiafya...

๐Ÿ“ฒ Pakua Mr Afya App kwenye Play Store ujue siri nzima,
Bonyeza hii link https://bit.ly/44G8vI6

๐Ÿ’” Umeshapitia heartbreak?Donโ€™t worryโ€ฆ ni sehemu ya safari ya maisha!Lakini kumbuka ๐Ÿ‘‰ afya yako ya mwili na akili ndiyo t...
11/09/2025

๐Ÿ’” Umeshapitia heartbreak?

Donโ€™t worryโ€ฆ ni sehemu ya safari ya maisha!
Lakini kumbuka ๐Ÿ‘‰ afya yako ya mwili na akili ndiyo ticket ya kusimama tena ๐Ÿ™Œ

๐ŸŒฟ Mr Afya App inakupa tips ๐Ÿ”‘, ushauri wa madaktari ๐Ÿฉบ na elimu ya afya ๐Ÿ’ก ili ujijenge upya bila stress.

๐Ÿ“ฒ Pakua sasaโ€ฆ ni BUREโœจ

Bonyeza hapa ๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ง Unatafuta kupata ujauzito haraka?Usibaki na maswali bila majibuโ€ฆ??? ๐Ÿ“ฒ Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu...
07/09/2025

๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ง Unatafuta kupata ujauzito haraka?

Usibaki na maswali bila majibuโ€ฆ???

๐Ÿ“ฒ Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu kutoka kwa madaktari ๐Ÿฉบ na elimu ya afya ya uzazi itakayokusaidia kufanikisha ndoto yako ya kuwa mama.

๐Ÿ‘‰ Kila safari ya maisha huanza na hatua moja, Ndoto yako ya kuitwa Mama ianze sasa na
Mr Afya App

Bonyeza hapa ๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

Address

Tabata Aroma
Dar Es Salaam
12103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Afya App posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share