Tumaini Health Hub

Tumaini Health Hub Tunatoa huduma ya vipimo na matibabu.

🌟 OFA KUBWA YA MWEZI HUU NDANI YA CLINIC ZETU! 🌟Je, unasumbuliwa na magonjwa kwa muda mrefu?Je, unajali afya yako ya sas...
13/03/2026

🌟 OFA KUBWA YA MWEZI HUU NDANI YA CLINIC ZETU! 🌟

Je, unasumbuliwa na magonjwa kwa muda mrefu?
Je, unajali afya yako ya sasa na ya baadaye? 🩺

Kwa 30,000/= tu, fanya CHECK UP YA MWILI MZIMA na upate majibu kamili kuhusu:

βœ… Afya ya Uzazi (wanawake na wanaume)
πŸŽ— Mimba kuharibika au kutoshika mimba
πŸŽ— PID (UTI sugu)
πŸŽ— Uchafu ukeni na harufu mbaya

βœ… Kwa akina baba
Kulegea kwa uume, kiwango cha mbegu

βœ… Mfumo wa Upumuaji
βœ… Vidonda vya tumbo & gesi tumboni
βœ… Ubongo & mfumo wa fahamu
βœ… Ini & Figo
βœ… Moyo & Shinikizo la Damu (Presha)
βœ… Kisukari
βœ… Ngozi & Maumivu ya Mwili
βœ… Bawasiri
βœ… Misuli & Maumivu ya Viungo
βœ… Uchunguzi wa Magonjwa Yanayojificha Mapema

πŸ‘‰ Vipimo hivi vitakusaidia kugundua matatizo ya kiafya mapema kabla hayajawa makubwa.

πŸ’₯ MATIBABU: Kwa njia ya kuosha, kutibu, na kuongeza kinga ya mwili.
πŸ’₯ Punguzo la 40% kwenye gharama za matibabu!

πŸ“ž Mawasiliano: 0754257344
Dar es Salaam Na mikoani

JE, UNASUMBULIWA NA MAGONJWA KWA MUDA MREFU?JE, UNAJALI AFYA YAKO YA SASA NA BAADAYE 🩺?Kwa 30,000/= tu, fanya CHECK UP Y...
15/02/2026

JE, UNASUMBULIWA NA MAGONJWA KWA MUDA MREFU?
JE, UNAJALI AFYA YAKO YA SASA NA BAADAYE 🩺?

Kwa 30,000/= tu, fanya CHECK UP YA MWILI MZIMA na upate majibu kamili kuhusu:

βœ… Afya ya Uzazi (wanawake na wanaume)
πŸŽ— Mimba kuharibika au kutoshika mimba
πŸŽ— PID (UTI sugu)
πŸŽ— Uchafu ukeni na harufu mbaya

βœ… Kwa akina baba
Kulegea kwa uume, kiwango cha mbegu

βœ… Mfumo wa Upumuaji
βœ… Vidonda vya tumbo & gesi tumboni
βœ… Ubongo & mfumo wa fahamu
βœ… Ini & Figo
βœ… Moyo & Shinikizo la Damu (Presha)
βœ… Kisukari
βœ… Ngozi & Maumivu ya Mwili
βœ… Bawasiri
βœ… Misuli & Maumivu ya Viungo
βœ… Uchunguzi wa Magonjwa Yanayojificha Mapema

πŸ‘‰ Vipimo hivi vitakusaidia kugundua matatizo ya kiafya mapema kabla hayajawa makubwa.

πŸ’₯ MATIBABU: Kwa njia ya kuosha, kutibu, na kuongeza kinga ya mwili.
πŸ’₯ Punguzo la 40% kwenye gharama za matibabu!

πŸ“ž Mawasiliano: 0754257344
Dar es Salaam Na mikoani

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 30,000 TSH tu!+ Kuonana na Daktari BURE!+ Ushauri wa kiafya BURE!+ Punguzo la 10% kwa dawa!+ ...
26/08/2025

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 30,000 TSH tu!
+ Kuonana na Daktari BURE!
+ Ushauri wa kiafya BURE!
+ Punguzo la 10% kwa dawa!
+ Huduma za ziada zikiwemo!

Kwa nini usafiri hadi nje ya nchi kutafuta tiba, wakati sasa wataalam bingwa wa afya wapo TANZANIA, wakitoa huduma bora kwa kutumia virutubisho asilia vinavyosaidia mwili kujijenga na kupona?

GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL sasa ipo karibu yako, ikiwa na matawi mengi nchi nzima!
Tunatibu kwa umahiri magonjwa yasiyoambukiza k**a:

Vidonda vya tumbo

Shinikizo la damu

Kisukari

Tezi dume

Moyo, figo na ini

Gazi na miguu kuwaka moto

Matatizo ya macho, meno, kinywa

U.T.I sugu, PID, Typhoid

Matatizo ya ngozi

Magonjwa ya mgongo, kupooza/stroke

Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume..na mengine mengi!

Usikubali mateso ya ugonjwa yaendelee. Fika GCAT leo, pata tiba yenye suluhisho la kudumu!
Wasiliana nasi kupitia Simu namba :- 0754257344
Au kuja WhatsApp moja kwa moja bonyeza hapo chiniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://wa.me/message/CG7VZIP67CTHA1

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baad...
25/08/2025

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baadhi ya dalili za kuwa na sumu mwilini:*

1. Maumivu ya tumbo - Hii ni dalili ya kawaida ya sumu zinazoshambulia fumo wa chakula.

2. Kichefuchefu na kutapika - Sumu k**a za chakula au kemikali zinaweza kusababisha hali hilout
ARTHRITIS

3. Kichwa kuuma - Baadhi ya sumu zinaweza kusababisha maumivu ya kichwa.

4. Uchovu mkubwa - Sumu inaweza kusababisha mwili
kujisikia uchovu na udhaifu.

5. Kupumua kwa shida - Sumu k**a za hewa au kemikali zinaweza kuathiri njia za kupumua.

6. Mabadiliko ya rangi ya ngozi - Kwa mfano, ngozi inaweza kuwa na rangi ya buluu, kijani, au njano.

7. Kutetemeka au mishtuko - Hali hii ni dalili ya sumu inayoshambulia mfumo wa neva.

8. Macho kujaa maji A Hii linaweza kuwa dalili ya sumu inayohusiana na mfumo wa macho au hewa.

9. Nguvu za Mwanaume - Kupoteza uwezo wa tendo la ndoa, pia kushindwa kurudia tendo au uume kusimama kwa ulegevu.
Ikiwa unashuku kuwa una sumu mwilini, ni muhimu kuanza

Program ya DETOXIFICATION PHASE

*πŸ•³UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO - PEPTIC ULCERS πŸ•³* *πŸ‘‰πŸΏ Vidonda Vya Tumbo ni nini?*β€’ Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ...
25/08/2025

*πŸ•³UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO - PEPTIC ULCERS πŸ•³*

*πŸ‘‰πŸΏ Vidonda Vya Tumbo ni nini?*

β€’ Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula.

β€’ Michubuko hiyo huweza kutokea katika eneo la mfuko wa tumbo, katika duodenum au katika eneo la koo. Inakadiriwa kuwa asilimia 5 hadi 10 ya watu hupatwa na ugonjwa huu angalau mara moja katika maisha yao.

β€’ Huu ni ugonjwa ambao unaweza kumrudia mtu baada ya kupona endapo chanzo chake hakikudhibitiwa.

β€’ K**a ugonjwa huu utamrudia mgonjwa , mtu huyu atakuwa amejiweka kwenye hatari kubwa ya kupata madhara makubwa zaidi k**a kutokwa na damu au kutokea tundu kubwa katika kuta za mfuko wa tumbo.

πŸ‘‰πŸΏ Dalili za Ugonjwa huu.

β€’ Kukosa hamu na Uwezo Wa Tendo la Ndoa.
β€’ Kuchoka choka sana bila sababu maalum.
β€’ Kuuma mgongo au kiuno..
β€’ Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
β€’ Kizunguzungu.
β€’ Kukosa usingizi.
β€’ Usingizi wa mara kwa mara.
β€’ Maumivu makali

Kongosho Ni Nini?...Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambayo hutoaInsulin hormone ambacho ni kichocheo Au homo...
25/08/2025

Kongosho Ni Nini?...

Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo
wa chakula ambayo hutoa
Insulin hormone ambacho ni kichocheo Au homoni ambayo kazi yake ni kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika k**a nishati mwilini....

Kwa Maan Nyingine Kongosho ni Organ Ambayo huusika na regulation au Kuratibu Sukari Mwilini ...

Kongosho hutoa Chemical iitwayo Insulin Hormone Ambayo huusika na Kubalnce sukari mwilini....

Hivyo changamoto ya kisukari Huaanzia Pale insuline hormone inapotolewa kwa uchache kwenye mwilini...

Okey Subiri Nikuonyeshe Kiundani hii huwa Ndani ya kongosho kuna Aina mbili ya cells Ambazo ni beta cells Na alpha cells...

Mara nyingi Kinachotokea Nini Cells hizi hushindwa kufanya kazi vizuri Na mara nyingi kupelekea kiasi cha insuline hormone kuzalisha kwa kiasi kidogo kwenye kongosho...

Twende Kiundani zaidiπŸ‘‡

Beta cells are cells that make insulin, a hormone that controls the level of glucose (a type of sugar) in the blood...

Maan yake Ni kwamba Beta cells kwa asilimia kubwa ndiyo Muhusika mkuu wa Kusaidia uzalishaji wa insuline hormone kutolewa kwa Ufasaha...

Swali Je ni kiasi gani Cha insuline hormone kinachoitajika kutolea na kongosho?...

Kitaalamu kiasi cha Insuline kinacho hitajika kutolewaa na kongosho kwa siku ni 0.2- 0.5 U/Kg/day Yaan kila siku...

Hapo Huenda Hujanielewa sana ila Hicho kiwango mara nyingi ukiwa na changamoto ya kisukari Huwa Akifikiwi na Huwa chini Apo....

Sasa Unapoenda kutibu Kongosho Maan yake ni Nini...

Ni kwamba Unaenda kusaidia uzalishaji wa Beta cells kwa Wingi kwenye kongosho....

Kila Mtu Atakuambia Nakupa Dawa Yakutibu kongosho Ebu muulize kutibu kongosho kwa Namna Gani...

Hapo Ndipo Tofauti huanza Wewe Mwenye ni shahidi ulipewa Dawa ya kutibu kongosho lakini mtaalamu Aliyekupa iyo dawa hakukupa maelekezo Akinifu ila alikuambia Inatibua kongosho Tumia utanipa majibu mwenywe....

Tuelewe ili Siyo kila Dawa ni kwaajili ya kutibu kongosho Jaribu ili unapataka Kuchukua Dawa kabla ya kutumia au kununua msikilize Vizuri mtu Anayekupa iyo Dawa na Maelezo yake....

Nafikiri Nimekupa mwanga kidogo jinsi kongosho Linavyofanya kazi....

mwisho kabisa Mimi nipo Apa kukusaidia wewe kuondokana na changamoto Kisukari Kwa Kutibu Kongosho Lako...

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Health Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share