Afya bora kwa wote

Afya bora kwa wote tunatoa huduma ya vipimo na matibabu

  YA_KUSAMBAZA_TAARIFAWanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company...
14/04/2026

YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Dar es salaam tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo Majumba sita ya Airport (Ukonga)
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba ☎️0761675215

06/04/2026

Gyrophora tea ni chai ya kichina iliyotengenezwa na mmea adimu aina lenchin inayopatikana nchini china lakini pia imechanganywa na uyoga mwekundu.Chai hii ina kazi zaidi ya 5 ndani ya mwili ikiwemo

1. Kuondoa sumu na kuupa mwili nguvu kwa watu wanaosumbuliwa na uchovu na kukosa usingizi

2 kusaidia kubalance kiwango cha sukari kwa watu wanaosumbuliwa na matatizo ya sukari kwa muda mrefu

3 inasaidia watu wenye presha hasa ya kupanda kubalance na kuwafanya wajihisi kawaida

4 inasaidia kuondoa uvimbe hasa kwa ule unaoanza bila kufanyiwa operation

5 inasaidia kuondoa uchovu hasa kwa watu wanaofanya kazi kwa muda mrefu

6 inatibu na kusaidia watu wenye vidonda vya tumbo vya muda mrefu

Nipigie kwa namba hii 0658140303
uletewe popote ulipo

27/12/2025

🔥 OFA MAALUM YA AFYA 🔥
Usikose fursa hii muhimu ya kujali afya yako!
Pata huduma bora za vipimo na ushauri wa afya kwa gharama nafuu.

⏰ OFA hii ni hadi mwisho wa mwezi — tarehe 31 December 2025
📍 Tunapatikana Dar es Salaam na mikoa yote ya Tanzania
📞 Mawasiliano: 0761675215

👉 Wahi sasa, afya ni mtaji!
https://wa.me/message/6Q7DIFG5UDUZM1

👇ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kuka...
03/07/2025

👇ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

Tunapatikana katika mikoa yote nchini Tanzania na tunajali afya yako.

Bonyeza Alama ya WhatsApp hapo Chini ili kuwasiliana na Daktar Bingwa Moja kwa moja.
Au Tupigie. 0761675215 ili kuweza kupata maelekezo uweze kufika hospitali iliyopo karibu nawe kwa mkoa uliopo.Pia Bonyeza hii link kuingia WhatsApp

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora kwa wote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share