Aunt Masai Cosmetic

Aunt Masai Cosmetic Glow with Confidence!
๐Ÿ’„ AUNT MASAI COSMETIC brings you high-quality, Affordable beauty & skincare products for every shade & style.

Your one-stop shop for authentic cosmetics that celebrate African beauty.

Body splash yaani ukizitumia hutojutia maana ni zinanukia vby mnooo jumla na reja unapata no ya 0768233254
11/07/2025

Body splash yaani ukizitumia hutojutia maana ni zinanukia vby mnooo jumla na reja unapata no ya 0768233254

11/07/2025
Karibuni maboss zangu vitu ndo hivi hapa hii ukiitumia inakaa kwemye nguo kweli kweli na inanukia sana jumla na reja tej...
10/07/2025

Karibuni maboss zangu vitu ndo hivi hapa hii ukiitumia inakaa kwemye nguo kweli kweli na inanukia sana jumla na reja teja unapata no za cm nini 0768233254

Hizi ni pafyumu nzuri sana unapata kwa jumla na reja reja Karibu no 0768233254
10/07/2025

Hizi ni pafyumu nzuri sana unapata kwa jumla na reja reja Karibu no 0768233254

๐Ÿ›โœจ Ngozi Yenye Mngโ€™ao wa Asili? Inawezekana!Pata Coffee Sea Salt Whitening Scrub โ€“ bidhaa bora kwa kutunza ngozi yako na...
09/07/2025

๐Ÿ›โœจ Ngozi Yenye Mngโ€™ao wa Asili? Inawezekana!

Pata Coffee Sea Salt Whitening Scrub โ€“ bidhaa bora kwa kutunza ngozi yako na kuondoa madoa sugu.

๐ŸŒฟ Imetengenezwa kwa mchanganyiko wa sea salt na coffee extract, ikisaidia:
โœ… Kuondoa chunusi na mikunjo
โœ… Kupunguza michirizi (stretch marks) na cellulite
โœ… Kufifisha madoa meusi (dark spots & age spots)
โœ… Kuweka ngozi laini, nyororo na kungโ€™aa
โœ… Kukinga dhidi ya uzee wa ngozi (anti-aging)

๐Ÿ“ฆ Kiasi: 350g โ€“ kinadumu muda mrefu!
๐Ÿงผ Tumia mara 2โ€“3 kwa wiki baada ya kuoga, paka kwa mwili mzima na sukua taratibu.

๐ŸŒŸ Tokeo: Ngozi yako itakuwa soft, even-toned na glowing k**a ya mtoto!

๐Ÿ“ฒ Oda sasa kupitia WhatsApp/SMS/Call: 0768 233 254
๐Ÿšš Tunafanya delivery popote Tanzania!

๐Ÿ’ฅ Manukato ya Bei Nafuu, Harufu ya Kifahari! ๐Ÿ’ฅUsisubiri harusi au sherehe ndio unuke vizuriโ€ฆ Harufu nzuri ni kila siku!T...
08/07/2025

๐Ÿ’ฅ Manukato ya Bei Nafuu, Harufu ya Kifahari! ๐Ÿ’ฅ

Usisubiri harusi au sherehe ndio unuke vizuriโ€ฆ Harufu nzuri ni kila siku!
Tunayo body mist za kisasa kutoka brand kali k**a AXE, PINK Sexy Sexy, La Vida Es Bella na zingine ๐Ÿ”ฅ

๐ŸŒธ Faida za Body Mist zetu:
โœ… Harufu nyepesi inayodumu muda mrefu
โœ… Inafaa kwa matumizi ya kila siku โ€“ kazini, sokoni, hata nyumbani
โœ… Haina madoa kwenye nguo
โœ… Perfect kwa wanawake na wanaume
โœ… Kiasi kikubwa kwa bei nafuu

๐Ÿ“ฆ 250ml โ€“ utadumu nayo kwa muda!
๐Ÿ›’ Nunua kwa bei ya jumla na rejareja
๐Ÿ“ Tunapatikana Kigamboni โ€“ delivery pia tunafanya!

โœจ Ukinukia vizuri, unajiamini zaidi!
๐Ÿ“ฉ Tuma DM sasa au tupigie 0768233254

โœจ Harufu Yako, Utambulisho Wako! โœจUsiruhusu siku ipite bila kungโ€™ara na harufu ya kipekee! ๐ŸŒธYARA Fragrance Mist ni chagu...
08/07/2025

โœจ Harufu Yako, Utambulisho Wako! โœจ
Usiruhusu siku ipite bila kungโ€™ara na harufu ya kipekee! ๐ŸŒธ

YARA Fragrance Mist ni chaguo sahihi kwa mwanamke anayejitambua.
๐Ÿ’– Harufu laini na ya kuvutia
๐ŸŒฟ Imetengenezwa kwa viambato vinavyodumu muda mrefu
๐Ÿ’ฆ Inafaa kwa matumizi ya kila siku โ€“ baada ya kuoga, kabla ya kutoka, au hata kazini!

๐Ÿ“ฆ Kiasi kikubwa: 250ml โ€“ utadumu nayo kwa muda mrefu
๐ŸŒธ Inanyunyizwa moja kwa moja kwenye ngozi au nguo โ€“ bila kuacha madoa!

๐Ÿ‘‰ Perfume hii ni light lakini inavutia โ€“ perfect kwa hali ya hewa ya Afrika na kila aina ya tukio.

๐Ÿ›๏ธ Ni muda wa kujipa zawadi ya harufu nzuri!
Tuma DM ๐Ÿ“ฉ sasa hivi au tupigie ๐Ÿ“ž 0768233254
kwa oda.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aunt Masai Cosmetic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share