kp healthcare

kp healthcare Tunasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya

WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI BILA MAFANIKIODr. Kp Healthcare 0746994778JE WAJUA KWAMBA BA...
19/08/2025

WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI BILA MAFANIKIO

Dr. Kp Healthcare
0746994778

JE WAJUA KWAMBA BAWASIRI INAWEZA KUKUSABABISHIA KANSA YA UTUMBO (Re**al Cancer)?

⚫ Bawasiri imekuwa ikiwatesa watu wengi sana na kupelekea watu wengi kutapeliwa katika Matibabu kutokana na kuumwa kwao.Hii inatokana na watu wengi wanaojinadi kuwa wanatibu Bawasiri kutoijua Bawasiri vizuri na hivyo husababisha watu wengi kuamini kuwa Bawasiri haitibiki.

⚫ Zaidi ya Asilimia 75% ya wagonjwa ambao wamekuja wanaumwa Bawasiri hawajui sababu hasa ya wao kupata Bawasiri na matokeo yake wamekuwa wakidhani dawa pekee ndio suluhilo hali ya kuwa si kwel.

⚫ Bonyeza maandishi yaliyoandikwa "CONTACT US" chini ya picha kuja WhatsApp moja kwa moja kwa maelekezo zaid ama wasiliana nasi moja kwa moja kwa namba 0746994778 kuongea na Dr.moja kwa moja kwa msaada zaidi.

⚫Utapata OFA ya kujua njia muhimu za kufuata ili KUPONA Bawasiri yako kiurahisi iliyokusumbua kwa muda mrefu.

🖇️ HUDUMA ZETU UTAZIPATA POPOTE ULIPO NDANI NA NJE YA TANZANIA

Karibu tukusaidie
Dr. Kp Healthcare
wa.me/255746994778

WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI BILA MAFANIKIODr. Kp Healthcare0746994778JE WAJUA KWAMBA BAW...
19/08/2025

WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI BILA MAFANIKIO

Dr. Kp Healthcare
0746994778

JE WAJUA KWAMBA BAWASIRI INAWEZA KUKUSABABISHIA KANSA YA UTUMBO (Re**al Cancer)?

⚫ Bawasiri imekuwa ikiwatesa watu wengi sana na kupelekea watu wengi kutapeliwa katika Matibabu kutokana na kuumwa kwao.Hii inatokana na watu wengi wanaojinadi kuwa wanatibu Bawasiri kutoijua Bawasiri vizuri na hivyo husababisha watu wengi kuamini kuwa Bawasiri haitibiki.

⚫ Zaidi ya Asilimia 75% ya wagonjwa ambao wamekuja wanaumwa Bawasiri hawajui sababu hasa ya wao kupata Bawasiri na matokeo yake wamekuwa wakidhani dawa pekee ndio suluhisho hali ya kuwa si kwel.

⚫ Bonyeza maandishi yaliyoandikwa "CONTACT US" chini ya picha kuja WhatsApp moja kwa moja kwa maelekezo zaid ama wasiliana nasi moja kwa moja kwa namba 0746994778 kuongea na Dr.moja kwa moja kwa msaada zaidi.

⚫Utapata OFA ya kujua njia muhimu za kufuata ili KUPONA Bawasiri yako kiurahisi iliyokusumbua kwa muda mrefu bila upasuaji.

🖇️ HUDUMA ZETU UTAZIPATA POPOTE ULIPO NDANI NA NJE YA TANZANIA

Karibu tukusaidie
Dr Kp Healthcare
wa.me 0746994778

13/08/2025
Suluhisha Changamoto za Bawasiri Kabla Hazijawa Mbaya Zaidi !!! ⚠️Unasumbuliwa na bawasiri? Usijali upo sehemu sahihi..N...
06/08/2025

Suluhisha Changamoto za Bawasiri Kabla Hazijawa Mbaya Zaidi !!!
⚠️Unasumbuliwa na bawasiri? Usijali upo sehemu sahihi..Nisikilize
Tatizo hili linaweza kukuletea maumivu makali, aibu, na kukunyima raha. K**a hali hii haitatuliwi kwa wakati, madhara yake yanaweza kuwa makubwa na kuhatarisha afya yako.

Tuna suluhisho bora na salama kwa ajili yako! Matibabu yetu yamewasaidia wengi kuondokana kabisa na bawasiri. Ikiwa utachukua hatua sasa, utajiepusha na madhara k**a:

1️⃣Kupoteza damu nyingi (Anemia): Bawasiri inayovuja damu inaweza kusababisha upungufu wa damu mwilini.

2️⃣Maambukizi: Muwasho na maumivu sehemu ya tundu la haja kubwa inaweza kupelekea maambukizi ya bacteria eneo lililoathirika na bawasiri hivyo kusababisha matatizo mengine ya ki afya

3️⃣Matatizo ya haja kubwa: Bawasiri inaweza kusababisha kuziba kwa njia ya haja kubwa au kudhoofisha misuli ya maeneo hayo, hivyo kuhitaji upasuaji wa haraka

4️⃣Aibu na usumbufu wa kila siku: Bawasiri inaweza kukuletea aibu na usumbufu unaoathiri maisha yako ya kila siku.Na hii hutokana na ugonjwa wenyewe ulipo..mgonjwa hawezi kumweleza hata rafiki yake maana anaogopa kuhisiwa vibaya
,

Sasa basi usikubali bawasiri itawale maisha yako!

🔴Unachotakiwa kufanya ni...

Kuwasiliana nasi leo kwa namba +255746994778 na upate matibabu yatakayokurudisha kwenye hali yako ya kawaida, bila maumivu na wasiwasi.

✔Afya yako ni kipaumbele chetu – chukua hatua sasa!
,

Wengi waliotumia tiba hii pamoja na muongozo tuliowapatia wamepona ndani ya siku chache kitu ambacho hawakutegemea maana walishakata tamaa hapo mwanzo kutokana na kutafuta tiba ya ugonjwa huu kwa muda mrefu bila mafanikio..
Ila k**a bahati yao ndipo wakakutana na tiba hii.. naamini na wewe imekua ni bahati tu kwako kupata makala hii ambayo utaikumbuka siku moja baada ya kupona kabisa bawasiri
Amua leo kupona na kusahau kabisa kuhusu bawasiri kwa kuanza safari ya tiba na sisi..
🔘Fanya uamuzi leo, Anza tiba leo...

Kwa mawasiliano
0746994778
Wa.me/+255746994778

Siri Ya Kupona Bawasiri Na Madhara Yake Imepatikana of__________________________________________✍Je umekua unasumbuliwa ...
06/08/2025

Siri Ya Kupona Bawasiri Na Madhara Yake Imepatikana of

__________________________________________
✍Je umekua unasumbuliwa na bawasiri?

Ugonjwa huu una madhara makubwa kwa wanaume na wanawake, na ni muhimu kupata msaada mapema.
Bawasiri huweza kusababisha maumivu makali, uvimbe, kutokwa na damu wakati wa kujisaidia, na usumbufu katika maisha ya kila siku
Na imegundulika kwamba ugonjwa huu umekua mwiba mkubwa kwa wanaume kuliko wanawake...
Programu hii ni maalum kwa wale wanaopitia changamoto ya bawasiri hasa wale wenye maumivu makali na wanshindwa kufurahia maisha sababu ya ugonjwa huu...
Programu Itakusaidia Katika:

✔Kupunguza na kuondoa Maumivu: Kupitia tiba na maelekezo maalum, maumivu yako ya bawasiri yataisha ndani ya muda mfupi sana

✔Kuzuia Kuongezeka kwa Uvimbe na kinyama: Tunakusaidia kudhibiti na kuzuia kinyama au uvimbe usiendelee kukua badala yake unywee na kuisha

✔Kuboresha Afya ya Mfumo wa Chakula: Kupitia tiba hii na ushauri wa kitaalamu utakaopewa, itakusaidia kuepuka matatizo yanayoweza kusababisha bawasiri izidi

✍Kukuza Afya kwa Ujumla: Programu hii inalenga kuimarisha afya yako kwa ujumla, ili uweze kuepuka kurudiwa na bawasiri.

_______________________________________

Piga 0746994778
Wa.me/255746994778

BAWASIRI INATIBIKA BILA OPERATION.   ‼️•Tumia muda wakoSOMA HADI MWISO•🍇UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.(Miwash...
06/08/2025

BAWASIRI INATIBIKA BILA OPERATION.

‼️•Tumia muda wako
SOMA HADI MWISO•

🍇UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.
(Miwasho uvimbe na maumivu Katika sehemu ya haja kubwa)HEMORRHOIDS.

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya haja kubwa na kupelekea wakati mwingine kutoa damu na maumivu wakati wa haja kubwa,
Mara nyingi tatzo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25-70.
Ila kwa sasa ugonjwa huu unawaathili mbaka watoto wa umri wachini kabisa.
BAWASIRI YA NDANI.
Hiki ni kinyama kinacho ota ndani kabla ya kutoka nje.
➡️Huanza kwa mtu kukosa choo maumivu makali wakati wa kijisaidia
➡️pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wa Kati wakujisaidia

BAWASIRI YA NJE
➡️Hi ni ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu moja kwa moja baada ya ndani kujiimarisha vizuri.
Bawasiri ni tatizo linalo anzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, huu mfumo ukiwa mmbovu upelekea misuli ya haja kubwa kutanuka, hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani.

Bawasiri huweza kusababishwa pia na
➡️ Kufanya mapenz kinyume na maumbile
➡️ujauzito
➡️kuhara kwa muda mrefu
➡️kutopata choo kwa muda mrefu

🍇DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

-kujisaidia choo chenye harufu Kali
-kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi pale unapo pumua(kujamba).

-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia

-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa

-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)

-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.

-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.

-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa

🍇MADHARA YA BAWASIRI
➡️upungufu was damu mwilini
➡️kupata maumivu makali wakati was kujisaidia
➡️kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote
➡️Kuathirika kisaikolojia na kupelekea kutojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapo zidi.

1)Tiba yake hospital ugonjwa huu ni operation,kukata uvimbe ili usiendelee kukua
2)Tiba hiyo huwa chanamgamoto ya kujirudia tena baada ya muda Fulani,
3)pia upelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa na damu mara kwa Mara

MATIBABU YA TIBA ASILI

Tunatibu ugonjwa wa bawasiri bila operation na unapona kabisa bila kujirudia tena

☎ +255746994778
Wa.me/255746994778
✅ WhatsApp

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kp healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share