GCAT International Hospital

GCAT International Hospital Karibu! Tunajihusisha na virutubisho lishe na ushauri wa matumizi. Tuma ujumbe WhatsApp tukuhudumie.

๐Ÿ”ฌ VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA GHARAMA YA TSH 30,000 TU!Usisubiri ugonjwa uzidi ndipo uanze kutafuta tiba. Chukua hatua ma...
03/08/2026

๐Ÿ”ฌ VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA GHARAMA YA TSH 30,000 TU!

Usisubiri ugonjwa uzidi ndipo uanze kutafuta tiba. Chukua hatua mapema kwa kufanya vipimo vya mwili mzima kwa kutumia vifaa vya kisasa na kupata ushauri wa wataalamu.

Tunachunguza:
โœ… Presha na Kisukari
โœ… Magonjwa ya Moyo
โœ… Magonjwa ya Figo na Ini
โœ… Maumivu ya Mifupa na Viungo
โœ… Matatizo ya Uzazi kwa Wanawake na Wanaume
Na mengineyo

๐Ÿ“ Huduma zinapatikana Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania.

๐Ÿ“ฒ Wasiliana nasi: 0682 022 014

Afya yako ni uwekezaji muhimu zaidi. Pima leo, linda maisha yako!

01/08/2026

๐ŸŒธ UNATAKA MTOTO LAKINI HUPATI MIMBA? ๐ŸŒธ
Usikate tamaa. Ndoto yako ya kuwa mzazi inaweza kutimia kwa kupata uchunguzi sahihi, ushauri wa kitaalamu na matibabu yanayokufaa.
โœ… Vipimo vya kina vya kubaini chanzo cha ugumba
โœ… Ushauri kutoka kwa madaktari bingwa wa uzazi
โœ… Matibabu ya matatizo ya ovulation, kizazi, mirija na homoni
โœ… Huduma kwa wanawake na wanaume
โœ… Ufuatiliaji wa karibu hadi utimize ndoto ya kupata ujauzito

๐Ÿ“ Tunapatikana Dar es Salaam na tunahudumia wateja kutoka mikoa yote Tanzania.
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: 0682 022 014
Usisubiri zaidi! Chukua hatua leo kuelekea ndoto yako ya kuwa mzazi. ๐ŸŒน

11/07/2026

๐Ÿ”ฅ๐ŸŒฟOFA MAALUM YA SIKU HII!๐ŸŒฟ๐Ÿ”ฅ

Unasumbuliwa na:
โŒ Kitambi na uzito uliozidi?
โŒ Gesi tumboni zinazokusumbua?
โŒ Unataka kuanza safari ya kuboresha afya yako?

๐Ÿต Chai yetu ya asili imeandaliwa kukusaidia:
โœ… Kuondoa sumu mwilini.
โœ… Kuboresha mmeng'enyo wa chakula.
โœ… Kusaidia katika mpango wa kupunguza uzito na kitambi.
โœ… Kupunguza gesi tumboni na kufanya ujisikie mwepesi.
โœ… Kusaidia kusafisha Figo na Ini

๐ŸŽ OFA INAENDELEA KWA MUDA MFUPI!

๐Ÿ“žPiga au WhatsApp sasa:0682 022 014

๐Ÿ”ฅ Usisubiri mpaka kesho! Anza kujali afya yako leo na uchukue nafasi ya ofa hii maalum.

๐Ÿฉบ VIPIMO VYA UHAKIKA KWA MAGONJWA SUGU ๐ŸฉบMagonjwa sugu yanatibika na kudhibitiwa kwa urahisi zaidi yakigundulika mapema. ...
14/06/2026

๐Ÿฉบ VIPIMO VYA UHAKIKA KWA MAGONJWA SUGU ๐Ÿฉบ
Magonjwa sugu yanatibika na kudhibitiwa kwa urahisi zaidi yakigundulika mapema. Usipuuze dalili ndogo ndogo mwilini mwako. Tunakuletea huduma ya Uchunguzi wa Kina kwa ajili ya:
1๏ธโƒฃ Presha, Moyo
2๏ธโƒฃ Kisukari
3๏ธโƒฃ Vidonda vya Tumbo
4๏ธโƒฃ Bawasiri, Tezi dume na Magonjwa Mengine mengi
๐Ÿ’ฐ Gharama ni TSH 30,000/= TU
๐Ÿ“ Huduma zinapatikana mikoa yote Tanzania
๐Ÿ“ž Kwa mawasiliano zaidi piga simu:
๐Ÿ”ต 0682022014
๐Ÿ‘‰ Fanya vipimo mapema, linda afya yako kabla tatizo halijawa kubwa.

๐Ÿฉบ AFYA YAKO NDIO MTAJI WAKO MKUBWA! ๐ŸฉบMagonjwa sugu yanatibika na kudhibitiwa kwa urahisi zaidi yakigundulika mapema. Usi...
23/05/2026

๐Ÿฉบ AFYA YAKO NDIO MTAJI WAKO MKUBWA! ๐Ÿฉบ

Magonjwa sugu yanatibika na kudhibitiwa kwa urahisi zaidi yakigundulika mapema. Usipuuze dalili ndogo ndogo mwilini mwako. Tunakuletea huduma ya Uchunguzi wa Kina kwa ajili ya:

1๏ธโƒฃ Presha (Shinikizo la Damu)
2๏ธโƒฃ Kisukari
3๏ธโƒฃ Vidonda vya Tumbo
4๏ธโƒฃ Bawasiri & Magonjwa Mengine

๐Ÿ“žKwa mawasiliano zaidi piga simu: 0682022014

Huna haja ya kusafiri! Huduma hii ya vipimo vya uhakika inapatikana Mikoa Yote Tanzania kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh 30,000/= tu.

Address

Tabata Segerea
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GCAT International Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share