Temcare

Temcare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Temcare, Pharmacy / Drugstore, ubungo, Dar es Salaam.

04/09/2026

Program ya vua miwani bado inaendelea,k**a unahitaji kuanza nitafute nitakusaidia
🇺🇸

03/09/2026

03/09/2026

Andika neno msaada,k**a unahitaji kupata suluhisho la haraka zaidi
❤️

03/09/2026

Dalili nyingine za tezi dume ni k**a
1️⃣ Kibofu hakiishi mkojo
2️⃣ Mkojo kushindwa kutoka Kwa wakati mtu anapohisi kukojoa
3️⃣Kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka n.k

Endapo unachangamoto k**a hii suluhisho lipo bila upasuaji nitafute nitakusaidia, andika neno msaada k**a unahitaji kuanza tiba

🇺🇸 🇹🇿

02/09/2026

Tezi dume inatibika vizur bila shida yoyote
Andika neno msaada nitakusaidia program nzuri na itakusaidia
❤️ 🇺🇸

02/09/2026

Rheumatoid Arthritis (RA)

Rheumatoid arthritis ni ugonjwa wa mfumo wa kinga ya mwili (autoimmune) ambapo kinga hushambulia utando wa maungio, na kusababisha maumivu, uvimbe na kukak**aa kwa maungio.

Dalili kuu

Maumivu na uvimbe wa maungio, mara nyingi mikono na miguu.

Kukak**aa asubuhi, hasa kwa zaidi ya dakika 30.

Uchovu na hali ya mwili kutokuwa na nguvu.

Maumivu mara nyingi hutokea kwenye maungio ya pande zote mbili za mwili.

K**a unataka kupona changamoto k**a hii andika neno msaada, nitakusaidia

❤️ 🇺🇸

02/09/2026

Unachangamoto yoyote ya ini suluhisho lipo usisubirie hadi ufike hatua ya mwisho
🇺🇸

01/09/2026

Una changamoto ya Maumivu ya goti Kwa muda mrefu jua kuwa upo hatarini kupata haya 👇

1. Ugumu wa kutembea na kufanya shughuli za kila siku.

2. Kupungua kwa uwezo wa kukunja au kunyoosha goti.

3. Goti kuvimba na kuwa gumu, hasa baada ya kukaa muda mrefu.

4. Misuli ya mguu kudhoofika kwa sababu ya kutotumia mguu vizuri.

5. Kutokuwa na uwiano mzuri na kuanguka kutokana na goti kutokuwa imara.

6. Maumivu kuongezeka na kuathiri usingizi au shughuli za kawaida.

7. Ikiwa chanzo ni uchakavu mkubwa wa joint, uharibifu wa goti unaweza kuendelea na wakati mwingine kuhitaji matibabu makubwa zaidi.

Muhimu 📌Maumivu ya muda mrefu si ugonjwa wenyewe; madhara na matibabu hutegemea chanzo chake.
Nitafute Kwa tiba na ushauri zaidi
❤️ 🇺🇸

01/09/2026

4 Things Every Girl Should Know About Her Breasts 🤔🩷

Save this before you start overthinking 👇

1️⃣ Breasts are rarely perfectly symmetrical — one may naturally be slightly bigger than the other.

2️⃣ Breast size can change — periods, weight changes, pregnancy, breastfeeding and hormones can all affect their size and tenderness.

3️⃣ Lumps aren't always cancer — many breast lumps are caused by benign conditions, but a new or persistent lump should still be checked by a healthcare professional.

4️⃣ Know your normal — pay attention to changes in the breast or ni**le, such as a new lump, skin changes, unusual ni**le discharge or a change in shape. If you notice something unusual that persists, get medical advice.

🩷 Your breasts don't have to look like anyone else's. Learn what is normal for YOU.
❤️

31/08/2026

Vidonda vya tumbo vikikaa Kwa muda mrefu vinaweza kupelekea kupata
1️⃣, Tumbo kutoboka
2️⃣. Kutapika damu
3️⃣ Kukosa hamu ya Kula
4️⃣ Homa ya ini
5️⃣ Kansa ya tumbo au utumbo

Ikiwa unachangamoto k**a hii na umetafuta suluhisho bila matokeo,
Ipo tiba nzuri ya vidonda vya tumbo Kwa njia asilia
Usisite kunitafuta Kwa ushauri na tiba zaidi piga au nichek Whatsapp Kwa+255 654 69 36 17
❤️ 🇺🇸

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Temcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share