29/08/2026
πΈ AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE NI UWEKEZAJI WA MAISHA YAKE. πΈ
Je, unasumbuliwa na:
πΈ Hedhi isiyo na mpangilio?
πΈ Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi?
πΈ Uchafu ukeni wenye harufu au usio wa kawaida?
πΈ Kuwashwa au maumivu wakati wa tendo la ndoa?
πΈ Maumivu ya nyonga au tumbo la chini?
πΈ Ugumu wa kushika mimba?
πΈ Kuharibika kwa mimba mara kwa mara?
Dalili hizi zinaweza kuwa ishara ya changamoto mbalimbali za afya ya uzazi, k**a vile maambukizi, matatizo ya homoni, uvimbe kwenye kizazi au ovari, au hali nyingine zinazohitaji uchunguzi wa daktari.
β οΈ Usipuuze dalili zinazojirudia. Kadri unavyowahi kufika hospitalini ndivyo nafasi ya kupata uchunguzi sahihi na mwongozo wa matibabu inavyoongezeka.
π©ββοΈ Karibu AfyaCare Clinic kwa:
β
Ushauri wa Daktari
β
Consultation ya kina
β
Check-up na uchunguzi kulingana na dalili zako
β
Mwongozo wa matibabu
β
Ushauri wa lishe na matumizi ya virutubisho pale inapofaa
π Tunapatikana Dar es Salaam | Mikoani | Zanzibar
π Piga au WhatsApp: 0794 391 999
Kupanga miadi yako.
Afya ya uzazi ni msingi wa afya ya mwanamke. Chukua hatua leoβusisubiri dalili zizidi.π·