Omomo herbal clinic

Omomo herbal clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Omomo herbal clinic, Medical and health, kijitonyama, Dar es Salaam.

USHAURI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MFUMO WA UZAZI
PID | UTI | NGUVU ZA KIUME
SARATANI | PRESHA|KISUKARI VIDONDA VYA TUMBO|CANCER
+255618987344
πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ’ΈπŸ‡¨πŸ‡©πŸ”₯πŸ”₯ wordwide dawa

12/08/2026

Bawasili (bawasiri) ni kuvimba/kutanuka kwa mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa.
Dalili zinazoweza kutokea
Kuwasha au kuungua sehemu ya haja kubwa
Maumivu, hasa wakati wa kujisaidia
Damu nyekundu kutoka baada ya choo
Uvimbe au kijivimbe karibu na njia ya haja kubwa
Choo kigumu au kusukuma sana wakati wa kujisaidia
Nini cha kufanya
Kunywa maji ya kutosha.
Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi k**a matunda, mboga na nafaka zisizokobolewa.
Epuka kusukuma sana wakati wa kujisaidia.
Usikae muda mrefu chooni.
Kukaa kwenye maji ya uvuguvugu kwa dakika 10–15 kunaweza kupunguza maumivu na kuwasha.
Muhimu: Damu kwenye choo si lazima iwe bawasili
Kwa tiba piga au tuma ujumbe Whatsapp 0618987344
#πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬

#πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬ #

12/08/2026

Kwa tiba piga au tuma ujumbe Whatsapp 0618987344

#πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬

11/08/2026

10/08/2026

#πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬

07/08/2026

JE, UNASUMBULIWA NA BAWASILI NA UMECHOKA KUVUMILIA MAUMIVU? USIKUBALI KUPOTEZA FURAHA YAKO YA MAISHA KWA SABABU YA KERO HII! πŸ›‘

Bawasili sio ugonjwa wa kuficha wala wa kuishi nao kwa mazoea. Wengi wetu tunapitia maumivu makali, choo kigumu, na hata kutoka damu bila kujua kuwa kuna suluhisho la kudumu na salama bila kuhitaji upasuaji wa aina yoyote.

NI DALILI GANI ZINAKUSUMBUA?
Unapata shida wakati wa kujisaidia (Choo kigumu).

Unaona damu wakati wa haja kubwa.

Unasikia gesi tumboni mara kwa mara.

Kuna vinyama vinavyotokea katika njia ya haja kubwa vikisababisha maumivu makali.

KWA NINI UCHAGUE TIBA YETU?
Tumeandaa matibabu ya kisasa na salama yanayokusaidia kupona haraka na kurejea katika hali yako ya kawaida ndani ya SIKU 7 TU.

βœ… TIBA ASILIA NA SALAMA: Tunatumia dawa za mimea na tiba lishe zilizothibitishwa.

βœ… HAKUNA UPASUAJI, HAKUNA MAUMIVU: Matibabu yetu hayahitaji vyombo vya upasuaji wala maumivu makali ya kupona.

βœ… MATOKEO YA HARAKA: Unaona mabadiliko ya kweli ndani ya wiki moja tu.

βœ… HUDUMA YA SIRI KABISA: Tunatambua faragha ni haki yako, hivyo huduma zetu zote zinafanyika kwa usiri wa hali ya juu.

Usisubiri tatizo liwe sugu! Chukua hatua sasa ili uishi bila maumivu na uweze kufurahia maisha yako kikamilifu.

πŸ“ž PATA MATIBABU SALAMA NA UHAKIKA SASA!
Tupigie au tuma ujumbe kupitia

WhatsApp kwa namba: 0618987344

TibaSalama Tanzania AfyaYakoKwanza

07/08/2026

Kwa tiba piga au tuma ujumbe Whatsapp 0618987344
#πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬

07/08/2026

K**a unapitia dalili Hizi piga simu au tuma ujumbe Whatsapp 0618987344
BAWASILI (HEMORRHOIDS)
Kutokana na wengi kuwa na tatizo hili nimeona Bora nipost japo kwa ufupi.

Kuna aina 2 za.bawasili. ya ndani na ya nje. BAWASILI ya ndani haina maumivu ila utaona damu katika kinyesi. BAWASILI ya nje zinaweka kinyama sehemu ya haja kubwa na kina maumivu makali.

Sababu za mtu kupata BAWASILI:
1. Kula vyakula vya hovyo visivyo na virutubisho (junk food)
2. Kutofanya mazoezi
3. Kufanya kazi ya kukaa tu muda wore
4. Kutokula vyakula vya nyuzinyuzi
5. Unene uliopitiliza
6. Ujauzito
7. Kukalia kitu Cha baridi
8. Kutokunywa maji Mara kwa Mara

Tiba ya Asili ya BAWASILI
1. Epuka tabia zinazosababisha BAWASILI zilizotajwa hapo juu
2. Epuka vyakula vyenye viungo vingi
3. Epuka kukaa muda mrefu
4. Kula vyakula vya nyuzinyuzi
5. Kula matunda na mbogamboga kwa wingi
6. K**a Kuna maumivu makali weka barafu kwa muda kupunguza maumivu
7. Kiponde.kitunguu saumu Kisha ingiza kwa kidole sehemu ya haja kubwa usiku kabla ya kulala. Fanya Mara tatu kwa wiki.
8. Kata kipande Cha aloe vera urefu inchi 2.5 kimenye Kisha chomeka sehemu ya haja kubwa. Kitatoka ukienda kujisaidia
9. Pendelea kunywa chai ya tangawizi isokuwa sukari

Asnteni. Maswali yanakari bishwa

07/08/2026

πŸ›‘ Bawasili inatibika tibu BAWASILI SASA!

Je, unasumbuliwa na maumivu makali, muwasho, au uvimbe sehemu ya siri? Bawasili (Hemorrhoids) imekuwa ikinyima raha na amani yako ya kila siku? Umefika wakati wa kupata suluhisho la kudumu na la haraka!

Msaidie mgonjwa kurudisha furaha yake kwa kutumia Novel-Depileβ„’ Capsules, mchanganyiko asilia wa nguvu uliotengenezwa kwa Citrus Extract maalum kwa ajili ya kutibu na kuondoa changamoto za bawasili bila upasuaji.

🍊 Faida Kubwa za Novel-Depileβ„’ kwa Mgonjwa:
Kuondoa Miwasho na Chungu: Inatuliza mara moja mwasho mkali na hisia za kuungua sehemu ya siri

Kupunguza Uvimbe: Inasaidia kusinyaa kwa mishipa ya damu iliyovimba na kurudisha hali ya kawaida.

Kupunguza Maumivu Makali: Inatoa nafuu ya haraka wakati wa kukaa, kusimama, au kwenda chooni.

Kuwezesha Mjituko Mwananga (Choo Kulainika): Inaimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuzuia upatikanaji wa choo kigumu kinachochochea bawasili.

Kurejesha Furaha na Amani: Inamtoa mgonjwa kwenye aibu na maumivu na kumrudishia uhuru wa kufurahia maisha yake.

✨ Kwa Nini Ufanye Maamuzi Leo?
Mchanganyiko Asilia (Citrus Extract): Salama kabisa kwa afya yako, haina kemikali hatarishi.

Huendeleza Usalama: Inatibu chanzo cha tatizo na kuzuia bawasili isijirudie tena.

πŸ“ž AGIZA SASA LEO UPATE NAFUU YA KUDUMU!
Usiteseke kwa siri, bawasili inatibika kwa urahisi na usalama mkubwa.

Mawasiliano: +255618987344
Huduma: Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na usalama wa hali ya juu.

"Chagua Novel-Depile leo, Urejeshe Furaha na Amani ya Mwili Wak
Malawi #πŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡±πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡΄πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡·πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡ΌπŸ‡³πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡¬

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Omomo herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share