Afya Care

Afya Care Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto za kiafya

Chai hii ya kiasili inafanya kazi zifuatazo:✅ Inapunguza uzito & kitambi (Hii ni Perfect Slimming Tea)✅ Inarudisha hamu ...
04/05/2026

Chai hii ya kiasili inafanya kazi zifuatazo:

✅ Inapunguza uzito & kitambi (Hii ni Perfect Slimming Tea)

✅ Inarudisha hamu ya kula

✅ Inaondoa madhara ya dawa za kemikali mwilini

✅ Inasaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi au kuchoka mara kwa mara.

✅ Husafisha ini na figo – Husaidia watu wenye matatizo ya ini, figo au sumu mwilini.

✅ Hutibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – Kwa wenye gesi tumboni au choo kigumu (constipation).

✅ Hufanya detoxification ya mwili – Huondoa sumu na kuimarisha afya kwa ujumla.

✅ Huongeza kinga ya mwili (Immunity) – Inafaa hata kwa mtu asiye mgonjwa ili kujikinga.

✅ Inalinda Moyo na kuepusha changamoto za magonjwa ya moyo

❌ Chai Hii Isitumiwe Na Mjamzito Na Watu Wanaonyonyesha

💰 Thamani Ya Bidhaa Hii Ni Tsh 65,000 kwa Box. Usafiri Bure Popote Ulipo.

Namna ya kutumia:
👉 Pakiti 1 asubuhi na pakiti 1 jioni kwa siku 20 mfululizo.

🔥 Tumia na maji ya uvuguvugu bila kuongeza chochote.

☎️ Mawasiliano 0766569991

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu! Changamoto Za Uzazi Kwa Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufana...
24/04/2026

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Matibabu Sahihi Zaidi

0766569991

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share