afya njema ni mtaji

  • Home
  • afya njema ni mtaji

afya njema ni mtaji Afya salama, hukaa kwenye mwili salama. Jenga afya Yako na Dr. Rusaka
📞 0794980446

Mwili wako unapotoa ishara usipuuzie!Uchafu mweupe mzito ukeni unaoweza kuambatana na muwasho, harufu isiyo ya kawaida, ...
12/08/2026

Mwili wako unapotoa ishara usipuuzie!
Uchafu mweupe mzito ukeni unaoweza kuambatana na muwasho, harufu isiyo ya kawaida, maumivu au wekundu unaweza kuashiria changamoto katika mfumo wa uzazi.
✅ Fanya uchunguzi wa afya ya mfumo wa uzazi ili kujua chanzo halisi na kupata ushauri sahihi.
Afya yako ya uzazi ni muhimu — usisubiri tatizo liwe kubwa. 🌿
(Kumbuka: uchafu mweupe unaweza kusababishwa na hali mbalimbali, si kila mara ni maambukizi; vipimo husaidia kujua sababu.)
Mawasiliano 📞0794980446

🌸 WIKI 6 ZINATOSHA KUBADILI UJANA WA MWANAMKE 🌸Je, umekuwa ukipitia changamoto za uzazi kwa muda mrefu bila kupata majib...
10/08/2026

🌸 WIKI 6 ZINATOSHA KUBADILI UJANA WA MWANAMKE 🌸
Je, umekuwa ukipitia changamoto za uzazi kwa muda mrefu bila kupata majibu ya uhakika?

Usikate tamaa… hatua ya kwanza ni kujua hali halisi ya mfumo wako wa uzazi. ❤️
✅ Maumivu ya tumbo la chini
✅ Hedhi zisizo za kawaida
✅ Changamoto za homoni
✅ PID sugu
✅ Mimba kutungwa kwa shida
✅ Changamoto nyingine za mfumo wa uzazi
Kupitia vipimo vya mfumo wa uzazi, unaweza kupata uelewa wa hali yako na kujua hatua sahihi ya kuchukua.
🔥 Ofa maalum: Vipimo vya mfumo wa uzazi Tsh 30,000 tu
📍 Huduma inapatikana Mbagala Zakiem
📞 Wasiliana nasi: 0794980446

🚨 JE, UNAKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI? 🚨Watu wengi hupitia changamoto mbalimbali za mfumo wa uzazi bila kujua chanzo...
10/08/2026

🚨 JE, UNAKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI? 🚨
Watu wengi hupitia changamoto mbalimbali za mfumo wa uzazi bila kujua chanzo halisi cha tatizo. Kuchelewa kupata mtoto, mimba kuharibika mara kwa mara, hedhi zisizo za kawaida, maumivu ya tumbo la chini, mbegu za kiume kuwa chache au kutokuwa na nguvu ya kutosha vinaweza kuwa ishara ya tatizo linalohitaji kufanyiwa uchunguzi.

⚠️ Madhara ya kuchelewa kufanyiwa vipimo yanaweza kuwa: ❌ Kuendelea kupoteza muda bila kujua chanzo cha tatizo
❌ Kuongezeka kwa msongo wa mawazo na hofu
❌ Changamoto za mahusiano kutokana na kutopata majibu sahihi
❌ Tatizo kuendelea kwa muda mrefu bila kuchukua hatua stahiki

✅ Kupima mapema kunakusaidia: ✔️ Kujua hali halisi ya mfumo wako wa uzazi
✔️ Kubaini changamoto mapema
✔️ Kupata ushauri unaofaa kulingana na majibu ya vipimo
✔️ Kuchukua hatua sahihi kwa ajili ya afya yako ya uzazi
👩‍⚕️ Vipimo vya mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke vinapatikana kwa gharama nafuu ya Tsh 30,000/= tu.
📍 Tunapatikana: Mbagala Zakiem na mikoani pia
📞 Mawasiliano: 0794980446

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.Ni hali inayotokea kwa mwanaume p...
07/08/2026

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ni hali inayotokea kwa mwanaume pale ambapo uume wake unashindwa kusimama kabisa au kutoweza kuendelea kusimama vyema na kukamilisha tendo la ndoa.
Mwanaume unapata tatizo hili oale ambapo
1. Uume hausimami kabsa
2. Uume unasimama legelege
3. Uume unasimama vyema lakin baada ya mda mfupi unarudi chini.
SEHEMU KUU 4 ZA MWILI WA MWANAUME ZINAZO ATHIRIKA NA KUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1. Mishipa ya fahamu inayozunguka uume kuto fanya kazi vizuri
2. Mzunguko wa damu kwenye uume kuto kua wa uhakika
3. Damu kito kuhifadhiwa ndani ya uume
4. Kukosa hisia kutoka kwenye ubongo
JE NISABABU ZIPI HUCHANGIA HALI HII
A. SABABU ZA KISAIKOLOGIA
1. Stress
2. Mahusiano mabaya na mpenzi wako
3. hofu.
4. huzuni/sonona
5. Kujichua
B. SABABU ZA KIFIZIOLOJIA
1. Sigara
2. Pombe kupita kiasi
3. Magonjwa k**a
. Magonjwa ya moyo, presure kushuka, cholesterol nyingi, kisukari, uzito kupindukia, mishipa ya damu kua migumu, ajari, matumizi ya dawa ya muda mrefu, bawasiri, vidonda vya tumbo
4. Lishe duni

MADHARA YA UPUNGUFU WA NHUVU ZA KIUME KWA MWANAUME.
1. Mwanaume kukosa kujiamini
2. Kukosa hamu ya kufanya temdo la ndoa
3. Ugomvi kwenye mahusiano
4. Kushindwa kutungisha mimba.
5. Stress
6 sonona
7. Kuachana.
IKIWA UNAPITIA CHANGAMOTO HII NA HUJUI NINI UFAMYE BASI USIJIONE MMNYONGE, NA USIKAE NA CHANGAMOTO NA KURUHUSU IKUMALIZE TARATIBU, NA IKIWA UNATAKA KUJIFUNZA, USHAURI AU MATIBABU PAMOJA NA NAMNA BORA YA ULAJI NA VYAKULA IMARA
USISITE KUTUTAFUTA @ AFYA BORA
0794980446
KUJIUNGA KATIKA GROUP

# mmeng'enyo bora
# afya bora
# mwanaume imara.

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOSHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI  CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJ...
06/08/2026

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

SHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJEMA KWAMBA HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU
Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni T,sh 30/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa,
✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari
✅Pumu
✅Stroku.
✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa,
✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi,
✅Figo,
✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri,
✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha/ kutoa sumu mbaya zote mwilini
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam na mikoani

Wasiliana nasi kwa simu namba
0794980446 kwa msaada wa haraka

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOSHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI  CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJ...
06/08/2026

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

SHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJEMA KWAMBA HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU
Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni T,sh 30/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa,
✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari
✅Pumu
✅Stroku.
✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa,
✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi,
✅Figo,
✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri,
✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha/ kutoa sumu mbaya zote mwilini
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam na mikoani

Wasiliana nasi kwa simu namba
0794980446 kwa msaada wa haraka

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata ...
06/08/2026

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT hospital ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

Tunapatikana mbagala zakiem na mikoani pia 📞0794980446

Address

MBAGALA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya njema ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share